imara

The Naval Infantry Command (Spanish: Comando de la Infantería de Marina, COIM), also known as the Naval Infantry of the Navy of the Argentine Republic (Spanish: Infantería de Marina de la Armada de la República Argentina, IMARA) and generally referred to in English as the Argentine marines are the amphibious warfare branch of the Argentine Navy and one of its four operational commands.
The Argentine marines trace their origins to the Spanish Naval Infantry, which took part in conflicts in South America in the eighteenth and nineteenth centuries. Argentine marines took part in various conflicts of the nineteenth and twentieth century, notably the War of the Triple Alliance and the Falklands War. The marines (represented by the 5th Naval Infantry Battalion) are considered to have been among the best Argentine combat units present in the Falklands. The most recent war in which Argentine naval infantry took part was the Gulf War of 1990.
Today Argentine naval infantry are frequently deployed on UN peace-keeping missions.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

    kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
  2. JamiiForums Tanzania Haitatokea Rais shujaa kama Samia yupo imara katikati ya vita vikali vya uchumi duniani

    Unahitaji Rais bold kupambana katika nyakati hizi za vita kali za kiuchumi duniani ikiongozwa na ile vita ya UKRAINE. Serikali nyingi zimeangushwa kama after effect ya vita kali ya kugombea rasilimali huko UKRAINE. Ukiwa na jicho la kingwini basi huwezi kutambua ni namna gani vita inayoitwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawakosha Watanzania. Waomba irudiwe kwenye vyombo vya habari kwa mwezi mzima mfululizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata kiongozi imara,tumepata nahodha hodari,tumepata jemedari shupavu. Watanzania Tumepata Amiri Jeshi Mkuu Shupavu , Madhubuti na Shujaa kwelikweli. Tuna kila sababu ya kujivunia kuwa Na Rais Samia kitini. Tuna kila sababu ya kusema asante...
  4. JamiiForums Tanzania Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa imara, Kidumu Chama cha Mapinduzi (Jipangeni tena for 25 years)

    Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele. Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa. Wao wanapanga CCM inapanga. CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito. Imepenya majaribio mengi. Walitumia maafisa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Vijana wachache ubungo wamejaribu kufanya vurugu ila tupo imara kuliko jana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza kuwa hali ya amani na utulivu inaendelea kuimarishwa jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa vurugu kidogo zilizojaribu kutokea katika eneo la Ubungo, zimedhibitiwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ipi feni (panga boy ) imara

    Habar wakuu nimekuja kwenu mnipe uzoefu nataka kununua feni 10 hizi al maarufu panga boy Nikampuni ipi imara na Bei nzuri feni panga boy
  7. JamiiForums Tanzania Umadhubuti wa CCM unategemea upinzani imara

    Udhaifu wa vyama vya upinzani nchini unatutisha CCM wajibu mkubwa sana wa kuwa kiongozi na mhimili mkubwa na wa pekee wa umoja, maendeleo na ustawi wa Watanzania wote, hata wale ambao siyo WanaCCM. Hilo ni jambo la kwanza muhimu la kuzingatia tunapotafakari haya maneno ya Mwalimu Nyerere...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wavu imara kutoka Mifugo Plus

    Tunauza Wavu kutoka Mifugo Plus Karibuni Sana Tupigie sim number 0612323330 Tukuletee Mpaka ulipo
  9. U

    JamiiForums Tanzania Samia Nahodha jasiri pamoja na meli kupigwa na dhoruba baadhi ya mabaharia kujirusha majini bado umesalia imara ukiongoza chombo kwa ustadi mkubwa

    Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni mzoefu mwenye weledi mkubwa. Niwape uhakika muda siyo mrefu Jahazi laingia Pwani likiwa salama kabisa.
  10. JamiiForums Tanzania Public reception ya Mpina imekuwa tofauti na matarajio

    Niwe mkweli, public reception ya Mpina haijawa kubwa kivile kama ilivyotegemewa. Hii ni tofauti na public reception waliyopata Maalim Seif alipoanzisha KAMAHURU na baadaye CUF, Mrema kuhamia NCCR na Lowassa kuhamia CHADEMA. Hawa walipohama walihama na wanachama wa CCM na viongozi wao na jamii...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simba tumeshajiandaa kisaikolojia na figisu ligi kuu za kukosa ubingwa misimu kadhaa kwa kutochangia harambee, tumesimama imara !

    Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza. kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa...
  12. JamiiForums Tanzania Balozi Albert Chimbindi: Umoja na mshikamano ni silaha ya mtangamano imara wa SADC

    Umoja na mshikamano imeelezwa kuwa ni silaha pekee ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), ya kuimarisha mtangamano imara na wenye nguvu, utakaowezesha kufikia malengo yaliyowekwa na jumuiya hiyo. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kikao cha Maafisa Waandamizi wa SADC...
  13. JamiiForums Tanzania Mvutano ndani ya CCM ni alama ya kuvifungua akili vyombo vya dola. Vikiwa makini huu ndo wakati wa kusimika mifumo imara

    Siasa za Tanzania chini ya Chama cha Mapinduzi ni siasa za makundi kugombania Madaraka na Ulaji. Makundi yote yanafanana kwenye jambo kuu moja. Uchu wa madaraka ili kuila keki ya Taifa vizuri. Makundi yote haya yanaamini yakishika utawala wa nchi basi watapata hela wapendavyo, wataishi vizuri...
  14. JamiiForums Tanzania Chini ya kikwete huwezi kupata CCM imara

    GT Kati ya watu ambao waliiokoa CCM kimawazo hasa siku za hivi karibuni alikuwa ni hayati Ben Mkapa kikwete ilikuwa imeshamshinda. Ujio wa Magufuli ulirudisha heshima na nguvu ya chama lakini kikwete hana nguvu hiyo ni mstaafu lakini ana makundi. CCM ina bahati.mbaya sana Kuwa na mstaafu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mo Dewji kuzungumza na mashabiki wa Simba SC hivi karibuni

    Mohammed Dewji, mwekezaji mkuu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, amesema klabu haijapotea na iko kwenye mchakato wa kujijenga upya. Katika ujumbe kwa mashabiki, Dewji amesema huu si wakati wa lawama bali mshikamano na hatua chanya. Ameeleza kuwa Simba imejenga kikosi kipya, kuimarisha benchi...
  16. JamiiForums Tanzania Ndio maana nikiona Familia zinaendeshwa bila Baba hua naumia sana

    Wakuu, leo ngoja nitembee kivingine leo mimi nitaongelea kidogo japo kwa uchache kuhusu Baba km nguzo imara na msingi wa Familia Imara. Ni kwamba Familia yoyote chunguza km unaweza kuchunguza Familia inayoongozwa na Baba inakua haiteteleki wala kupata misukosuko maana Baba likitokea lolote la...
  17. JamiiForums Tanzania Gwajima amekosa hoja,sasa ameamua kutumia wafuasi wake kama ngao ili awapambanishe na vyombo vya dola, polisi simameni imara

    Friends and Our Enemies, Gwajima baada ya kushindwa na kukosa mashiko ya kisheria kufuatia kufutwa kwa kanisa lake kwa kile kinachodaiwa ni kukiuka taratibu na masharti ya uendeshaji wake sasa amemua rasmi kuzua vurugu na tafrani. Zipo taarifa za uhakika kuwa amepanga kila juma pili kukusanya...
  18. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Kifo cha Magufuli kilituacha na Giza Nene, lakini Samia alisimama Imara kwa Busara na Ujasiri wa Kipekee

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Alhamisi Juni 26, 2025, ametoa hotuba ya kuhitimisha Mkutano wa 19 wa Bunge la 12, huku akimkumbuka hayati Rais John Magufuli na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza vyema licha ya kuachiwa nchi katika kipindi kigumu...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

    Inshallah mwakani nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo. Naomba Kwa wanao jua nitahitaji mambo wa solar Kwa ajiri ya mwaga,kutotoreshea vifaranga na burudani kidogo si unajua porini Tena. Mimi binafisi nilinunua mtambo wa mySol Kwa mkopo kama m3 na ushee mtambo wa kati na ipo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tuwe na Imani Imara, Tusiogope

    Tuwe na Imani Imara, Tusiogope Imani Ni nini Katika imani za kidini, imani imara isiyokuwa na mashaka ni kitu cha lazima. Imani hafifu ni sawa na kuwa vuguvugu. Yaani, siyo baridi wala siyo moto. Kama Yesu Kristo alivyosema, katika Ufunnuo 3:15-16: "Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…