huawei

Huawei Technologies Co., Ltd. (; Chinese: 华为; pinyin: Huáwèi) is a Chinese multinational technology company. It provides telecommunications equipment and sells consumer electronics, smartphones and is headquartered in Shenzhen, Guangdong.
The company was founded in 1987 by Ren Zhengfei. Initially focused on manufacturing phone switches, Huawei has expanded its business to include building telecommunications networks, providing operational and consulting services and equipment to enterprises inside and outside of China, and manufacturing communications devices for the consumer market. Huawei has over 194,000 employees as of December 2019.Huawei has deployed its products and services in more than 170 countries. Huawei overtook Ericsson in 2012 as the largest telecommunications-equipment manufacturer in the world, and overtook Apple in 2018 as the second-largest manufacturer of smartphones in the world, behind Samsung Electronics. In December 2019, Huawei reported that its annual revenue had risen to US$121.72 billion in 2019.Although successful internationally, Huawei has faced difficulties in some markets, due to claims of undue state support and cybersecurity concerns—primarily from the United States government—that Huawei's infrastructure equipment may enable surveillance by the Chinese government. With the development of 5G wireless networks, there have been calls from the U.S. to prevent the use of products by Huawei or fellow Chinese telecommunications company ZTE by the U.S. and its allies. Huawei has argued that its products posed "no greater cybersecurity risk" than those of any other vendor and that there is no evidence of the U.S. espionage claims. Nonetheless, Huawei pulled out of the U.S. consumer market in 2018, after these concerns affected the ability to market their consumer products there. Questions regarding Huawei's ownership and control as well as concerns regarding the extent of state support also remain.In the midst of an ongoing trade war between China and the United States, Huawei was restricted from doing commerce with U.S. companies due to alleged previous willful violations of U.S. sanctions against Iran. On 29 June 2019, U.S. President Donald Trump reached an agreement to resume trade talks with China and announced that he would ease the aforementioned sanctions on Huawei. Huawei cut 600 jobs at its Santa Clara research center in June, and in December 2019 founder Ren Zhengfei said it was moving the center to Canada because the restrictions would block them from interacting with US employees.

View More On Wikipedia.org
  1. mtoto wa kibopa

    nahitaji vifaa vya simu aina ya huawei mate 20 pro viwe used au vipya

    nahitaji vifaa vya huwei used hata kama ni vipya itakuwa sawa tu...vifaa ninavyovi hitaji ni mfuniko wa batri uwe na muonekano kidogo mzuri kama ni used,camera ya mbele na nyuma...au hata ikipatikana hii simu iliyokufa display nitanunua.
  2. O

    Huawei wangekuwa namba 1 kwenye soko kisha Samsung. Shida figisu

    Huu ndo ukweli. Checki wanavyo emerge https://youtube.com/shorts/LU34ylP10eo?si=lDy4ipNGT3emQO13
  3. Lycaon pictus

    Kitabu: House of Huawei

    Kitabu hiking kimetoka mwaka huu. Kinazungumzia historia ya Huawei na maanzilishi wake. Jinsi Huawei ilivyoanza hadi kuja kuwa kampuni kubwa kabisa ya Telecom duniani. Ikizipita Ericcson, Nokia na kuziacha zingine zikifika. Ikaja kuwa muuzaji mkubwa kabisa wa simu za mkononi ikizipita Apple na...
  4. Lycaon pictus

    Fun fact: Ubishi wa wafanyakazi wa Huawei kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe Libya

    Wakati vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini Libya inaanza, kampuni ya mitambo ya simu ya Huawei haikutaka kuachia biashara hata kidogo. Walichofanya ni wafanyakazi wa Huawei nchini Libya kujigawa makundi mawili. Moja likihakikisha upande huu wa vita mawasiliano yanaendelea na lingine...
  5. and 100 others

    Huawei Wametoa PC ya kwanza ambayo ni foldable

    Kama uliona simu ambazo ni foldable kama Samsung Galaxy Z fold, Galaxy Z flip na simu nyingine kama hizo ambazo ni foldable fahamu pia kuna laptop imetoka ambayo pia ni foldable ambayo ni Huawei MateBook Fold. Kwa sasa inapatikana China pekee, RAM ni 32 GB na storage zinakuja na size tofauti...
  6. X

    Kwanini Marekani wanaihofia sana kampuni ya HUAWEI?

    Tangu 2012 Marekani imekuwa ikifanya juu chini kuiangusha HUAWEI bila mafanikio. Hivi karibuni HUAWEI ilizindua A.I chip ya hali ya juu iitwayo Ascend 910C ambayo imekuja kuichallenge ile ya NVIDIA. Kuna wasiwasi unaoongezeka kwa Marekani kwamba hivi karibuni China itakuwa ikiuza AI processors...
  7. P

    Phone4Sale Huawei P30Lite 5G 128Gb

    Huawei P30lite 5G Storage 128Gb Clean Bei 230,000/= Ubungo daraja 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
  8. R

    Huawei waliishia wapi na ndoto zao za kutawala soko la simu duniani, Huawei bila Playstore ni kama chapati bila mafuta,

    Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore. Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani. Hali imekuwa tofauti sana...
  9. X

    HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

    AI au akili mnemba ili iweze kufanya kazi inahitaji chip, na sio tu kila chip inaweza kufanya hivyo. Kuna chips maalumu na za hali ya juu kwa ajili ya AI. Na kampuni ya NVIDIA imekuwa supplier mkubwa wa hizo chips zinazoitwa H20 na H100. Na moja ya soko lake kubwa lilikuwa ni China. Wiki...
  10. Mi mi

    Kitu kikubwa kinakuja kwenye semiconductor toka kwa Huawei, ASML na TSMC wakae tayari

    Huawei wanakuja na surprise package kwenye upande wa semiconductor kwa kuja na mashine yao ya EUV. Hii kitu inaenda kuua monopoly ya ASML na TSMC. Taiwan, Netherlands na U.S.A wanaenda kupata upinzani mpya. Inaweza kuwa mwaka huu 2025 au mwakani 2026 Huawei wakawa katika hatua za mwisho...
  11. Teslarati

    Nilikua namsapoti Trump na Elon lakini kwa wachina naona bado hajapata funzo kwa walichofanya Huawei kipindi kile

    Trump kuna sehemu anakosea. Unajua Trump Marekani ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka nenda na narudi. Hio inafanya jamaa afanye makosa mengi sana na kuscore 'own goals' nyingi 1)Issue ya...
  12. L

    Huawei yazindua mradi wa uhifadhi wa eneo lililohifadhiwa la baharini nchini Kenya

    Mwanzoni mwa karne ya 20, harakati za wahifadhi mazingira zilizochochewa na watu mashuhuri kama vile John Muir, Gifford Pinchot, na Paul Sarasin zilisisitiza haja ya kuhifadhi mazingira ya asili. Katika kukabiliana na mahitaji yanayokua ya kulinda mazingira haya ya asili na kuratibu juhudi za...
  13. Mad Max

    Huawei wamezindua luxury EV sedan Maextro S800: Copy na Paste ya Maybach kwa nusu bei ila more tech!

    Huawei wakiwa wameungana na JAC wamezindua gari yao ya kwanza inayoenda kwa model name Maextro, ikiwa na lengo la kushindana na Maybach na Rolls. Kuhusu bei, itauzwa kuanzia $140,000 tu, na ndio itakua gari ya bei kali kuliko zote kutoka China hadi leo.
  14. Mad Max

    Huawei wamezindua simu ya kwanza kujikunja mara mbili. Base model ni Tsh Mil 7.8

    Tumeona jana tarehe 09 Apple wamefanya yao kwa kutuletea iPhone 16 series. Same wine, new bottle! Sasa bwana leo wakali wa hizi mambo Huawei wamefanya yao kwa kuzindua Huawei Mate XT Ultimate ambayo ni simu ya kwanza Duniani kukunjwa mara mbili. Yaani iko hivi, ukiikunjua full unakutana na...
  15. Common Folk

    Huawei kuja na "Tri-Fold SmartPhone" mwaka huu, Samsung bado anasuasua

    Tumezoea kuona simu janja zenye mikunjo miwili, Huawei mwaka huu wanakuja na Smartphone ambayo itakuwa na mikunjo mitatu. Mojawapo ya kipengele muhimu cha kifaa cha kukunjwa mara tatu ni kwamba skrini iliyounganishwa kwenye bawaba ya pili inaweza kukunjwa kwa nje, na hivyo kuruhusu sehemu ya...
  16. X

    China-US TechWar: Pentagon wakiri ni vigumu kuachana na huduma za Huawei kikamili

    Mwaka 2019 serikali ya Marekani chini ya aliyekuwa raisi wakati huo Donald Trump, iliweka sheria ya kutotumia huduma na vifaa vya Huawei katika idara nyeti za usalama wa taifa hilo. Sababu kuu ilikuwa ni kwamba usalama wa taifa hilo ulikuwa hatarini, ikidai kuwa China inaitumia kampuni ya...
  17. Mad Max

    Huawei & Chery waja na Luxeed S9 gari itakayo compete na Tesla Model Y

    Wakuu. Tulioana juzi kati kwenye Malaysia Auto Show kampuni kutoka China Aion ambayo ni tawi la CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV gari linalofanana na Tesla Model X. Wachina bwana: Wameiiga Tesla Model X kwa robo bei Sasa vita bado haijaisha. Kampuni la technology Huawei kwa kushirikiana na...
  18. mahroof

    Msaada: Simu used ya Huawei inanipata changamoto ya What'sApp

    Msaada wakuu Simu yangu ni huawei ni used from china Simu ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini Msaada jamani tangu nimeanza kutumia whatsap sijawahi kutumia whatsap ambazo siyo official
  19. Njunwa Wamavoko

    Niuzie Modem ya Huawei au ZTE

    Habari wana Jukwaa. Nina project ambayo inaitaji USB modem, yoyote kati ya hizi kampuni tajwa hapa chini: Huawei ZTE Najua teknolojia ya modem imeenda ina phase out kwenye nchi yetu, kutokana na kwamba kwa sasa kuna MiFi router ambazo unaweza kuzipata mpaka kwa 50,000/= Hivo kama kipindi...
  20. Replica

    Huawei katoa Pura 70, hatari na nusu. Angalau milioni 5 kuikamata

    Huawei amezindua series za Pura 70 nchini China ikifungua ukurasa mwingine wa maendeleo pamoja na vikwazo vya Marekani. Ripoti zinasema simu hiyo imetumia zaidi vifaa vinavyotengezwa China kuliko simu yoyote Huawei imeshawahi kutengeneza kabla. Pamoja na hivyo bado Kirin 9010 inayotengezwa na...
Back
Top Bottom