Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia amegusa Mioyo ya watanzania, Amewapa Tabasamu,amewapa furaha . Ni hotuba ya Matumaini,ni hotuba iliyotoa Dira yenye matumaini,ni hotuba iliyounganisha Taifa ,ni hotuba ya kizalendo,ni hotuba iliyoonyesha Uwezo mkubwa wa kiuongozi alionao Rais wetu...