hospitali ya muhimbili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mgonjwa wetu anateseka akisubiri upasuaji wiki ya pili sasa MOI, wanasema “Kuna changamoto ya vifaa”

    Nipo hapa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga Kitengo cha Mifupa (MOI) nina mgonjwa ambaye tayari anaingia wiki ya pili tangu alazwe. Changamoto kubwa ni kuwa mgonjwa ana tatizo la mshipa uliovimba kichwani, ameshauriwa kufanyiwa upasuaji (operation) haraka. Hata hivyo, hadi sasa hatujapewa...
  2. JamiiForums Tanzania Wanne wafanyiwa Upandikizaji Figo kwa Njia ya Tundu Dogo katika Hospitali ya Muhimbili

    Madaktari bingwa wa upandikizaji figo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamefanikiwa kufanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wanne kwa kutumia teknolojia ya upasuaji wa njia ya tundu dogo (laparoscopic surgery), hatua inayotajwa kuongeza ubora wa huduma na kuharakisha uponaji kwa wagonjwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Hospitali ya Muhimbili Mloganzila hakuna huduma tangu asubuhi, wanadai system inasumbua

    Tuko Mloganzila Hospital tangu asubuhi hakuna huduma yoyote, walioko Wodini wala waliokuja kutibiwa wanasema System inasumbua so, hamna huduma yoyote. Tumeomba wafanye “Manual” kuokoa Maisha ya Wagonjwa wanasema haiwezekani sababu wanayotoa ni kwamba wizi utafanyika, so kwao ni bora watu wafe...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna mauaji ya majeruhi wa maandamano yanaendelea hospitali ya Muhimbili

    Kwa bahati mbaya hamna chombo kinachoweza kupewa hii taarifa na kuzuia hili. Polisi wamejazwa wodi zote za MNH na kila ambulance ikileta watu , basi hao watu wanapewa caring kidogo kisha polisi wanawachukua na kuondoka nao. Ambapo wote wanaochukuliwa hurudishwa tena lakini wakiwa maiti tayari...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu

    Wakuu, Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu, baba yake mzazi athibitisha hilo. Mhh...... Mungu amlaze pema. Pia soma Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya...
  6. JamiiForums Tanzania Sitakuja kumsahau huyu daktari kwa alichonifanyia

    Wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza kuna daktari nafikiri alikua bado ni mwanafunzi Muhimbili alinishika mkono kwa zaidi ya lisaa limoja wodini akinituliza, na kunitia moyo. Yule daktari alikaa pembeni ya kitanda changu akawa ananiambia itakua fine, itakua fine, kwa sababu niliingiwa hofu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huu utaratibu wa kuzuia maiti Hospitali ya Muhimbili kisa nduguze wanadaiwa hela ya matibabu utazamwe vizuri

    Hili jambo limenikuta maana kuna ndugu yangu amefariki tangu Alhamisi iliyopita, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa miwili wa mpendwa wetu, lakini wamekataa. Sijui tunafanyaje kwa hili.
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ifuatilie utendaji Idara ya Ustawi wa Jamii - Hospitali ya Muhimbili, ngazi ya juu hakuna Uwajibikaji

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
  9. JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Huduma Zaidi ya 35 za Kibobezi Zinapatikana Muhimbili

    JENISTA MHAGAMA: HUDUMA ZAIDI YA 35 ZA KIBOBEZI ZINAPATIKANA MUHIMBILI Na WAF - Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewezesha upatikanaji wa huduma za Ubingwa Bobezi zaidi ya 35 katika Hospitali ya Taifa Muhimbilli (Mloganzira na Upanga)...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dada yangu amefariki kwa kuishiwa Oxygen baada ya Muhimbili kufosi kumpeleka Mloganzila

    Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es Salaam. Wakati tunaelekea Muhimbili tukapita Hindu Mandal kwa kuwa kuna Daktari ambaye pia...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kama Muhimbili wamebadili ratiba ya kuona wagonjwa waseme. Wanatupa usumbufu mkubwa tunaotoka maeneo ya mbali

    Habarini JamiiForums, Nawaailisha kero yangu kwenu iwafikie Hospitali ya Muhimbili, wanachotufanyia tunaokuja kuona wagonjwa si uungwana. Juzi July 10, 2024 nilikwenda kuona mgonjwa nikiwa nimeambatana na baadhi ya ndugu, kufika pale tukakatiliwa kuona wagonjwa tukiambiwa ndugu waliokwenda...
  12. JamiiForums Tanzania Mwananchi aliyefiwa mtoto wake Muhimbili adaiwa kutakiwa kulipia Tsh. 10,695,000 ili kuikomboa maiti

    Nisiseme mengi, mimi nimeleta humu Ili kuibua mjadala wa Sera ya Afya ya CCM na makandokando yake katika sekta na huduma za kiafya hapa nchini. Hayo chini ndio maelezo ya ushuhuda wake aliyotuma kwa wanagrupu wenzake kule WhatsApp ili wamsaidie kumchangia pesa aweze kugomboa maiti wake ili...
  13. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili itajengwa kwa miaka mingapi?

    Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi? Au mimi kuna kitu sielewi?
  14. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili yatoa ufafanuzi kuhusu kero ya ucheleweshwaji wa utoaji wa Medical Report

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa kutoa Ripoti ya Matibabu (Medical Report) kwa Mgonjwa licha ya kuwa inalipiwa Tsh. 100,000 kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, akidai kuwa zamani ripoti hiyo ilikuwa bure, Uongozi wa Muhimbili umetoa majibu. Mdau amedai kuwa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Maboresha makubwa hospitali ya Muhimbili

    Leo nimepita hospitali ya Muhimbili nimefurahishwa sana na maboresho ya miundombinu kuanzia utaratibu wa kuingia na kutoka magetini, vibao vya ishara, sehemu za kupumzika wageni/wagonjwa, huduma nzuri ya Askari wa SUMA JKT, majina ya wards nk. Hongera sana uongozi wa Hospitali ya Muhimbili...
  16. JamiiForums Tanzania Madaktari Wazawa waendelea kupandikiza figo Hospitali ya Muhimbili, njia ya matundu madogo kutumika

    Madaktari wazawa Hospitali ya Taifa Muhimbili wanaendelea kufanya upasuaji wa kupandikiza figo ambapo wagonjwa 12 kuanzia leo watapata huduma hiyo sita kati yao watafanyiwa Upanga kwa njia ya kawaida na sita watafanyiwa wiki ijayo huko Mloganzila kupitia mfumo wa matundu madogo. Akizungumza na...
  17. JamiiForums Tanzania Lugha ya alama yajumuishwa kwenye utoaji huduma Hospitali ya Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imejumuisha lugha ya alama ili kutoa usaidizi kwa wagonjwa wenye tatizo la kusikia ili kuwaondolea changamoto za mawasiliano wakati wa kupata huduma za matibabu hospitalini hapa. Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Masikio, Pua na Koo, Dkt. Aslam Nkya uamuzi huo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeanzisha biashara ya parking Muhimbili?

    Ni nani alieanzisha biashara ya parking MUHIMBILI? Pesa inayopatikana inamnufaisha nani? Ni haki kumtoza pesa mgonjwa kwa kupaki gari lake tu? Ni kweli binadamu mtanzania amekosa utu na huruma kiasi Cha kutoza pesa WAGONJWA?
  19. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili yaongoza kitaifa kwa utoaji taarifa za madhara yatokanayo na dawa

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imeongoza kitaifa kwa 57% katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo kwenye utoaji taarifa za madhara yatokanayo na matumizi ya dawa kati ya taarifa zote zilizopokelewa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kwa miaka ya fedha ya 2020/21, 2021/22 na 2022/23...
  20. JamiiForums Tanzania Mifuko ya Plastiki yapigwa marufuku Hospitali ya Muhimbili

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa watoa huduma na ndugu wa wagonjwa katika mazingira ya hospitali (Upanga na Mloganzila) ikiwemo wodini na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…