idara ya usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Taifa letu lingekuwa na Idara ya usalama wa Taifa makini yaliyotokea Oktoba 29 yasingetokea na taifa letu lisingepata aibu kubwa kama hii

    Idara ya usalalama wa taifa makini ni ile ambayo inamuambia rais aliyepo madarakani ukweli. Kama raia wanamchukia kwa ufisadi na mambo yasiyofaa anaambiwa ukweli. Sio kumdanganya kuzunguka na mabasi ya Yutong zaidi ya 80 alafu wananchi wanamchukia huku anafanya kampeni. Hata Mwalimu Nyerere...
  2. M

    Mzee mmoja alinisimulia kuwa zamani Idara ya Usalama wa Taifa (special branch) ndio ilikuwa inampangia Rais nani awe kiongozi

    Mzee huyu ni marehemu. Alifanya kazi na mwalimu Nyerere. Alisema kila suala linalohusu kiongozi ni special branch. Ilikuwa ikimpatia rais taarifa za mtu yoyote anayefaa kuwa kiongozi. Leo hii hakuna special branch. Kuna Tiss. Sidhani kama wanafanya kama enzi za Nyerere. Wangekuwa wanafanya...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

    Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu. By Ponjoro wa Kinondoni Kwasasa safarini kizimkazi.
  4. Ex Spy

    TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

    Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980). Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayesimamia Usalama wa Taifa, Dr. Hassy (Hassan) Kitine amefariki dunia...
  5. GENTAMYCINE

    Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?

    Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan. Na taarifa ambazo Mtanzania Mimi GENTAMYCINE niliye na Marafiki huko Kisiwani Puerto Rico nilizonazo ni kwamba CHUKI hii kubwa na...
  6. The Palm Beach

    Hussein Bashe [MB] aomba Bunge kuunda kamati teule ya Bunge kuchunguza kikundi cha utekaji kilichopo ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa - TISS

    https://youtu.be/63sXH3357rs?si=3ImWk0_uC_FVkAcf Tunafukua makaburi: Hapo ni Bashe alipokuwa bado mbunge tu, back bencher hajalambishwa asali ya uwaziri. Baada ya hapo, aliteuliwa kuwa Waziri na kisha naye akajiunga na watekaji🤔🤔🤔 halafu kimyaaaa mpaka Leo... Alilia na kuwa na hofu baada ya...
  7. Just Pray

    PreGE2025 John Mnyika: 'Pattern' ya matukio ya jana, inaonesha kuna ushiriki wa idara ya usalama wa taifa, na serikali moja kwa moja

    "Matukio haya kwa Pattern yake pamoja na kuwa mzigo wote unaliendea jeshi la polisi kwa sababu jeshi la polisi na vyombo vyake ndilo ambalo lilikuwa mstari wa mbele siku ya jana kwenye kamatakamata kwenye vipigo, kwenye matukio yote. Lakini ukiyatazama kiundani matukio ya jana kivyovyote vile...
  8. U

    Netanyau atengua uteuzi wa Mkuu mpya idara ya Usalama wa ndani ya shin bet Jenerali Eli Sharvit masaa 24 baada ya kumteua

    Wadau hamjamboni nyote? Katika Mabadiliko ya Ghafla, Netanyahu Afuta Uteuzi wa Mkuu wa Shin Bet Kufuatia Upinzani wa Washirika Masaa 24 tu baada ya kutangaza uteuzi huo, Waziri Mkuu amebadili uamuzi wake na kusema atafanya mahojiano na wagombea wengine. Kiongozi wa upinzani, Benny Gantz...
  9. KING MIDAS

    Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

    Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious. Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli. Tunafahamu...
  10. Bams

    Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  11. U

    Nabil Qaouk kiongozi mkuu idara ya usalama Hezbollah auawa akiwa kwenye handaki usiku huu kwa shambulizi la ndege za IDF Beirut

    wadau hamjamboni nyote? Kazi kusafisha magaidi inaendelea Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: IDF says senior Hezbollah official Nabil Qaouk killed in Beirut airstrike last night By Emanuel Fabian Follow Today, 11:43 am The IDF announces that senior Hezbollah...
  12. JF Summary

    Mkapa and Kikwete had one Director of TISS during their tenure. However, 4 Directors have been replaced within less than 2 years. What’s going on?

    President Samia Suluhu Hassan appointed Suleiman Mombo as the new Director General (DG) of the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS). According to a statement from the Presidency, Mombo was sworn in on July 11, 2024, at the State House in Dar es Salaam. In recent years, frequent...
Back
Top Bottom