imam

Imam (; Arabic: إمام imām; plural: أئمة aʼimmah) is an Islamic leadership position. For Sunni Muslims, Imam is most commonly used as the title of a prayer leader of a mosque. In this context, imams may lead Islamic prayers, serve as community leaders, and provide religious guidance. Thus for Sunnis, anyone can study the basic Islamic sciences and become an Imam.
For most Shia Muslims, the Imams are absolute infallible leaders of the Islamic community after the Prophet. Shias consider the term to be only applicable to the members and descendants of the Ahl al-Bayt, the family of the Islamic prophet Muhammad. In Twelver Shīʿīsm there are 14 infallibles, 12 of which are Imams, the final being Imam Mahdi who will return at the end of times. The title was also used by the Zaidi Shia Imams of Yemen, who eventually founded the Mutawakkilite Kingdom of Yemen (1918–1970).

View More On Wikipedia.org
  1. Busu la Kenge

    Imam Hussein kachafukwa

    Naam kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, uonevu na ukandamizaji kachafukwa. Ayatollah khamenei kaenda kuwashtaki wa Marekani huko Firdaus mwamba akasema thisbulshit akaamua...
  2. Beira Boy

    Ukiishi jirani na mashia waislam wa imam Hussein shida ya maji utakuwa unaisikia mtandaon tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hawa wahindi wa imam Hussein dhehebu ambalo kiongozi wake ni ayatollah wanajielewa sana hawa jamaa Kwanza hawakubali kujenga nyumba pasipo kuwawekea majiran zao Bomba la maji kwa nje Wanachimba kisima then wanatoa maji bure kabisa Mimi...
  3. Busu la Kenge

    David Beck amuiga Imam Hussain pozi la picha

    Sir David Beckham eti naye amemuiga Imam hussein pozi la picha alipokuwa na mijibwa yake kijijini uingereza. Pozi hilo maarufu la kipekee ambalo kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya ukatili, udhalilishaji na...
  4. hamis77

    Imam anayepingwa na kutukanwa sana hapa Tanzania

    Ni imam mkuu wa dhehebu la Shia hapa Tanzania. Anaitwa Hemed Jalala. Anakubali kashfa zote ambazo masuni wanawatuhumu mashia. Lakini naye akifungulia vitabu vya masuni, wanajawa uchungu maana kwa mujibu wake ni kwamba masuni wana majanga mengi zaidi kuliko mashia. Video yake juu uchambuzi wa...
  5. Busu la Kenge

    Kiapo cha utii Kwa Imam Hussain (AS) - Sheikh Hemed Jalala

    Sheikh mkuu wa madhehebu matukufu ya kiislam ya Shia nchini, mpendwa Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge akiongoza watanzania kula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali (AS). Aliyeuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma...
  6. Busu la Kenge

    Kifo cha Imam wetu kipenzi kinaleta Simanzi.

    Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu. Alijitolea nafsi ili haki ipatikane duniani Na kurudisha utu wa ubinadamu. Wanadamu Sasa hivi tumejawa dhulma na uonevu na...
  7. ELI COHEN

    Imam wa Ujerumani: Ukimalizana na bikira mmoja, anayefuata atakuwa tayari kwa ajili yako. Mabikira hao hawataoneana wivu

    Imamu Muislamu nchini Ujerumani amesema:
  8. M

    Je ni kweli muislam akitangulia kunyanyua kichwa kabla ya Imam wakati wa swala anageuka punda kama Sahih Bukhari inavyosema? Nani amewahi geuka punda?

    Sahihi bukhari 691 inasema wakati wa kuswali ikitokea mtu yeyote ataanza kunyanyua kichwa chake kabla ya imam wake msikitini Allah atamgeuza huyo mtu kuwa Punda. Je ni kweli watu huwa wanageuka Punda msikitini ? Imesimuliwa na Abu Huraira: Mtume (ﷺ) alisema, "Je, huyo anayeinua kichwa...
  9. ELI COHEN

    Imam wa Iran: "Wanawake ni wanyama walioumbwa na allah ili kutumika na Wanaume"

    Anaendelea kusema: "Wanawake si tofauti na ng’ombe, kondoo, farasi, au nyumbu. Mungu aliwaumba wanawake wafanane na wanadamu ili wasiwaogope wanaume.”
  10. ukwaju_wa_ kitambo

    Profesor jay ( na bado) - imam abbas

    PROFESOR JAY - NA BADO Na mwaga Damu juu ya fedha/ na dini mitaa ya kati/ kuwa makini Tumuamini nani..?/ mie mc fanani mchaza vichwa Amani/ Au kiongozi Saratani / acha hanasa na mpaka Siasa hakuna Tundu kwenye Sanaa/ hii balaa jiangalie saa ukutani/ tufanye kweli kwenye fani/ kuwa mapaga nani...
  11. MK254

    Imam aliyeishi Italy miaka 30 afukuzwa baada ya kuagiza waislamu waanze vita dhidi ya wasioamini katika uislamu

    Alipewa hifadhi miaka 30 Italy uzunguni, ghafla kaingiwa na ile mizuka yao na kuanza kuhubiri ugaidi wa kiislamu kwamba waislamu wote waanze vita dhidi ya wasiaomini kwenye hiyo dini. Swali la kujiuliza, hii dini imebuniwa juzi tu, miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, waumini wake wanajiaminisha...
  12. Ritz

    Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malen

    Wanaukumbi. Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran. https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  13. MK254

    Watoto wanafunzi wa madrassa wamuua Imam aliyekua anawalawiti

    Jamaa alikua anatoa ilmu ya kurani huku akiwalawiti hao wavulana, wakaamua kuungana na kumpa madawa ya usingizi, alipolala wakamuua.....bora akapewe mabikira kule. ‘He was sexually abusing us’: 6 minor students of a madrasa arrested for murder of Maulana Mohammad Mahir, say they were fed up...
  14. MK254

    Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza..... https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
  15. MK254

    Imam atolea maelezo jinsi inaruhusiwa kuteka na kuua watu kwenye uislamu

    Aagiza Wayahudi wasakwe na kutekwa na kuuawa maana kurani imetoa maagizo hayo, Wayahudi wanafahamika kama "people of the book" kwenye kurani. ==================...
  16. D

    Hakuna anayeruhusiwa kuwa Imam bila kuwa na kazi inayomuingizia kipato.

    Huku kwetu tunadanganywa sana eti mtu anakuwa padre, mchungaji au Pastor halafu hatoi sadaka kabisa ispokuwa waumini ndo wanaokamuliwa as if ndo Wana pesa. Mapadre wanashinda Baa wanakunywa pombe lakini kutoa sadaka siyo jukumu lao Bali la waumini wanapwaita walaei. Uislamu ni dini ya haki na...
  17. Mhaya

    Mkanganyiko wa Kiimani

    Pichani, Jamaa mwenye nguo nyeupe 🤍 anadai kuambiwa na MUNGU kuwa anywe pombe lakini asioe. Vilevile jamaa mwenye nguo nyeusi 🖤 nae anadai kuambiwa na MUNGU kuwa asinywe pombe lakini aoe wanawake wengi. Je ni Upande hupi ni Sahihi, 🤍 au 🖤?
Back
Top Bottom