huduma mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbepo yamba

    KERO Kuna Taasisi ya Serikali yenye huduma mbovu kuizidi NEST (PPRA)?

    Ndugu wanabodi, heshima kwenu nyote. (Unaitikia igweeeeee) Serikali ya CCM imefeli sana kwenye utoaji huduma. Ni kweli. Achana na mahospitali, shule za umma, jeshi la polisi na kwingine kote unakoweza kutaja. Ila aisee NeST ni wazembe na wazinguaji balaa. 1. Utaambatanisha nyaraka zako ili...
  2. Sir John Deere

    KERO CRDB Benki mna huduma mbovu sana Jirekebisheni

    Hii Benki sielewi inakumbana na changamoto zipi. Huduma zao ni mwendo wa Kobe , customer care ni mbovu , huduma ya simbaking naipata kwa kubahatisha., ukiomba mkopo wanakupa kwa kujisikia wao kama una shida ya muhimu hesabu umeshafeli. Kwakweli najuta kuwa mteja wa hii Benki nitawahama soon...
  3. makong012

    KERO Huduma mbovu katika halmashauri ya Kibaha

    Habari za muda huu wana JF, Hii wiki nimetua mjini Dar Salaam kulikua na plot niliacha muda mrefu inashugulikiwa hati. Na kuna mtu kutoka halmashauri nilikuwa nawasiliana nae akaniambia hati ilishatoka kitambo, maana mchakato ulianza since 2022 huko. Nikasema kwa kuwa nipo mjini acha nipate...
  4. A

    KERO Huduma mbovu za BRELA kuanzia mifumo mpaka watoa huduma

    Kwakweli nimepata experience mbaya na BRELA. Kujisajiri kwenye mfumo wao ni tabu. Nimewatafuta kwenye mitandao ya kijamii pia hawatoi msaada. Nimeamua kuwapigia. Ila wakisikia tatizo langu wanakata simu. Sasa si wafunge tu ofisi tujue hawana maana
  5. kiraza

    KERO Tanesco ni Wafalme wa huduma Mbovu Tanzania

    Customer Care ya Tanesco ni Geresha! Mwanzo ilikuwa mtu unapiga simu kwenda kwenye tawi la mtaa uliopo kisha mafundi wanakuja kurekebisha tatizo, Walipoona wanasumbuliwa sana ndipo wakaamua kuweka namba moja (Dodoma makao makuu) ambayo kimsingi namba hiyo ni geresha ya kuonekana nao wanasikiliza...
  6. A

    KERO RITA Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma hawajibu wananchi mitandaoni wala kusuluhisha changamoto zetu

    Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sasa nchini Taasisi ambazo ziko chini ya serikali zimekuwa zikitoa huduma mbovu kwa wateja wake kwa kiasi ambacho kinakatisha...
  7. M

    Kampuni ya TiGO, sasa yas by mix ina huduma mbovu za kifedha!

    Habr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya kutuma hela kwenda airtel. Muamala mpaka sasa hivi haujamfikia mlengwa na ni mtu ana shida ya...
  8. A

    KERO Daladala za Kigamboni – Temeke zinakera Wateja kwa huduma mbovu, LATRA tusaidieni

    Naomba ujumbe huu ufike kwa Mamlaka husika ya LATRA, Daladala za Kigamboni Wilayani na Temeke hazifiki Wilayani, zinaishia Kigamboni Mwisho. Pili, nauli ya kutoka Kigamboni Mwisho hadi Temeke, mlangoni pameandikwa Sh 600 lakini wao wanatoza Sh 700. Tatu, wakishachukua hela, hawatoi tiketi...
  9. Mad Max

    Ukitaka kujua hii nchi kuna huduma mbovu, nenda Hospital ya Serikali.

    Sisemi uende fisi za halmashauri, manispaa au wilayani. Najua huko kuna matakataka yake, but atleast hawadeal na afya na uhai wa binadamu. Nenda hospital za serikali. Unakufa wanakuangalia. Tukipata hela twendeni hospital kubwa za private. Ukiweza kua na "daktari" wako. Ninayoyaona hapa...
  10. A

    KERO Huduma mbovu CRDB bank tawi la LAPF Dodoma

    Bank ya CRDB tawi la LAPF Dodoma wahudumu wako taratibu sana, majibu yasiyo rafiki Kwenye foleni inakaa masaa bila huduma, yapo madirisha manne ya huduma ila kwa muda mrefu ni dirisha Moja tu ndio linamuhudumu ambaye naye muda mwingi ingia Toka ingia Toka haeleweki anafanya nini Vijana hizi...
  11. A

    KERO Aga Khan Dodoma wana huduma mbovu, Madaktari hawaonekani

    Uongozi wa Aga Khan Dodoma, angalieni huduma mnazozitoa. Watu wanapangiwa madaktari, ila hawako ofisini, wagonjwa mpaka walalamike ndio muwape Daktari mwingine. Hapo ni baada ya kukaa muda mrefu. Mtu anafika saa tatu asubuhi mpaka saa moja hajapata huduma. Yani huduma hazieleweki. Mjirekebishe.
  12. Macbook pro

    Exim bank huduma yenu ya app hairidhishi, technical team boresheni hili

    Habari za Kwenu Wadau! Nimeleta huu uzi kutoa uzoefu wangu na huduma za kibenki za Exim Bank. Exim Bank ukienda kwenye Branch zao wanahuduma nzuri na haraka tu unaondoka lakini kwenye application yao daah aisee .. Terrible and poor simbanking services. Nimeitumia kwa muda miezi sita kwa kweli...
  13. Mindyou

    Tabora: RC Paulo Chacha amsimamisha kazi Meneja GPSA kwa kutukana wateja

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa kumsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) Mkoa wa Tabora, Mayala Mburi, kutokana na tuhuma za kumtukana matusi wateja waliokwenda kupata huduma za mafuta, akiwemo mtumishi kutoka ofisi...
  14. R

    KERO Huduma mbovu basi la Alys Star

    Wakuu habari za usiku, Natumai nyote mko salama. Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar. Katika harakati za kutafuta mkate nikitokea pande za kanda maalum kurudi Daslam kupitia Mwanza usafiri ulikua shida kidogo mabasi...
  15. A

    DOKEZO Rushwa, huduma mbovu kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Mimi ni machine operator katika kampuni binafsi ya wahindi (the box factory limited, kisarawe 2,kigamboni), kusema ukweli tunaonewa sana huduma mbovu, usalama mdogo. Pia kuna kipindi wanakuja TUICO lakini wanaishia kwa meneja mwajiri wanachukua rushwa wanasepa mimi kama mkereketwa nina iomba...
  16. Jerry Farms

    Kero: Huduma mbovu Ofisi ya TANESCO Kahama.

    Ni hali ya kushangaza sana na taratibu ya ovyo. Leo nimetembelea ofisi ya TANESCO Kahama, kwa issue inayohusu umeme...cha ajabu naambiwa nirudi nikapige simu nakuomba huduma nikiwa nyumbani...namba niliyopatiwa ni namba ambayo muda wote iko "busy" 0733105423 TANESCO KAHAMA MJITAFAKARI.
  17. Black Butterfly

    KERO Ofisi ya TRA Mafinga ina huduma mbovu, wahudumu wana dharau wateja

    Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako kuhudumia nje ya ofisi hivyo tuendelee kusubiri. Hii hali ni kero sana nimeuliza wateja wengine hapa...
  18. Torra Siabba

    DOKEZO Baadhi ya Watumishi Kituo cha Afya Rusumo (Kagera) hawana lugha nzuri na hawatoi huduma nzuri pia kwa Wagonjwa

    Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera. Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
  19. Nelson Kileo

    Dstv mna huduma mbovu kwa wateja wenu, jirekebisheni.

    Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate package ya mteja ? Kuna offer flani mlipitisha kipindii cha miezi kadhaa nyuma mliita "Panda...
  20. M

    Platinum Credit ni kampuni yenye huduma mbovu na zisizofaa. Walimu tunakopa kwa sababu ya shida tu.

    Kila kitu ulimwengu wa wa leo kipo kidigital. Sasa inakuwaje unachelewesha malipo ha mtu ambaye umeprocess mkopo inavyotakiwa?
Back
Top Bottom