ibara

Ibara (井原市, Ibara-shi) is a city located in Okayama Prefecture, Japan. As of 31 March 2023, the city had an estimated population of 37,835 in 16677 households and a population density of 160 persons per km². The total area of the city is 243.54 square kilometres (94.03 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. TCRA wanakiuka ibara 18 ya katiba ya JMT . Mpaka sasa hawajaifungulia JamiiForums kitendo ambacho ni kinyume na sheria za nchi hii

    Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari. Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima Watanzania kilisha keo saa sita usiku. Lakini mpaka sasa hivi Jamii forum haijafunguliwa Jambo ambalo...
  2. J

    Ibara ya 8; 1 (a). Nidiyo kila kitu. Itumieni kumkosoa na kumshauri Rais

    "Wananchi ndiyo msingi wa Mamlaka yote, na Serikali itapata madaraka na mamlaka yote kutoka kwa wanachi". Tumieni haki hiyo na wajibu tuliopewa kama raia kumkosoa na kumshauri Rais na Serikali yake. Tusiwe watu wa kuimba mapambio tuuuu, wakati ndani tunaumia kutokana na baadhi ya mambo, huo ni...
  3. PolePole alipaswa kuisoma na kuielewa Katiba ya CCM IBARA YA 99 (2 na 3)

    Katika Ibara hii ndio unapata ni nini haswa nguvu na mamlaka ya Mkutano mkuu. Tusipotoshe umma kwa kutokusoma vyema katiba ya CCM.
  4. Alivyotendewa Tundu Lissu Ukonga ni Uvunjifu Mkubwa wa Ibara 13 ya Katiba

    Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu. Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu...
  5. Heshimuni Haki ya kusikilizwa kabla ya kuadhibu Art. 13(6)(a) Katiba

    Kuna matukio mengi tangu mwaka 2015 through 2020 hadi sasa ya wateuliwa wa serikali wanaolipwa mishahara ya kodi zetu, wanapotoa maamuzi yanayoathiri hatima ya mtu au kikundi, wanasahau kuwa lazima wazingatie haki ya kusikilizwa ambayo ipo kwenye Ibara ya 13(6)(a) ya Katiba ya nchi yetu. Ibara...
  6. PreGE2025 Wizi wa kura; tathmini yangu ya ibara ya 8 ya katiba yetu

    Kuelekea uchaguzi mkuu 2025, kumekuwa na mijadala mingi, mkubwa katika hiyo ni vuguvugu la "No reform, no election" lililoasisiwa na CHADEMA. Yapo madai mengi yaliyotolewa na CHADEMA katika vuguvugu lao hili, miongoni mwao likiwa ni hili la wizi wa kura. Mjadala wa uwepo au kutokuwepo kwa...
  7. Swali kwa Waziri wa Katiba na Sheria: Nani amechakachua ibara ya 3(1) ya Katiba ya Kiswahili ya Tanzania ya 1977?

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro Mheshimiwa Waziri, Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao za kidini. Nataka kulipinga ombi hili kwa kutumia hoja inayosindikizwa na ushahidi usiokanushika...
  8. PreGE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

    Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba Mgeni Rasmi...
  9. LHRC: Kukiuka haki ya afya ni kukiuka haki ya kuishi kinyume na Ibara ya 14 ya Katiba

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa takribani juma moja sasa kimekuwa kikifuatilia kwa karibu mjadala ulioripotiwa katika baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya mgogoro kati ya watoa huduma wa afya kutoka sekta binafsi pamoja na Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya...
  10. Serikali inakiuka Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wafungwa

    Salaam wakuu. Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inatamka kama ifuatavyo; "Kila mtu anayo haki ya kujielimisha, na kila raia atakuwa huru kutafuta elimu katika fani anayopenda hadi kufikia upeo wowote kulingana na stahili na uwezo wake" Hali ni tofauti...
  11. Elimu ya katiba kwa watanzania kipengele kwa kipengele, kuanzia ibara ya kwanza! (Darasa la wazi)

    Jamii forum darasa la katiba ni muhimu sana ukizingatia jukwaa hili lina watumiaji wengi na wapita njia wengi nikimaanisha wanaosoma humu na ambao si wenye kujisajili.
  12. Kama mnamuona Rais Samia ameshindwa kusimamia Katiba na kulinda rasilimali zenu muwaombe Wabunge wamuondoe kwa Ibara ya 46A ya Katiba

    Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya. Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT. Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania...
  13. Ibara ya 18 ya Katiba yetu ya sasa imewekwa kimtego

    Kuelekea mchakato wa Katiba Mpya ni vyema tukaanza kuangazia baadhi ya maeneo yenye ukakasi ndani ya Katiba ya sasa. Ibara ya 18(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia...
  14. J

    SoC03 Nini kifanyike ili kukabiliana taharuki ya mkataba wa bandari wa DPW nchini Tanzania

    DPWORLD ni kampuni kubwa ya biashara yenye makao makuu yake Dubai ambayo inajishughulisha na uwekezaji katika maeneo ya bandarini. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopata bahati ya kuingia mkataba na Kampuni ya DPWORLD,hatua hii ya makubaliano Kati ya Tanzania na DPWORLD ili lenga kuboresha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…