idara ya uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Uzembe wa Idara ya Uhamiaji Tanzania katika Huduma kwa Wateja

    Ndugu wanajamii, Nimechoshwa na uzembe unaofanywa na Idara ya Uhamiaji Tanzania hasa kwenye masuala ya utoaji wa huduma kwa wateja. Kwanza kabisa, hakuna namba maalum ya huduma kwa wateja ambayo mtu anaweza kuipigia kwa msaada pale ambapo kuna shida yoyote. Ni aibu kuona idara kubwa kama hii...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yaitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea Misako na Doria kubaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata Sheria za Nchi

    Serikali imeitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuimarisha Misako na Doria za kuwabaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata sheria za nchi pamoja na uhalifu unaovuka mipaka. Hayo yamesemwa Julai 5, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati akizungumza katika Ufunguzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kwa Idara ya Uhamiaji Makao Makuu kukosa Generator

    Leo siku ya tatu tunasubiria passport ya ndugu yetu ambae ni mgonjwa.Alitakiwa kuwa India tokea juzi lakini tunaambiwa hakuna passport zinazochapishwa kwa sababu ya kukosekana umeme pale kwenye jengo lao Kurasini. Tunakubali hitilafu za umeme ni za kawaida lakini kweli sehemu nyeti kama ile...
  4. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  5. JamiiForums Tanzania Boda ya Horohoro (Kenya - Tanzania) vyoo ni vichafu na abiria wanakoma kwa joto (AC hazifanyi kazi)

    Wiki iliyopita nikiwa natoka Kenya kuja TZ kupitia boda ya Horohoro kuna mambo mawii niliyoona na yakanikata na kunifanya nitafakari kuhusu mamlaka zetu hizi za Uhamiaji. Nilikuta mazingira ya vyoo ambavyo vinatumiwa na abiria ni vichafu na vinahatarisha hata afya ya watumiaji, kuanzia...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Idara ya Uhamiaji Leo 11/12/2022

    Habari zenu wandugu, naomba niende kwenye hoja Moja kwa Moja. Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za ajira 500 kwa vijana wa kitanzania wenye sifa na vigezo mbalimbali vya kitaaluma Leo tarehe 11/12/2022. Unaweza pitia attachments hapa chini kufahamu zaidi. Lengo la Uzi huu ni kuweza kupata...
  7. JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji imemtisha na inamsaka aliyevujisha taarifa ya watalii kusota kisa wao pale KIA

    Hivi kosa la huyo mtu mwema anayebainisha mapungufu lipo wapi?! Eti taharuki kwa umma, hovyo kabisa. Uhamiaji acheni vitisho mnapoumbuliwa bali chukueni changamoto kabla somo jema kwenu kujirekebisha.
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Watalii walalamikia huduma mbovu za Idara ya Uhamiaji KIA

    Kwenye mapungufu lazima tuseme na moja la pungufu kwa Idara ya Uhamiaji ni huduma mbovu si kwa wageni pekee hata kwa Watanzania. Idara hii imekuwa ikifanya shughuli zake kwa maringo na kujisikia sana! Mipakani kwa mfano unakuta Afisa hayupo dirishani na yupo pembeni akiperuzi simu yake huku...
  9. JamiiForums Tanzania Idara ya uhamiaji kaeni mjitafakari utendaji kazi wenu, wilayani na mikoani

    Niende moja kwa moja kwenye mada naomba mod usiunganishe huu uzi maana hawa uhamiaji Uzi zao zimekuwa nyingi sana, na ni jeshi ambalo kama limejisahau hivi wao wanachoweza ni kutembelea nyumba za wageni, vituo vya usafiri kukuta wageni na kubageini biashara imeisha hawatimizi wajibu wao...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Idara ya Uhamiaji (470)

    Jamani mwaka mpya na fursa za ajira zimetangazwa kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Wale wenye sifa tujimwage kujaribu bahati zetu. Tangazo hili linapatikana pia kwenye page yao ya Instagram. Halafu si tuliambiwa Uhamiaji sasa ni jeshi, sasa mbona msemaji wao bado anaitambulisha kama Idara ya...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 350 Idara ya Uhamiaji Tanzania 2021

    Idara ya uhamiaji Tanzania wametangaza nafasi za kazi 350 kwa watanzania kama tangazo linavojieleza hapa chini
  12. J

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji sasa kuwa Jeshi kamili na litawajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu

    Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…