ikulu ya marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiCheck

    SI KWELI Mdau bainisha dosari zinazoonekana kwenye picha hii inayowaonesha baadhi ya viongozi wa Ulaya wakiwa Ikulu ya Marekani. Je, ni halisi?

    Mdau wa JamiiCheck.com bainisha dosari zinazoonekana kwenye picha hii inayowaonesha baadhi ya viongozi wa Ulaya wakiwa Ikulu ya Marekani akiwemo Emmanuel Macron na Ursula von der Leyen wakiwa wamekaa kwenye korido ya White house kwa unyenyekevu wakimsubiri Donald Trump, iwapo ni halisi la...
  2. Mikael Aweda

    Matukio & maonevu 8 yanayofanana ya donald Trump na Lissu yaliyosababisha Trump kuweka historia adimu ya kurudi ikulu ya Marekani. Lissu ataweza?

    Wanajf, Mwaka juzi na mwaka Jana nilifuatilia uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2024 kwa miaka miwili mfululizo. Na sasa nafuatilia uchaguzi wa hapa kwetu Tanzania. Nimegundua kuwa Kuna matukio 8 yanayofanana kwenye Kesi na Figisu za Trump na Lissu. Mambo hayo yalisababisha Trump kuweka...
  3. Webabu

    Elon Musk aondoka na kujitenganisha na Serikali ya Donald Trump

    Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake. Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump aliwatapeli Hamas na kumpata raia huyo kirahisi kabisa. Tabia zake hizi ziliwanasa warembo wengi wa...
  4. Webabu

    Ellon Musk aondoka ikulu ya Marekani akiwa mnyonge baada ya kutapeliwa na raisi Trump

    Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake.Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump aliwatapeli Hamas na kumpata raia huyo kirahisi kabisa.Tabia zake hizi ziliwanasa warembo wengi wa Marekani...
  5. Setfree

    Pasaka ni sikukuu kubwa kuliko Krismasi - Ikulu ya Marekani yaandaa sherehe nzito!

    Wiki hii kote ulimwenguni Wakristo watasherehekea Pasaka. Pasaka ni sikukuu kubwa kwa Wakristo kwa sababu ni siku ya kuadhimisha tukio muhimu sana katika imani ya Kikristo — kufufuka kwa Yesu Kristo kutoka kwa wafu. Bila Pasaka, hakuna Ukristo. Ndiyo sababu Wakristo huiona Pasaka kuwa ni siku...
  6. D

    Ni watu wa aina gani wanaofanya kazi Ikulu ya Marekani au Urusi??

    Eti wakuu, leo wakati ninatazama Al Jazeera ghafla ikaja akili mwangu kujiuliza, hivi Ikulu za nchi kama Marekani, Russia, China au Uingereza kuna watu wa aina gani kule wanaajiriwa?? Kwa maana wale jamaa, habari za dunia nzima wanazo, brands zote kubwa duniani ni zao (Google, Microsoft, Meta)...
  7. enzo1988

    Secret Service wampiga Risasi Mtu mwenye silaha nje ya Ikulu ya White House

    Trump awe makini coz watu wana hamu naye! Safari hii wamemuwahi jamaa kabla hajafanya yake! Huduma ya Ulinzi wa Rais wa Marekani (Secret Service) ilimpiga risasi mwanamume mmoja nje ya Ikulu ya White House mapema Jumapili baada ya kile kilichoelezwa kuwa "makabiliano yenye silaha," kwa mujibu...
  8. U

    Baadhi ya Wamarekani washangazwa n kitendo cha Elon Musk kumpeleka mtoto wake ndani ya Oval House kukutana na Donald Trump

    Wadau hamjamboni nyote? Siku ya jana, Elon Musk alimtembelea Rais wa Marekani Donald Trump kwenye ofisi ya Rais maarufu kama Oval Office. Kilichovutia na kushtua wengi ni baada ya kumleta mwanae katika kikao chake na Donald Trump, jambo ambalo limeleta hisia tofauti kwa wachambuzi mbalimbali...
Back
Top Bottom