Kama last year hivi mwanzoni niliingia ulimwengu wa mobile app baada ya kuwa kwenye web kwa kipindi kirefu. Sikuwahi kufanya Vibe coding hapo nyuma(programming kwa kutumia AI) kutokana na hizi program kutoa bugs nyingi kipindi cha nyuma, so muda mwingi unautumia kufix code baadala ya kutengeneza...
Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini 🙂.
Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi kuzifunga apps zote alizozifungia kwa wakati mmoja kutokana na Mfumo wa iOS ulioundwa kuweza kudhibiti...
Kumekuwa na maneno mengi kuhu hii IOS 26 leo mimi nika amua kujitoa mwanga nime fanya update up now ipo vizuri napiga simu na pokea sms haina shida zaidi naona simu ime kuwa nyepesi zaidi uki gusa imoo
Huu ndio muone kano wake
Hapo kama umeingia jf muonekano wa kawaida ni huu hapa
Kwa watumiaji wengi wa vifaa vya Apple, hili halitakuwa tatizo. Hata hivyo, baadhi ya iPhone, iPad, na iPod touch za zamani ambazo haziwezi kusasishwa zaidi ya iOS 15 au iPadOS 15 hazitaweza tena kutumia programu ya YouTube.
Hii inamaanisha kuwa watumiaji wa vifaa hivyo vya zamani watahitajika...
Hello
Ni wakati sasa tunajifunza jinsi ya kutafuta loopholes kwenye ISP yeyote unayehitaji, katika makala hii tuenda kujifunza jinsi Gani tunaweza tumia udhaifu wa ISP na kupata free internet access unlimited na capped (yenye ukomo)
N:B; huu Uzi ni Kwaajili ya elimu pekee na sio vinginevyo...
In today’s fast-paced digital landscape, businesses need to establish a strong online presence to remain competitive. Whether it’s a dynamic mobile app or a visually appealing website, the digital face of a company significantly impacts customer engagement and brand reputation.
Mobile apps and...
Wakuu natafuta chat gpt ambayo kwene iphone ni free?
Hii ninayoijua ni ya kulipia ila ni free kwene browser
ZINGINEZO
1.https://www.jamiiforums.com/threads/msaada-artificial-intelligence-whatsapp-chat-bot.2180158/
Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo
Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18
IOS 18 is out now
Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji
vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti.
Tuambie na namna ya kuzipata.
Mfano:
Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser yako maana haipo playstore wala appstore.
Inarahisisha kwenye ku-copy captions na comment kwenye...
Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji
vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
Ndugu zangu mimi sio mtumiaji wa Ipad ila nina uhitaji nayo wa dakika tano tu. Nahitaji kuchukua App yangu screenshot za App Store na baada ya hapo ndio mwisho wa matumizi yangu
Kama unayo basi nikodishe kwa dakika tano tu nitakupooza kidogo
Wakuu, Mimi ni software developer. Natengeneza App kwa ajili ya kutumika kwenye simu za Apple(iphones).
Nafanya research nipate kujua ios version gani inatumika na watu wengi hapa Tanzania ili niweze kuwaletea App yangu na muweze kuitumia.
Hivyo naomba kufahamu ios version ya ngapi mnatumia...
Baada ya kutumia Flutter kwa takribani miezi 6. Nimeamua kuachana nayo rasmi na kufanya Native Mobile App Development.
Hii ni kutokana na kutoridhishwa na performance ya Apps zinazotengenezwa kwa Flutter kulinganisha na Native Apps.
Kwa sasa nina wiki moja tangu nianze kujifunza kutengeneza...
Kwa mujibu wa Apple imetangaza kuwa mfumo wa uendeshaji wa iOS 17 utapatikana kwenye simu za iPhone XS na kuendelea kumaanisha kwamba usaidizi umeondolewa kwa iPhone 8, iPhone 8 Plus, na iPhone X. Toleo la Beta ya kwanza ya iOS 17 itapatikana kwa wanachama wa Programu ya Apple kwa majaribio...
Google imeanza kuweka uwezo wa kufuta vitu na watu kwenye picha. Kwa kawaida feature hii inapatikana bure kwa watumiaji wa Google Pixels 6 na Google Pixel 7.
Kwa wiki hii Google imeanza kuweka feature hii bure kwa watumiaji wa iOS ambao wanalipia huduma ya Google One. Huduma hii ya Google One...
Habari
Sasa hivi katika android na iOS wanatuletea games zenye graphic kali kama kwenye PC vile haya hapa chini ni majina ya games kali za kwenye simu za android na iOS
Number one ni truckers of Europe 3 kutoka kwao Wanda software
Number mbili ni bus simulator 2023 kutoka kwao ovidiu pop
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.