huduma za jamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wanaripoti Bloomberg Business : Tanzania Yaongeza Bajeti ya Miundombinu na Huduma za jamii Licha ya Kunyimwa Misaada

    Katika Hali ya kushangaza,Jarida Maarufu la Biashara kutoka kubwa la Mabeberu USA limeripoti taarifa ya kushangaza kwamba Licha ya Tanzania Kunyimwa misaada ila Serikali ya Tanzania imeongeza Bajeti Kwa asilimia 10% huku ikipeleka pesa nyingi kwenye miradi ya miundombinu na Huduma za jamii...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Walipa kodi wanavyoteseka na huduma za jamii

  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya TAMISEMI 2025/26 yaongezeka kwa asilimia 16.38, yatengwa trilioni 11.783 kuboresha huduma na miundombinu

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli bajeti ya TAMISEMI shilingi trilioni 11.783 kwa mwaka 2025/26, ikiwa ni ongezeko kutoka trilioni 10.125 mwaka 2024/25 imeongezeka kwa takribani asilimia 16.38 ikilinganishwa na mwaka wa fedha uliopita. Bajeti hii inalenga...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Lissu: Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.

    Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na kauli ya kutoa bure huduma za jamii, inapumbaza

    Hii kauli ya bure iliyoanza katika elimu awamu ya tano na sasa imeshika kasi haifai kabisa, imekaa kisiasa zaidi, kilaghai na kipropaganda. Inazua tafrani kubwa kama zilivyotokea kwa kauli ya Chalamila na mama mjamzito aliyempigia simu. Huko kwenye Elimu inaposemwa ni bure ukweli ni kwamba ada...
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Huduma gani ikitolewa bure na Serikali haitaathiri uchumi wetu?

    Kwangu mimi ni hizi hapa 1. Vipimo vya afya 2. Maji Ni mawaza yangu tu
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Kibondo wanakata umeme zaidi ya saa 12 bila taarifa. Kama kuna mgao watujulishe

    TANESCO KIBONDO NI KERO Leo ni siku ya 3 sasa, hawa TANESCO wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wanakata umeme kwa zaidi ya saa 12 bila taarifa yoyote. Je, ni mgao umeanza tena tujue? TANESCO
  8. K

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya maeneo Kigoma hakuna maji zaidi ya wiki

    Maeneo ya Kazegunga, Msimba, Kasaka hawana maji zaidi ya wiki. Watu hutumia maji ya visima ambayo si salama kwa afya ya binadamu. Ziwa liko km 10 tu lakini maji hayatoki. Wahusika wachukue hatua mara moja kuondosha kero hii.
Back
Top Bottom