ikulu

The White House (Ikulu), also known in English as the State House, is an official residence and workplace of the President of the United Republic of Tanzania. The current building, then called Government House, was constructed under the first British Governor of Tanganyika Horace Byatt in 1922 to the designs of architect John Sinclair. It is built on the remains of the original building constructed by the German administrators of German East Africa that had been damaged by the Royal Navy in December 1914. The south wing was added in 1956 to honour the visit of Princess Margaret, Countess of Snowdon and retains the name The Princess Margaret Wing to this day. The building was renamed State House on independence.
The State House blends African and Arabian architecture, with wide verandahs and covered walkways. It is white-walled with floors of African terrazzo, and stands in over 33 acres (13 ha) of grounds overlooking the Indian Ocean on the east and Dar es Salaam to the west. The brass-studded west doors are surmounted by a replica of the Republic's Coat of Arms and flanked by two giant drums. During 2001 one of the entrances after the car gates was adorned with two male Lions overlooking guests as they would be welcomed to the State House of The United Republic Of Tanzania.
The building contains a number of gifts from state visitors, including an Ethiopian shield with crossed spears, given by Emperor Haile Selassie and a representation of the coat-of-arms of the Republic of Tanganyika, given by the government of India in 1961, that acts as a backdrop to the President's seat in the Council Chamber.

View More On Wikipedia.org
  1. Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

    Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
  2. Israel waanza kupiga maeneo ya karibu na makazi ya Ayatollah na Ikulu, ichukuliwe kama onyo watapiga popote

    Ayatollah kama analala kwake, basi amesikia mabomu yaliyopiga maeneo ya jirani...... The Israel Defense Forces carried out several additional waves of airstrikes across Iran early Saturday, concentrating on the capital, Tehran, where explosions were reported near Mehrabad International Airport...
  3. Utafungiaje Twitter halafu uendelee kuitumia?

    Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani. Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate...
  4. T

    Hizi coverage za Ikulu ndio zimekosa ushawishi hivi .? Watanzania 2 tu kwa zaidi ya saa 3 .?T

    Ndugu Kwamba coverage za Ikulu ndio zimekosa watazamaji mpaka kufikia Watanzania 2 kwa zaidi ya saa 3 .? Inabidi msigwa afanye kitu, aanze kulipia viewers kama Harmoniza na Diamond walivyokuwa wanafanya
  5. Ikulu ya Tanzania ishtakiwe kwa mutumia VPN

    Kusajili vpn gharwma zake na taratibu zikoje
  6. Kivipi naweza kupata email ya ikulu, serikali, international organisations ili kuwasilisha malalamiko yetu eneo la kazi (whistleblowing)?

    Ninapofanya kazi sio shwari kuna mambo mengi hayapo sawa. Huyu muwekezaji ana nguvu na anajeuri ya kupindisha mambo ya kisheria kuanzia kwa wafanyakazi mpaka mambo ya kimamlaka na ukosefu wa uadilifu. Nataka nifikishe ili jambo kwenye vyombo vya serikalini na watetezi wa haki za wafanyakazi...
  7. Pastor Abiud Misholi: Maaskofu acheni kujipendeza Ikulu, matakuja kusababisha mabaya makubwa sana katika nchi

    Wasalaam Kuna kipindi Watanzania huenda watakuja elewa na waelekee wapi. Msikilize Watumishi wa Mungu msigeuke kuwa wapendekezaji mnapopata nafasi ya kuakaa na waheshimiwa waambie ukweli. Ninyi Maaskofu mnaupenda kula vitu vya Ikulu, matakuja kusababisha mabaya makubwa sana katika nchi
  8. Mwalimu Nyerere aliposema Ikulu ni Mzigo alimaanisha nini?

    Kwa Mujibu wa mambo ya Kweli ni kwamba, Unapokuwa Ikulu kwa maana ya kuwa kiongozi mkuu wa Nchi, wewe unakuwa Mtukufu, yaani hakuna njaa wala gumu lolote kwako binafsi, familia yako, marafiki zako pamoja na wapambe wako. Yaani wewe ndiye mwajiri Mkuu na ndiye mlipaji mkuu, kwa kifupi wewe...
  9. N

    Askofu Gwajima kushusha radi nzito kesho Kanisani kwake

    Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia. Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo...
  10. Ellon Musk aondoka ikulu ya Marekani akiwa mnyonge baada ya kutapeliwa na raisi Trump

    Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake.Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump aliwatapeli Hamas na kumpata raia huyo kirahisi kabisa.Tabia zake hizi ziliwanasa warembo wengi wa Marekani...
  11. Hivi shanga za wanawake kiunoni huwa zinaongeza nini wakati wa sex?

    Kuna mtu nilikua namshughulikia usiku wa leo,kavaa mashanga kiunoni..binafsi mimi hayajanivutia,nimeona kama ni uchafu tu. So maybe help me to understand, hiyo mishanga huwa inaongeza nini wakti wa kukulana?
  12. Moto wa Madhabahuni Waelekezwa Ikulu?

    Radi ya kisiasa sasa inashushwa kwa mahesabu. Si radi ya anga, bali ni ile inayopigwa kutoka maabara za mikakati—ambapo lengo si kuangaza, bali kuchoma. Maji yaliyowahi kuchemshwa yanarudishwa jikoni, lakini safari hii, mvuke unapaswa kufika mbali zaidi. Kete za madaraka zinachezewa kwa mikono...
  13. Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu

    Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu. Suala hili la kesi za mchongo limeongeza umaarufu wake duniani kote na imani zaidi kwa wananchi atakapoachiliwa dunia lazima itasimama.
  14. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  15. Mtimishi wa Ikulu anapofariki na miaka 66 akiwa kazini, je wenzetu hawastaafu?

    Hivi watumishi wa ikulu huwa hawastaafu? Juzijuzi kuna mtumishi mmoja wa kisiwa cha Caribean amekufa akiwa na miaka 66 Mtumishi huyo amewahi kuwa mtangazaji maarufu wa TV na Radio Sheria za kisiwa hicho zikoje? Namuongelea chaz Al hilal mkurugenzi wa mawasiliano ikulu zanzibar
  16. Hivi nyie wenye Vyeo na Mamlaka huko Serikalini (Bara na Visiwani) hadi Ikulu mnataka niwe kila mara nawakumbusha hili tu? Kwanini hamlitekelezi?

    Nilishawahi kusema hapa hapa JamiiForums kwa Utuo kabisa kuwa kama unajijua una Cheo chochote Serikalini (hadi Ikulu) kwa pande zote mbili za Bara na Visiwani kama ni Mcha Mungu basi hakikisha Chakula chako Kikuu kiwe ni Ibada kama GENTAMYCINE na vile vile kama ni Mshirikina Tukuka kama 'Mashavu...
  17. PreGE2025 Kesi ya Lissu inapigia promo uchaguzi wetu ujao kufuatiliwa kimataifa na kutegewa sikio na inamsogeza Lissu karibu na Ikulu

    Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani. Tukiangalia kesi ye lissu iliyotokana na kuhamasisha kwake mageuzi ya kiuchaguzi na kufunguliwa mashtaka ya uhaini...
  18. Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
  19. L

    Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi Wenyeviti wa Bodi Mbalimbali

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya matumaini. Amefanya uteuzi wa...
  20. Kitendo cha Rais Magufuli kununua ng’ombe 30 na kuanza kuwafuga Ikulu ni kielelezo tosha asingeachia madaraka

    Nasikiliza interview ya Jesca Magufuli binti wa Rais Magufuli. Anasema baba yake alipoona Ikulu ya Chamwino ina eneo kubwa akaamua kununua na ng’ombe 30 na kuanza kuwafuga humo Ikulu. Pia alinunua na kuanza kufuga kuku pia. Huyu mtu hakuwa na nia ya kuachia madaraka, kama alianza na ng’ombe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…