huna

Hunas or Huna (Middle Brahmi script: Hūṇā) was the name given by the ancient Indians to a group of Central Asian tribes who, via the Khyber Pass, entered the Indian Subcontinent at the end of the 5th or early 6th century. Huna Kingdom occupied areas as far as Eran and Kausambi, greatly weakening the Gupta Empire. The Hunas were ultimately defeated by a coalition of Indian princes that possibly included the Indian king Yasodharman. He and possibly the Gupta emperor, Narasimhagupta, defeated a Huna army and their ruler Mihirakula in 528 CE and drove them out of India. The Guptas are thought to have played only a minor role in this campaign.The Hunas are thought to have included the Xionite and/or Hephthalite, the Kidarites, the Alchon Huns (also known as the Alxon, Alakhana, Walxon etc.) and the Nezak Huns. Such names, along with that of the Harahunas (also known as the Halahunas or Harahuras) mentioned in Hindu texts, have sometimes been used for the Hunas in general; while these groups (and the Iranian Huns) appear to have been a component of the Hunas, such names were not necessarily synonymous. Some authors suggest that the Hunas were Ephthalite Huns from Central Asia. The relationship, if any, of the Hunas to the Huns, a Central Asian people who invaded Europe during the same period, is also unclear.
Gujars are sometimes said to have been originally a sub-tribe of the Hunas.In its farthest geographical extent in India, the territories controlled by the Hunas covered the region up to Malwa in central India. Their repeated invasions and war losses were the main reason for the decline of the Gupta Empire.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, unajua? Kama huna pesa ya kununua mikate, ukipata wageni kumi nyumbani kwako, unaweza kuwalisha slesi moja ya mkate – wakala wote na kushiba!

    Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
  2. Petabytes 633 ndo kiwango cha data kilichotumika na wananchi 2024/2025. Lakini mpaka leo huna cha kuuza mtandaoni

    https://www.tcra.go.tz/uploads/text-editor/files/Takwimu%20za%20Mawasiliano%20za%20Robo%20ya%20Mwaka%20Inayoishia%20Juni%202025_1752572004.pdf
  3. Kama huna muonekano mzuri jitahidi uvae na unukie vizuri

    Kuna wengine tunapendeza kwa jitihada ndogo mana muonekano unatubeba, sasa kama wewe huna muonekano, jitahidi uvae vizuri na unukie vizuri. Mtu anaenda jumuia kama anaenda shamba, halafu watu waki “pay attention “ kwetu mnaanza kushangaa. Kama unajua una sura personal na irregular shape, then...
  4. Ili kumfundisha mtu, huna haja ya kumdhalilisha

    Mzee mmoja akakutana na kijana aliyemuuliza: "Unanikumbuka?" Na yule mzee akamjibu hapana. Basi yule kijana akamwambia nilikuwa mwanafunzi wako, na mwalimu akamuuliza: "Unafanya nini sasa, unajishughulisha na mambo gani katika haya maisha?" Yule kijana akamjibu: "Nilikuja kuwa mwalimu."...
  5. Jinsi ya Kuandika Copy Kali Inayouza (Hata Kama Huna Degree ya Masoko)

    Watu hawasomi copy zako kwa sababu ni nzuri — wanasoma kwa sababu wanajihisi kama wewe unajua tatizo lao. Copy nzuri haizungumzii bidhaa. Inaingia kichwani kwa mteja, inamgusa rohoni, kisha inamsukuma kuchukua hatua kama mtu aliyelogwa. 🧩 Subtopic 1: Fahamu Unamwandikia Nani Maswali ya...
  6. Anasalitiwa Diamond Platnumz Sembuse Wewe Ambae Huna Sumni

    Hapo chini kwenye video Diamond Platnumz anazungumza namna alivyosalitiwa na mpenzi wake aliyekuwa nae akitoka kimapenzi pia na Waziri wa Nishati wa kipindi icho, mpenzi anayehisiwa kumsaliti Diamond Platnumz hapo inasemekana ni Wema Sepetu. Hata hivyo pia kuna tetesi ziliwai kusema kuwa Mama...
  7. Kama sio handsome, huna kipaji na huna hela ila una cheat, ungekua navyo ungekuaje ?

    Una sura personal, unanuka jasho, Mtu hana muonekano mzuri, hata kuvaa vizuri hajui, hana hela na hana kipaji ila anamsaliti mke wake, hivi kibaka kama huyo angekua hata na kimoja cha hapo juu ingekuaje? Mungu fundi. Mi pamoja na uhandsome wangu, ingawa nikicheat mke anaweza nisamehe mana...
  8. Ukipoteza Meno huna Ulazima wa Kubaki na Mapengo Kuna Suluhisho la Kudumu

    Iwapo Umepoteza Meno halisi unaweza pata huduma ya meno bandia ya kudumu kutoka offisini kwetu Faida za Meno bandia .Kulinda meno mengine yasiharibike .Kulinda Mfupa Wa Taya usipotee . utatafuna Chakula Vizuri . Muonekano Mpya Na Kujiamini .Uimara /Ubora wa Meno utaongezeka Tunapatikana...
  9. KAMA UNAJIFANYA HUAMINI UCHAWI BASI WEWE NI MPAGANI HUNA DINI HUNA MUNGU

    Katika Biblia na Qur'an, uchawi unatajwa kama tendo linalokatazwa na lenye madhara kwa jamii na mtu binafsi. Mifano hyo chini 📖 Mifano ya Uchawi katika Biblia 1. Kutoka 22:18 “Usimwache mwanamke mchawi aishi.” 2. Mambo ya Walawi 19:31 “Msiwaendee wenye pepo, wala wachawi...
  10. Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

    Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni...
  11. Usijishugulishe na jambo kama huna harakati nalo, Kila jambo lina wenyewe

    Watu wengi wamekuwa wakidandia hovyo shughuli za watu bila kutambua kuwa wanafanya makosa,Mchezaji mpira anajiingiza kwenye Ulingo wa siasa, Mfanyakazi anajiingiza kwenye Mambo ya Kisiasa, Dini anapokuwa kazini. Haya mambo yanahitaji kuwa separated na specialised, ikiwa umeamua kufanya siasa...
  12. Ninakinai wanawake haraka sana,ni kawaida au nina changamoto zingine?

    Mko poa watu wa Mungu! Kuna hali flani ya kukinai wanawake mapema kabisa inanitokea nashindwa kuielewa ni nimerogwa au ni kawaida? Naweza nikatumia gharama kubwa kumfukuzia demu ila nikishampata na nikamgegeda mara moja tu,naloose interest na yeye kabisa.au pia naweza nikaopoa tu wale mademu wa...
  13. Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu!

    listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle...
  14. Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu

    listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle...
  15. Faida na hasara za mapenzi yasiyo na pesa vs mapenzi ya pesa

    Yo! Let’s fcking talk – na leo siongei kwa utani, si cheki na mtu, na wala sibembelezi hisia za mtu yeyote. Kama unajua umeumia na mapenzi, hii ni ya kwako. Kama bado upo kichwani unawaza mapenzi kabla ya kujenga future yako – then you’re the biggest clown in this fcking game! MAPENZI KICHA...
  16. D

    Dhana ya kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa

    Wajumbe mko pouwaaa?Nimeona tushare pamoja juu ya hii dhana,ambapo inasemekana kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa ndiyo maana anakuwa mtulivu na hana bugudha na wewe.Hivi watafiti mnasemaje Yana ukweli haya au kutiana presha tu
  17. Unakuaje Mtu Mzima Katika Kundi Lako la Marafiki Kila Ukiambiwa Usimamie Ishu Fulani Hata 2000 Kila Siku Huna

    Tunaelekea wapi kama wanaume? Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
  18. R

    Huna changamoto za kiafya, Umefika miaka 35 huna mtoto, usingizi unautoa wapi kwamfano ?

    Muhimu: Ni nje ya watu wenye changamoto za afya za uzazi, walemavu, wafungwa wa magerezani, watu wanaoishi maisha ya kimasikini kupitiliza. Suala la kuoa au kuolewa halina uzito sana hasa kwa zama za sasa, watu wengi ndoa zimevunjika wanaishi kivyao Lakini unafika 35 huna au hujawahi kuwa na...
  19. Kama una kitambulisho cha NIDA na huna Passport ya Tanzania jua wewe ni mkaazi (Resident) wa Tanzania ila sio raia (Nationalist) wa Tanzania

    Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania. Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
  20. Huwezi kumiliki mali kama huna kiumbe

    https://www.facebook.com/share/v/1F1SpzrHYG/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…