ibenge

Jean-Florent Ikwange Ibengé (born 4 December 1961) is a Congolese football coach and former player who manages Sudanese club Al-Hilal Club.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga ni kuwa Kocha wa kikosi cha Wanajangwani hao, Nasreddine Nabi amemaliza mkataba wake na ameamua kuondoka kwenda kutafuta maisha mengine. Yanga inatarajiwa kutangaza muda wowote juu ya kuachana na kocha hiyo ambaye ameipa mafanikio makubwa...
  2. ankol

    Tetesi: Florent Ibenge karibu Jangwani

    Salaam wananchi, Tetesi Zilizonifikia ni kuwa kocha maarufu Florent Ibenge, ambaye ashawahi ikoach RS Berkane na Al Hilal ndio mbadala wa kocha Nasredeen Nabi ambaye anatimkia South Africa. Vipi ataweza ama atazingua?
  3. AbaMukulu

    Njia nyeupe kwa Florent Ibenge kutua Azam FC

    Hali ya usalama imezidi kuzorota nchini Sudan baada ya kutokea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Kila shughuli ya kibinadamu imesimama. Wasiohusika na vita wanakimbia kunusuru maisha yao. Hali hiyo imesababisha Kocha wa Al Hilal ya nchini humo kukimbia. Hii inafungua neema kwa klabu ya Azam FC...
  4. Izy_Name

    Azam inamtaka Ibenge

    Wakati Azam FC ikibakiza mechi tano kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara, tayari imeanza kimyakimya kutafuta kocha mpya atakayeiongoza msimu ujao ambao imepania kutwaa ubingwa huku kocha wa Al Hilal ya Sudan, Mkongomani Florent Ibenge akitajwa kutinga kikosini hapo ndani ya kipindi hiki cha mwisho wa...
Back
Top Bottom