innocent bashungwa

Innocent Bashungwa (Bashungwa)
Innocent Lugha Bashungwa (born May 5, 1979) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Karagwe in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. mwehu ndama

    PostGE2025 Innocent Bashungwa, usipotubu utaijua nguvu ya karma hivi karibuni

    Wew si ndie ulikuwa waziri wa mambo ya ndani, uliekua na dhamana juu ya ulinzi wa wananchi na utendaji kazi wa vyombo vya usalama nchini?? Sasa najua unajua mengi kuliko MTanganyika yeyote yule juu ya yaliyotukia 29 October !! Hivyo basi kujua kwako mengi kumekuweka katika hatari kubwa .Na...
  2. ESCORT 1

    Innocent Bashungwa: Mtanzania aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wakati watanzania wanauawa Oktoba 2025

    Bro alikuwa na kiherehere sana. Naombeni mniitie nimsalimie kidogo
  3. PAYE

    GE2025 Bashungwa: Atakayejaribu kuvuruga uchaguzi kesho atakutana na kisiki

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amewahakikishia Watanzania wote kuwa ulinzi na usalama umeimarishwa nchi nzima, hivyo wananchi wajitokeze kwa wingi kushiriki kupiga kura kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani bila hofu yoyote...
  4. R

    GE2025 Bashungwa: Vijana jitokezeni kupiga kura, epukeni uchochezi

    Akizungumza leo Oktoba 28, 2025, katika mkutano wa kufunga kampeni kuu za CCM kitaifa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni mgombea ubunge wa Karagwe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Innocent Bashungwa Bashungwa amesema vijana wana nafasi muhimu katika maamuzi ya nchi, hivyo...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Video: Mgombea ubunge jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa akipokea zawadi mbalimbali kutoka kwa wapiga kura wake

    Innocent Bashungwa Mgombea ubunge jimbo la Karagwe kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika...... "Rugera - Karagwe Upendo wa Wanakaragwe ni wa kipekee, kila ninapokutana na mwananchi mmoja mmoja au makundi mbalimbali, nimeendelea kushuhudia upendo, imani na mshikamano mkubwa, hususan...
  6. JanguKamaJangu

    GE2025 Innocent Bashungwa amuagiza IGP kudhibiti wahalifu wanaotumia Mitandao kuvuruga amani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, kuhakikisha Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama linaimarisha doria mtandaoni (online patrol) kwa lengo la kudhibiti baadhi ya wahalifu wanaotumia...
  7. JanguKamaJangu

    GE2025 Innocent Bashungwa aongoza kwa kishindo kura za maoni Ubunge Karagwe Mkoani Kagera

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Karagwe kimetangaza matokeo rasmi ya kura za maoni za kumpata mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Karagwe kupitia CCM, kufuatia uchaguzi uliofanyika tarehe 04 Agosti 2025. Katika matokeo hayo, Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ameibuka mshindi kwa kupata kura 7,902...
  8. Erythrocyte

    Bashungwa Wizara ya Mambo ya Ndani inaweza kukubeba juu au inaweza kukubwaga Chini

    Waliopigania Haki ya Wananchi Wizara hiyo iliwabeba, mfano Lyatonga Mrema, lakini walioamua kuwatosa wananchi na kuungana na watekaji na wauaji wizara hiyo iliwabwaga na wakaangukia Pua, hapa yupo Nchimbi na Masauni. Sasa kazi itabaki kwako, uamue kubaki na wananchi au uendelee kutetea...
  9. Roving Journalist

    Waziri Bashungwa: Tunafanya uchambuzi wa taasisi za Dini zinazofanya kazi kinyume na utaratibu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema Serikali inaenda kufanya uchambuzi vizuri kuhusu taasisi na Watu wanaofanya huduma za kidini bila kujisajili. Amesema hayo wakati akizungumza baada ya wasilisho la Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa...
  10. P

    PreGE2025 Waziri Bashungwa: Namuagiza IGP Camilus Wambura kuhakikisha wanaomkashifu Rais mtandaoni 'wanashughulikiwa'

    Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora. ===== Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Bashungwa apongeza Jeshi la Polisi, kwa kumkamata mtuhumiwa wa vitisho dhidi ya Padri Kitima

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu...
  12. upupu255

    PreGE2025 Waziri Bashungwa aahidi Milioni 5 kwa ukarabati wa Parokia ya Kome

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameahidi kutoa milioni 5 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya...
  13. Roving Journalist

    Mahakama yawezesha magereza 10, usikilizwaji wa mashauri kwa njia ya mtandao

    Mahakama ya Tanzania imekabidhi makasha 10 ya kisasa ya Mahakama Mtandao kwa Jeshi la Magereza, yatakayowezesha usikilizaji wa mashauri kwa njia ya mtandao ili kusaidia utoaji haki kwa wakati, kupunguza msongamano wa wahalifu magerezani pamoja na kupunguza gharama za usafirishaji wa wafungwa na...
  14. Mindyou

    Picha: Ibada ya kumwombea Magufuli yafanyika Geita. Janeth Magufuli, Innocent Bashungwa na viongozi wengine wahudhuria

    Ibada ya Misa ya kumwombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dokta John Pombe Joseph Magufuli inafanyika hii leo Machi 17, 2025 katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi Mlimani wilayani Chato mkoani Geita.
  15. Waufukweni

    PreGE2025 VIDEO: Innocent Bashungwa alivyomsaidia mtoto huyu kumtwisha dumu kichwani baada ya kuwakuta wakichota maji

    Wakuu Mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa, ameonyesha moyo wa huruma kwa kusaidia mtoto mdogo kumtwisha dumu la maji kichwani baada ya kumkuta akichota maji. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  16. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Awatunuku Wafungwa Vyeti vya Ujuzi Vinavyotambuliwa na VETA

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amewatunuku vyeti vya ujuzi wafungwa 201 wanaoendelea kutumikia vifungo vyao gerezani, waliohitimu mafunzo ya fani mbalimbali yaliyotolewa na Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). Bashungwa...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Bashungwa ashiriki dua ya kumuombea Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Msikiti wa BAKWATA Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera (Masjid Zahra), leo tarehe 6 Machi 2025. Awali, Bashungwa aliungana na Sheikh wa Wilaya ya Karagwe, Alhaj Nassibu...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Mawaziri Aweso, Bashungwa wakicheza muziki stejini wakiwa na vikapu Kichwani

    Wakuu Mawaziri wakisakata rhumba :BRUHMM: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa wakicheza muziki Jukwaani huku wakiwa na vikapu kichwa wakati wa ziara ya Rais Samia Mkoani Tanga. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
  19. Mindyou

    Waziri Bashungwa ataka wafungwa kuanza kupewa mafunzo ya VETA pamoja na vyeti pindi wawapo gerezani

    Wakuu, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innnocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na watakaohitimu mafunzo kutunukiwa vyeti vinavyotambuliwa na VETA wakati wanapomaliza vifungo vyao ili...
  20. Mindyou

    PreGE2025 Video: Innocent Bashungwa naye atinga mtaani kula kwenye mgahawa pamoja na wananchi. Tunamshukuru Rais Samia!

    Wakuu, Kuonesha kwamba yeye ni kiongozi humble na ambaye ana maisha sawa na wananchi, Bashungwa ametinga mtaani na kwenda kula kwenye mgahawa mmoja maarufu Nimpongeze Bashungwa kwa kwenda kula na wananchi wa hali ya chini, maana watanzania wote tunajua hapo ndio sehemu yake anayoenda kula kila...
Back
Top Bottom