Mfundishe mwanao na umjengee msingi imara wa elimu kupitia Elite Home Tuition Services.
Tunatoa huduma ya home tuition na online tuition kwa wanafunzi wa level zote, kuanzia chekechea hadi chuo kikuu, kwa kutumia mitaala yote, ikiwemo Tanzania Curriculum, Cambridge na International Curricula...