ibrah

The Ibrah River or Wadi Ibrah (also spelt Ibra) is a river in Darfur in Sudan. It rises on the southern slopes of the Marrah Mountains, and flows south east to empty into the endorheic Lake Kundi.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Wanazi wa Ibrah Traore angalieni Citizen TV ya Kenya, General wa US atakuwepo mubashara

    Kenya bado ikiendelea kuwa ndio jukwaa kubwa zaidi la mambo makubwa yanayotokea katika ukanda wa Africa Mashariki imepata ugeni wa ujumbe mzito wa jeshi la Marekani kamandi ya Africa (US AFRICOM) ambapo mkuu wa kamandi hiyo Gen.Michael Langley, leo atakuwa anahojiwa mubashara katika kituo cha...
  2. Yoda

    Mauaji ya mamia ya raia yaliyofanywa na jeshi yaripotiwa Burkina Faso kwa Ibrahim Traore

    Army aircraft were reportedly hovering above as the killings took place, showing command control of the operation. At least 130 civilians belonging to the Fulani ethnic group were killed by Burkina Faso’s army and allied militias near the western town of Solenzo in March, Human Rights Watch...
  3. Yoda

    Chawa mwandamizi wa Ibrah Traore apewa passport mpya ya Burkina Faso

    Ni kijana Wode Maya kutoka Ghana ambaye amekuwa mstari wa mbele kuimba nyimbo na mapambio ya sifa kwa Ibra Traore, mtawala wa Burkina Faso. Hivi kwa nini wanaompamba sana Traore wengi wao kama sio wote wanatoka nchi za nje na sio raia wa ndani ya Burkina Faso?
  4. Chachu Ombara

    Mabondia Hassan Mwakinyo na Ibrah Class wavuliwa mikanda ya ubingwa WBF Intercontinental

    MABONDIA wawili wa Tanzania, HASSAN MWAKINYO na IBRAH CLASS, wamevuliwa mikanda ya ubingwa WBF Intercontinental na Shirikisho la ngumi za kulipwa la dunia la WBF. Taarifa iliyotolewa na WBF imeeleza kuwa, mabondia hao si mabingwa tena wa mikanda ya WBF. Hassan Mwakinyo --- The World Boxing...
  5. Its Pancho

    Ibrah ndio msanii bora underground mwaka huu, je kwako ni yupi?

    habari ndugu. Mwaka ukiwa unaishia sasa tumeona tangu mwanzoni wasanii chipukizi wengi walichipua na ngoma zao za moto na kusumbua sana, Wapo waliotoa ngoma moja na kupotea wapo walio maintain mpka sasa ,akwemo msanii kutoka konde gang ibrah huyu ndio best newcomer kwenye bongo fleva mwaka...
  6. kurlzawa

    Wimbo ya Ibra 'Do Lemi Go'

    Wakuu habarini za leo. Poleni na majukumu na sakata la BET. Wimbo ya kijana wa KONDEGANG ibra mnaichukuliaje Naiona ni nyimbo moja hatari sana na ubunifu wa kutisha je nyie mnaichukuliaje?
Back
Top Bottom