Mtu yeyote atakayekuja anaungana na sisi kwenye madai ya katiba huyo tuko pamoja naye, kama anazungumza lugha moja na Wananchi na Watanzania huyo tuko pamoja naye, "Bw. John Heche - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
Mtangazaji:
"Hivi karibuni tumesikia mara kadhaa wana CCM wakisema kwamba swala la...