Tunalazimika kutoa malalamiko yetu kwa uwazi na kwa msisitizo mkubwa kwa Baraza la Madaktari Tanganyika kuhusiana na ucheleweshwaji usio na maelezo wa matokeo ya Post Internship Examination.
Tulifanya mtihani huu tarehe 17 Disemba, 2025 lakini hadi leo matokeo bado hayajatolewa, hii ni hali...
Anonymous
Thread
binadamu
exam
internship
kuhusu
madaktari
malalamiko
matokeo
post
ucheleweshaji
HALA Consultants is offering Internship Opportunities for ambitious graduates and final year students who want real exposure in:
·Audit & Assurance
· Tax Compliance & Advisory
· Business Advisory Services
Education: Bachelor’s degree in Accounting or Finance (complemented by CPA)...
Habari viongozi, nimesoma Accounting with IT nimemaliza mwaka jana, nlikua natafuta sehemu nayoweza kufanya internship kusharpen skills. Kama kuna nafasi sehemu tupeane Deals
Sisi wanafunzi tulisoma Bsc in Clinical nutrition & Diabetics tunaomba serikali pamoja na baraza la Madaktri (MCT) wakae na kupitia muundo wetu wa Mishahara haiwezekani nisome miaka 4 alafu internship nilipwe 600,000/= kiwango hiki cha malipo kinatokana na nini?
Ikiwa wenzetu wanao soma Bsc in...
Habari za Jioni, Ndugu zangu. Naomba majibu mazuri ndugu zangu. Nimemaliza Bachelor of Business Administration in Accounting. Naomba kujua Private Sector (NGO'S) or Public Sector zinazolipa mishahara mikubwa kwa Internship students. Nitashukuru kwa majibu yenu Mazuri.
Habari za wakati huu ,
Naitwa Aisha Jumaa Saidi, ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nikisoma Shipping and Ports Operations Management katika chuo cha (Bandari College).
Natafuta nafasi ya field attachment/internship kuanzia (August hii 2025) katika kampuni, taasisi au bandari yoyote...
Ndugu narejea tena naombeni nafasi ya kufanya internship au volunteer niweze kupata ujuzi zaidi mimi ni graduate nina masters of science in computer science umri miaka 28 ninauhitaji wa kufanya intern mkoa wowote.
Mimi ni mtaalamu wa data science , Machine learning, AI, mobile app, data...
Greetings Members,
I hope you are all doing well.
My name is Maduhu Joseph Manyanya, a recent graduate with a Bachelor of Science in Taxation from the Institute of Finance Management (IFM). I am currently seeking an internship opportunity in areas such as taxation, accounting, finance, or any...
Mimi ni Graduate in Quantity Surveying and Construction Economics at Ardhi University natafuta kampuni (contractor au consultant) ya kufanyia internship/ hata ajira itakua vizuri popote Tanzania.
Msaada Plz wakuu🙏🙏
Habari za wakati huu wana JF.
Nipo hapa kuwaomba mnisaidie natafuta nafasi ya Intern au kazi niko na Shahada ya mambo ya(Uchumi na Takwimu) from UDSM.
Nina ujuzi wa masuala ya Usimamizi wa bidhaa ama vifaa (Material controller) pamoja na kuwa data analyst.
Also, I’m capable of working as...
Habari zenu,
Naombeni fursa ya kazi mimi ni mhitimu wa chuo mwaka 2023 nina degree ya Umeme, kwa mwenye connection naomba anisaidie niendelee ujuzi wangu nimezunguka sehemu mbalimbali lakini mpaka sas sijafanikiwa kupata kazi hivyo naombeni msaada wenu
Kwa jina naitwa Ahmad ni kijana, mkazi wa mkoa wa Dar es salaam, nina Diploma in Public sector accounting & Finance natafuta mahali pakufanya internship katika kada ya accounting. Iwe sector binafsi ama serikali nitashukuru, kwa yeyote atakae guswa kunisaidia atanipata katika mawasiliano haya...
Wakuu habari.
Nina kijana anatarajia kuhitim mafunzo yake katika kozi ya Diploma in Clinical Dentistry mwezi wa nane mwaka huu.
Naomba msaada wa mwongozo au nafasi ya kazi, internship kwa niaba yake kwa kipind hicho.
Msaada wako ni muhim sana.
Position: Credit Officer Intern
Are you passionate about finance and ready to kickstart your career? Tatamwise Microfinance is offering internship opportunities at our Pugu branch for energetic, self-driven graduates or final-year students!
📌 What we’re looking for:
✅ Background in Finance...
Call for 3-Month Internship Vacancies: Agricultural Supply Chain, Food Supply Chain, and Transportation and Logistics and Related Fields (15 Posts)
Background
University of Dar es Salaam (UDSM) and the Kuhne Foundation (KF-TZ) have partnered to implement initiatives for a four (4) year SAFA...
Wakuu nimesomea political science and public administration specialized in international relations and diplomacy. Natafuta nafasi za internship; nafikilia JNICC. Je utaratibu wa kuomba internship jnicc upoje ?
Habari zenu wana JF.
Mimi ni binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka Ishirini na tatu. Ni fresh graduate mwenye shahada ya Uchumi yaani (BA in Economics) kutoka University of Dar es salaam.
Niko hapa kuwaomba mnisaidie nafasi ya Internship kwa wenye kampuni, connection au mnaofahamu mahali...
Habarini ndugu zangu. poleni na majukumu..
nina mdogo wangu mwaka huu anamaliza chuo course ya udaktari mwaka wa 5, baada ya hapo anatarajia kupangiwa hospitali kwaajili ya kufanya internship, kuna uwezekano akapangiwa hospitali zanje ya mkoa wa DAR ES SALAAM maana kwa sasa anasoma chuo nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.