Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata.
Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
Anonymous (fdc6)
Thread
bili yamaji
changamoto
changamoto yamajihudumahudumayamaji
kanisa
maana
maji
mamlaka
mtaa
ni ya
pugu
Kwa zaidi ya wiki tatu sasa, maeneo ya karibu na Chuo Kikuu cha SAUT hususan mitaa ya Nyamalango, Maduka Tisa–Buhima na Sweya yanaishi bila maji kabisa. Hali imekuwa mbaya kupita kiasi na inaathiri moja kwa moja maisha ya kila siku ya wakazi.
Mara chache sana maji yanaporudi inakua ni usiki wa...
Anonymous (43ef)
Thread
hudumahudumayamaji
kuhusu
maji
malalamiko
mwanza
saut
tanzania
ukosefu
ukosefu wa maji
university
wiki
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kufufua na kuboresha kisima cha kuzalisha maji cha Keko Bora kilichopo Mtaa wa Bora, Kata ya Chang’ombe, Wilaya ya Temeke, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema huduma ya maji katika maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo Magufuli Hosteli imeanza kuimarika na huduma kuwafikia Wananchi.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema wamehakikisha upatikanaji wa...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameelekeza Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) Sumbawanga Mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga kurekebisha mabomba yaliyoharibiwa Kijiji cha Mayonje, Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, ndani ya wiki moja ili kurejesha huduma.
Aweso ametoa malekezo...
Ndugu zangu, hali ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Mayonje, Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, imekuwa ya kusikitisha sana, tangu mwezi wa 11, 2025 mwanzoni baada ya Uchaguzi Mkuu mpaka sasa, tumekuwa tukiishi bila huduma ya maji safi.
Chanzo cha tatizo ni bomba...
Hali ya maji Ubungo ni mbaya sana na DAWASA wapo kimya, hawatoi solution kwa Wananchi, kuna baadhi ya maeneo wiki ya nne sasa hatujapata maji, wenzetu wa Mabibo Makutano - Mtaa wa Kanuni nao ndio kabisa, maji kuna muda yanatoka kidogo tena kwa saa moja tu hali ambayo imedumu tangu Oktoba 2025...
Wakazi wa Nyegezi (Mpambije Street, Ellys na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji
Ukosefu wa maji umeendelea kuwa kero kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza, hususan katika mitaa ya Mpambije Street, Ellys na Kumalija, Nyegezi. Kwa kipindi kirefu...
TAARIFA MUHIMU
KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KIMARA, UBUNGO, MWENGE, MASAKI NA MUHIMBILI
21.12.2025
Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA MAJI KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa huduma ya maji imefunguliwa na maeneo yafuatayo yatapata huduma;-
Kimara Mwisho, Korogwe, Bucha, Kona...
Wananchi Mwanza walia shida ya maji, Serikali yawatoa hofu huduma kurejea leo
"Tunaomba maji yapatikane kwa haraka, kwa sababu kama nilivyosema mwanzo kwa sababu watu sahizi wanatumia maji ya kwenye madimbwi, maji machafu."
Hatimaye wakazi wa mikoa ya Tanga, Pangani, Muheza na Mkinga wananufaika moja kwa moja na matunda ya hati fungani ya kijani iliyotolewa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (TANGA UWASA), yenye thamani ya Shilingi Bilioni 53.12, ambayo ilianza kuuzwa rasmi tarehe 22...
NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA
Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza
Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea
Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya...
Serikali imejipanga kuhakikisha huduma ya maji inaimarishwa kwa wananchi walioamua kuhamia eneo la Msomera, Handeni.
Naibu Katibu Mkuu Bi. Agness Meena akiongea kwa Niaba ya Waziri wa Maji kuhusu huduma ya maji amesema kazi kubwa inafanyika kuhakikisha miundombinu ya maji inafika katika maeneo...
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imepokea maombi ya maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wakazi zaidi ya elfu nne wa maeneo ya Bangulo, Kata ya Pugu Stesheni Wilayani Ilala waliojitokeza kuomba huduma ya Majisafi baada ya kukamilika kwa mradi wa Usambazaji maji Dar...
Stendi ya Mabasi Nyegezi ni moja ya wateja wakubwa wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) na Mamlaka imeweka utaratibu wa kufanya ukaguzi wa huduma na miundombinu yake mara kwa mara.
Palitokea hitilafu katika mfumo wa usambazaji maji kwa muda mfupi mwishoni mwa wiki...
Wananchi wa Kijiji cha Ushetu wamemkabidhi zawadi mbalimbali Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani, kama ishara ya shukrani kwa kufanikisha upatikanaji wa huduma ya maji kijijini humo, kilio ambacho wamekuwa nacho kwa muda mrefu.
Katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa maji...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo , Waziri wa Maji, Jumaa Aweso wameshuhudia utiwaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Tunduma, Vwawa, Kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Eng. Mwajuma Waziri, kwa niaba ya Serikali na Meneja Mradi...
Wananchi zaidi elfu 10,000 wa kata ya Itezi jijini Mbeya, wameondokana na shida ya upatikanaji wa maji safi baada ya Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Mbeya MBEYAUWSA, kuzindua mradi wa maji wa kisima kirefu kwenye shule za msingi Gombe na Mwasote jijini humo.
Eng. Barnabas Konga ni kaimu...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amejumuika na wananchi wa Wilaya ya Siha katika kata za Mung’e na Miti Mirefu kwa shughuli za uchimbaji mitaro kwa ajili ya kusimika mabomba ya maji. Sambamba na hilo, amezindua mradi wa maji katika kata ya Miti Mirefu, mradi ambao unatarajiwa kunufaisha...
Shirika la Lifewater International Tanzania limetekeleza mradi wa maji safi na usafi wa mazingira katika Kijiji cha Bugogo, Kata ya Mwamala, wilayani Shinyanga, hatua inayowaondolea wananchi wa kijiji hicho changamoto ya muda mrefu ya ukosefu wa maji safi na salama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.