iphone 17

The iPhone 17 is a smartphone developed and marketed by Apple. It is the nineteenth-generation iPhone, succeeding the iPhone 16. The device was announced alongside the higher-priced iPhone 17 Pro and 17 Pro Max and the iPhone Air during the Apple Event at Apple Park in Cupertino, California, on September 9, 2025.

View More On Wikipedia.org
  1. adriz

    Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

    Moja kwa moja . Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano . Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo. Lengo...
  2. T

    Iphone 17 pro max vs Samsung S25 ultra. Ipi ninunue?

    Maoni yenu wakuu. Zote ziwe 512GB. ipi nichukue, ni mtumiaji wa ios na android pia. Nilitaka nibebe zote pamoja, lakin nataka nianze na moja. Kama kuna tofauti na hizo ambazo bora zaidi nakaribisha pia. Asanteni.
  3. Mad Max

    Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Maisha yako speed. iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6. Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava. Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    Ommy Dimpoz anunuliwa iPhone 17 Pro Max na mke wa GSM kama zawadi

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz amepost zawadi ya simu toleo jipya iPhone 17 Pro Max aliyonunuliwa kama zawadi na mke wa GSM. Baada ya kupost zawadi hiyo imeibua minong’ono mingi mtandaoni🤔
  5. P

    Jamaa kapata iphone 17 kiugumu sana

  6. M

    Nchi imebadilika sana, watu wanamenya maganda ya iphone mpya za milioni 5 kama karanga

    Tulikotoka ilikuwa ni wachache sana wenye uwezo wa kununua hata iphone za milioni 3 huku wengi wakikimbilia refurbished Ilikuwa ni risk kubwa sana kuweka simu hizi dukani kwasababu hakukuwa na soko lauhakika Hali ya sasa imebadilika, mzigo upo wa kutosha, watu hawaoni shida kununua iphone 17...
  7. Mad Max

    Leo tarehe 9 September Apple wamezindua iPhone 17 series na accessories nyingine!

    Wakuu, leo September 9 Apple wamezindua simu zao mpya iPhone 17 series pamoja na bidhaa nyingine kama airpods na Apple watch matoleo mapya. Kwa kuanza na iPhone, jumla ya simu nne zimezinduliwa na CEO wao Tim Cook. Simu tajwa ni iPhone 17, iPhone Air, iPhone 17 Pro na iPhone 17 Pro Max...
Back
Top Bottom