idadi kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zee la madawa

    Kanda ya ziwa kuna idadi kubwa ya wagonjwa wa sickle cell,Asthma na ugonjwa wa virusi vya ukimwi

    Ukifuatilia vyanzo vingi sana vya utafiti not about vyanzo mimi pia ni shahidi kwasababu mimi nimefanya kazi kanda ya ziwa nimekuja kugundua kanda ya ziwa hasa hasa mikoa ya shinyanga,Mwanza,Geita na Tabora japo Tabora si kanda ya ziwa ila kuna idadi kubwa ya wasukuma magonjwa kama asthma na...
  2. Pakome

    Idadi kubwa ya Wananchi inalinda wanafamilia pamoja na mali zake sababu kubwa iliyopelekea kupuuzwa kwa maandamano

    Baada ya Wananchi kuumwa na nyoka baada ya kupoteza wanafanilia pamoja na mali zao, wamebadilisha fikra zao na kuamua kulinda familia pamoja na mali zao badala ya kushiriki kwenye maandamano, idadi kubwa inasema haitaki kupoteza urithi wake wa watu na mali uliotafutwa miaka kenda iliyopita...
  3. naliwe

    Idadi kubwa ya Gen Z wameikimbia Dar es Salaam

    Kama afisa usafirishaji, nimeshuhudia vijana wengi wa GEN Z wakiukimbia mji wa Dar es Salaam
  4. kadiri kasimba

    Wajue wanawake na wanaume waliovunja rekodi ya kufanya mapenzi na idadi kubwa ya watu duniani!

    Orodha fupi ya wanawake waliowahi kudaiwa kuvunja rekodi ya kuwa na wanaume wengi zaidi kimapenzi (hasa kupitia filamu au matukio ya watu wazima): Wanawake waliotajwa kwenye rekodi za “gang bang” Annabel Chong (1995, Los Angeles, Marekani) Alidai kufanya ngono na wanaume 251 mfululizo ndani...
  5. C

    Kama watu wanaweza kutekwa na wasijulikane milele kwa idadi kubwa namna hii kuna haja gani ya kuwepo vyombo vya ulinzi nchini?mlinzi wa raia ni nani?

    Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
  6. W

    Kwa hiki kibaridi ! mwezi wa tatu na wa nne hauwezi kuwa na mpinzani kwa idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa.

    Kwa hiki kibaridi mwezi wa tatu hadi wa nne utaendelea kuwa na rekodi ya foleni kubwa wodi za kujifungua
  7. Daby

    Umeshindwa kuacha kula nini?? Binafsi nimeshindwa kuacha Kula idadi kubwa ya Tende licha kujua athari zake.

    Nimejitahidi kuacha sukari na chumvi kwa kiasi fulani ila nimeingia kwenye uraibu wa tende. Kwa siku naweza kula 50. Meno yananiuma ila nikiziona tu roho inanianza. Nimeshindwa kuacha tende. Wewe umeshindwa kuacha kula nini ambacho unajua kabisa hakihitajiki kiliwe kwa wingi kama unavyokila??
  8. W

    Wakoloni waliyahusisha baadhi ya makabila kwenye Elimu, Ulinzi, Dini na Uongozi, kwanini wasukuma hawakuhusishwa licha ya idadi yao kubwa ?

    Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu. Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ? Ni kwamba nje ya...
  9. Mr Why

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
  10. N'yadikwa

    Kwanini ukienda hospitali idadi kubwa ya wanaotibiwa ni wanawake?

    Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!? No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
  11. L

    Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amesema ya Kuwa...
  12. Poppy Hatonn

    Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu

    Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU; 1. Afrika Kusini: 7,700,000 2. Msumbiji: 2,400,000 3. Nigeria: 1,700,000 4. Uganda: 1,500,000 5. Kenya: 1,400,000 6. Zambia: 1,300,000 7. Zimbabwe: 1,300,000 8. Malawi: 980,000 9. Ethiopia: 610,000 10. DRC: 520,000
  13. Yoda

    Tatizo kubwa la usafiri Dar inawezekana ni idadi kubwa ya watu na jiografia ya mji ilivyokaa

    Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi, halafu jioni tena karibia watu wote hao wanageuza kurudi makwao kwa pamoja kama kumbi kumbi. Kwa...
  14. DR HAYA LAND

    Jamii za watu weusi zina idadi kubwa ya Watu wenye Crab Mentality (Kaa kwenye ndoo)

    Jamii nyingi za WATU weusi zina Crab mentality au huitwa kaa kwenye ndoo. Kaa wakiwa kwenye Ndoo yule mmoja anayejaribu kutoka huwa anavutwa na kurudishwa ndani ili asitoke , maana yake kinachotekea hakuna kaa atakayefanikiwa kutoka katika ndoo. Hii ndo mentality ya jamii nyingi za WATU weusi...
  15. Mr Why

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
  16. Mr Why

    Mdahalo wa ndoa, Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha, hoja zangu ni za upande wa hasara, weka zako

    Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
  17. Kusini pride

    Kwanini mikoa yenye idadi kubwa ya Waislamu kuna maambukizi machache ya UKIMWI?

    Natafakari sana aisee hivi kwanini mikoa mingi ambayo kuna idadi kubwa ya waislamu kuna maambukizi machache ya virusi vya ukimwi? Tunaona kila mwaka mikoa kama lindi na sehemu kama zanzibar ambapo kuna idadi kubwa ya waislamu kunaripotiwa visa vichache vya amambukizi ya ukimwi je kwamba wana...
  18. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Florence Samizi (Mb): Matokeo ya Royal Tour Yaonekana Moyowosi, Idadi Kubwa ya Watalii na Mapato Vyaongezeka

    DKT. FLORENCE SAMIZI: MATOKEO YA ROYAL TOUR YAONEKANA MOYOWOSI, IDADI KUBWA YA WATALII NA MAPATO VYAONGEZEKA Mbunge wa Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema filamu maarufu ya Tanzania The Royal Tour iliyochezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
  19. Lanlady

    CHAKUHAWATA chaendelea kusajili idadi kubwa ya wanachama

    Hatmaye Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) chazidi kushika kasi kwa kuongeza idadi ya wanachama, wengi wao wakiwa ni wale wanaohama kutoka CWT. Wilayani Butiama mkoani Mara kumekuwa na kasi kubwa ya uhitaji na ujazaji wa fomu za kujitoa kwenye chama chao cha...
  20. I

    Nchi 10 zenye idadi kubwa ya watumiaji wa mtandao wa Intaneti barani Afrika

    Wakati matumizi ya mtandao barani Afrika bado ni ya chini ikilinganishwa na maeneo mengine ya dunia, hatua kubwa zimepigwa katika miaka ya hivi karibuni. Mtandao sasa ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku, na umebadilisha sana jinsi tunavyowasiliana, kufanya kazi, kujifunza na kupata...
Back
Top Bottom