huu uzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VERBOSE

    LOOSE BALL: Kama wewe umewahi kukutana na Loose Balls pitia hapa. Dondosha kisa chako hapa

    Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?. NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza...
  2. REJESHO HURU

    Wadogo zetu, watoto wetu mnaoenda na mliopo Chuo Kikuu kwa sasa, huu uzi unawahusu

    Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
  3. T

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Hii ndiyo halisi ya habari Tanzania . Naleta makala hii japokuwa ni ya muda kidogo ili iweze kuingia kweney record. Je ni kwa sababu hii ndiyo maana waandishi wanalamba viatu vya JK ? HEADLINE: CCM magnates in the media The treasurer of the Chama cha Mapinduzi (CCM) and advisor to the...
  4. kadiri kasimba

    Kama una chochote ambacho huna matumizi nacho iwe tv, simu, kabati, baiskeli, godoro weka hapa kwenye huu Uzi, na mnunuzi au Mwenye kuhitaji anunue

    Wakuu salam! Yawezekana ukawa nyumbani na kitu,vitu ambavyo huna matumizi navyo, mf godoro labda umeshanunua lingine na Kwa sasa haulitumii,kabati,tv,radio, jiko,simu,meza,sofa n.k Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kusaidiana wale wenye kipato Cha chini au wanaoanza maisha kujipatia vitu Kwa Bei ya...
  5. Hammer11

    Ndugu zangu waislamu mimi nakata munijibu hili swali

    Ndugu zangu waislamu mimi nakata munijibu hilo swali maana nimeuliza mashekhe wameishia kusema Mungu anajuaaa tyuu waislamu wa kiume wakifa wakiwa wema wanapewa wanawake bikra 72 na mito ya asali maziwa Sasa jee wanawake wakifa wema watapewa nini huko peponi na kama hawatapewa hivyoo sasa...
  6. Miss Zomboko

    Walioingia JKT kwa njia za panya kutimuliwa

    Jeshi la Wananchi (JWTZ) limetangaza kuwachukulia hatua viongozi wa ndani na nje ya jeshi hilo na vijana waliohusika katika vitendo vya udanganyifu katika uandikishaji wa majina ya kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Udanganyifu huo ulihusisha ukiukaji wa taratibu na kughushi nyaraka na...
  7. Bueno

    Hivi hii inawezekanaje? Yaan kila nikijiuliza majibu hayaji hapa sijui nitumie 4 Figure au Mathematical Table?

    Yaan nimepiga calculations zote majibu hakuna, integrals, pythagoras theorems mpaka ma-pai-chart kitu kinasoma bila bila. Na hiio ni Hisabati. Hii inakuaje Wakuu? Hesabu zimegoma kabisa
Back
Top Bottom