STUKA! Maneno haya yanaweza kukuelekeza kwenye biashara ya bidhaa feki
Ukisikia muuzaji akitumia maneno kama:
“Makwaliti”
“Matelephone”
“Original kabisa”
“Dubai”
“Grade A”
“Masaiti”
“Boss Kweza”
“Kama Kariakoo”
…au anazungusha maneno mengi sana huku akiweka vispika vile vya kurekodi na...
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
Wakuu habari
Mkuu habari!! Nina changamoto ya kifedha kodi yangu ya nyumba imeisha mwenye nyumba wangu anatishia kunifungia nyumba Usiku huu, nina simu yangu naiuza nilinunua mwezi wa pili mwaka huu infinix hot 60 pro. Bei kama 220k.
Location Banana mawasiliano 0750607844
Habari wakuu nyumba ( pagale). Linauzwa ….
ipo mbezi marambamawili karibu na shule ya msingi kingazi jirani na tank la dawasco …
Ukubwa wa eneo ni sqm400……
Mauziano serikari za mitaa…
Bei sh 21m(bei inapungua)..
(Lina vyumba 6 (sio vikubwa)
0692669235
N:B.. amna udalali (karibuni)
Unatafuta SUV yenye nguvu, mwonekano wa kisasa na inayofaa kwa matumizi ya kila siku? Hii ni fursa yako!
Sifa za Gari:
Turbo Engine
Full Body Kit
Push Start
Viti vya Ngozi (Leather Seats)
Roof Bars
DVD Player
Kamera ya Nyuma (Reverse Camera)
Bei: TSh 26,500,000
Wasiliana: 0784 225 000...
SIFA ZAKE:
HP E Lite Book
Internal Hard Disk storage: GB 500
RAM storage: 8GB
Processor: 1.50GHZ
Price Tsh 195,000/=
Mawasiliano: 0798434285
🚫 Battery yake imeshakufa hivyo kutumia ni mpaka ichomekwe kwenye umeme.
Tatizo ni hilo tu, kila kitu kipo vizuri, ukiamua kubadilisha battery ni laptop...
LODGE NZURI INAUZWA (MIL 170) GOBA NJIA PANDA YA TEGETA "A" KWA NIABA YA BANK
Ina Vyumba Tisa (9) Vyote Self Contained Na Frem Nne (4) Za Biashara
Umiliki: Mkataba Wa Mauziano
Ukubwa Wa Eneo: SQM 810
Imekamata Barabara Kuu Ya Kwenda Tegeta "A"
Umbali: 2 Kilometres Kutoka Goba Road
Maji...
NYUMBA INAUZWA – KIBAMBA SHULE (HONDOGO), DAR ES SALAAM
💰 Bei: TZS Milioni 27 tu
Sifa za nyumba:
✅ Kiwanja ukubwa wa mita 23×25
✅ Umbali wa km 3 kutoka barabara ya lami
✅ Vyumba 2 vya kulala:
Master Bedroom 1
Single Bedroom 1
✅ Sebule
✅ Jiko
✅ Public Toilet
✅ Plasta ya ndani...
Habari maboss
Kiwanja chenye nyumba kinauzwa
Sqm 300
Docoment serikali ya mtaa
Eneo linaangalia barabara ya kwenda mitaani ambayo inapita magari aina yote ispokuwa ya abiria na mizigo mikubwa.Kwa badae Rami itahusika.
Kutoka eneo lilipo Hadi BaraBara kuu ya kwenda Goba au Madale kutokea...
Bei 286mil
Furahia maisha ya kifahari katika Penthouse hii nzuri iliyopo ghorofa ya 13, yenye mandhari ya kuvutia ya jiji na huduma bora za kisasa.
✨ Sifa za Nyumba: • Vyumba 2 vya Kulala (Chumba Kikuu En-suite) • Jiko la Kisasa la Open Plan • Sebule na Eneo la Chakula • Balcony za Sebule na...
HEKA 1 INAUZWA – MBEZI MSAKUZI
Eneo zuri lipo sehemu ya center.
• Ardhi imenyooka, hakuna bonde.
• Inafaa kwa makazi, biashara au uwekezaji.
Bei: TSh Milioni 70 tu
Wasiliana:
0675 065 906
Wahi sasa kabla halijapata mnunuzi.
Toyota Rush
Cc 1490
Milion 23.8
Dar Es Salaam
Nipigie simu kwa kuona Gari na ukaguzi wako.
📱0754693556
Toyota Rush ni gari aina ya SUV ndogo (compact SUV) inayotengenezwa na kampuni ya Toyota Rush. Inajulikana kwa kuwa ya familia, yenye nafasi na uwezo wa kuhimili barabara mbaya.
GHOROFA INAUZWA
IPO KARIAKOO DARESSALAAM🇹🇿
Underground, floor 1 and 2
▶Maduka yako kama 60
▶Inaingiza million 600 na kitu kila mwaka
BEI NI BILLIONS 7.8,MAONGEZI YAPO
🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717
#viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #daressalaam🇹🇿 #houseforsale #realestate