ibrahim lipumba

Professor Ibrahim Haruna Lipumba (born 6 June 1952 in Ilolangulu, Tanganyika Territory) is a Tanzanian economist and politician He served as the National Chairman of the opposition Civic United Front (CUF) party from 1995 until his resignation in August 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Unafikiri nini kilikuwa kinaongelewa kati ya Lipumba na Mbowe kwenye picha hii?

    Uongozi ni kama koti la kuazima; Mbowe na Lipumba sasa si viongozi tena! Pia soma Mirambo arithi mikoba ya Profesa Lipumba CUF Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
  2. JanguKamaJangu

    Taarifa rasmi ya CUF kuhusu Msajili kutengua matokeo ya Viongozi wa Chama hicho chini ya Prof. Lipumba

  3. ChekoFagia

    Lipumba: Inatisha majaji wa mahakama kuu kwa shinikilizo la CCM wanaeleza Uongo

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa Tume ya Uchaguzi ilieleza kuwa kati ya wapiga kura walioandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura wapatao milioni 37, kati yao milioni 32 walijitokeza kupiga kura, jambo ambalo amelieleza kuwa ni uongo wa wazi...
  4. DuaZaMama

    Lipumba: Miaka 65 tangu uhuru hatuna mfumo wa demokrasia katika nchi hii

    "Mwaka huu utakuwa mwaka wa 65 tangu tumepata uhuru bado hatujajenga Demokrasia, miaka saba mkoloni alikubali kuiachia Tanganyika na kupata uhuru bila kupiga watu risasi, miaka 65 hatuna mfumo wa demokrasia katika nchi hii" Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba.
  5. Waufukweni

    GE2025 Prof. Lipumba: Ukisema waliofanya uhalifu wametoka nje ni kama kutangaza mipaka haina ulinzi. Katika hali kama hiyo Rais unapwaya

    Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na vyombo vya habari Novemba 6, 2025, amesema kwamba kitendo cha Rais Samia kudai kuwa walifanya uhalifu ni watu kutoka nje si sawa na alipaswa kufikiria kabla ya kuvishtumu vyombo vya usalama kwa kushindwa kutazama matukio yanayokuja; "Ukisema kwamba hawa...
  6. Boveta

    PreGE2025 Professa Lipumba leo amefanya ziara ya kichama wilaya ya Ubungo kuzungumza na watia nia wa ubunge na udiwani

    Aidha Professa ameimiza kila kata kuwe na ilani inayoendana na hali ya kata husika. Pia amesimamia hoja kuu ya kuendelea na uchaguzi ingawa Kuna mchakato unaendelea wa kuwa na Tume huru ya uchaguzi, na mabadiliko ya katiba mpya.
  7. Boveta

    Prof. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Chama Cha Wanainchi CUF amefanya chama Wilaya ya Ubungo kuzungumza na watia nia wa ubunge

    Pamoja na mambo mengine Professa Ibrahim Lipumba amehimiza kila kata zilizo katika wilaya ya Ubungo ni muhimu kuwa na ilani inayoendana na hali ya eneo husika.
  8. W

    PreGE2025 Prof Lipumba: CUF Kitawakomboa Watanzania

    Wakuu Prof. anadai CUF itawakomboa Watanzania, au G55 waende huko tu Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 === Mwenyekiti wa chama...
  9. McLaren

    PreGE2025 Profesa Ibrahim Lipumba: Mwaka 2020 niligombea Urais na Lissu aliniwekea pingamizi ili nisigombee. Watanzania wawe makini na Lissu

    Wakuu, Katika mahojiano na Charles William , Mwenyekiti wa CUF Taifa Profesa Ibrahim Lipumba ameeleza kuwa CHADEMA imekua ikikataa ushirikiano wowote wa kisiasa. Pia Lipumba alieleza kuwa Tundu Lissu aliyekuwa mgombea wao wa Urais alifikia hatua ya kumuwekea pingamizi ili aenguliwe katika...
  10. W

    PreGE2025 Profesa Lipumba anadai hakutaka kuendelea na Uenyekiti baada ya miaka 25 ila wanachama walimlazimisha

    Mwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25 lakini wananchama wakamlazimisha na kisha wakamchukulia fomu na wakairudisha kwa niaba yake. Soma...
  11. Mindyou

    PreGE2025 Profesa Lipumba: Nilishawahi kuhutubia mpaka nikapewa mbuzi na wananchi lakini bado nikapata kura 0

    Wakuu, Lissu anaposema No Reforms No Election ndo huwa anamaanisha mambo haya. Huyu baba alizunguka Kisesa yote kipindi hicho na bado akapata kura 0 Hii ni ishara tosha kuwa CUF inatakiwa kuungana na Lissu kwenye ajenda ya No Reforms No Election Msikilize hapa:
  12. W

    PreGE2025 CUF wamtaka Prof. Ibrahim Lipumba aachie ngazi akafanye majukumu mengine nje na siasa, wanadai anaua chama yeye na genge lake

    Wanachama wanadai Prof. Lipumba hajafuata mchakato wa kikanuni wa kugombea uenyekiti, ikiwemo kutofuata utaratibu wa kuchukua fomu. Wanasema Lipumba hakuchukua fomu, hakurudisha wala kusaini na badala yake inadaiwa kuna watu ambao ndiyo walimfanyia, jambo ambalo ni tofauti na utaratibu wa Chama...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Prof Ibrahim Lipumba: Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto

    Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto. Mfano wa kusikitisha ni wa marehemu Husna Saidi Abdallah aliyejifungua katika Hospitali ya Kivinje, Kilwa. Afya yake ilianza kudhoofika Kwa tatizo la upungufu wa damu na kuvimba miguu...
  14. Tlaatlaah

    Nashauri Prof. Lipumba, Dkt. Slaa, Mbowe, Lissu na Mzee Rungwe wagombee ubunge tu

    Kwa hali halisi na mazingira ya sasa ya uelekeo wa upepo wa kisiasa nchini ni dhahiri kwa miaka kumi ijayo, wanawake wana nafasi kubwa mno, hasa kwa nafasi za juu za uongozi wa nchi kisiasa ukilinganisha na wananume wenye sifa kiasi dhidi ya nyingi na za ziada kwa upande wa wananwake Tanzania...
  15. mdukuzi

    Ibrahim Lipumba na Zitto Kabwe wamejipa likizo, wanasubiri 2030 waibuke mafichoni?

    Lipumba na Cuf yake walikuwa wa moto sana kipindi cha Mkapa, kulituhumiwa kuwa chama chenye mrengo wa dini ya kiislam, walimpelekesha Mkapa kwelikweli akateua muislam Omary Maita kuwa IGP ngangari kwa nginguri. Alivyoingia Kikwete madarakani CUF ikajifia hswakuwa na agenda tena ,maana lengo...
  16. John Haramba

    Profesa Ibrahim Lipumba awaomba radhi Wazanzibar, yupo tayari kuachia Uenyekiti wa CUF

    Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, leo Jumamosi tarehe 12 Februari, 2022 amesema nafasi yake iko wazi… "Natoa wito na kuwahakikishia wanachama kwamba, hii nafasi ya mwenyekiti iko wazi kwenye uchaguzi unaokuja, kwa maana kwamba kila mmoja anaweza kugombea nafasi hiyo. “Nawaomba radhi...
  17. Idugunde

    Profesa Ibrahim Lipumba: Mawaziri wapewe mkataba wa mwaka mmoja, atakayeshindwa kufanya kazi atumbuliwe

    Mwenyekiti wa Cuf na bingwa wa masuala ya uchumi duniani ameshauri kuwa Rais wa JMT samia na makamu wake Dk Mpango wawe wanawapa mkataba wa mwaka mmoja mwaziri ili anayeshindwa kazi atumbuliwe kihalali.
  18. Makala josee

    GE2020 Mgombea Urais wa Chama cha CUF, Prof Lipumba atema madini kupitia kipindi cha Dakika 45

    Ikiwa ni kipindi cha wagombea kunadi sera zao kwa wapiga kura kabla ya zoezi zima la mchakato wa kuwapata viongozi Wakuu wa kitaifa hapo Oktoba 28, Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amefanya mahojiano katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa kupitia...
  19. Replica

    GE2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

    Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao. Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada...
  20. CUF Habari

    Ziara ya siku 4 ya Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba huko Pemba imeleta hamasa kubwa na kupokea zaidi ya wanachama wapya 723

    ZIARA YA SIKU NNE (4) YA MWENYEKITI WA CHAMA TAIFA MHE. PROF. IBRAHIM LIPUMBA HUKO PEMBA IMELETA HAMASA KUBWA NA KUPOKEA ZAIDI YA WANACHAMA WAPYA 723. Ziara hiyo imekijengea Chama Heshima Kubwa kwa kukiwezesha Kurejesha Ngome yake huko Pemba na kukiwezesha Chama kuwarudishia Hamasa wanachama...
Back
Top Bottom