hoja

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA njooni na hoja zinazomtoa nyoka pangoni

    Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao. Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaomba siku 21 kujibu hoja zilizowasilishwa Mahakamani na wanachadema wanne kusimamisha shughuli zote za kisiasa za chama

    CHADEMA kimeomba muda wa siku 21 kujibu hoja za kisheria zilizowasilishwa Mahakamani na Saidi Issa Mohammed na wenzake watatu, waliowasilisha kesi Mahakama Kuu ya Tanzania, wakitaka Mahakama isimamishe shughuli zote za kisiasa za chama hicho hadi shauri lao la msingi litakaposikilizwa. Kuhusu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tusome tujenge hoja zenye mashiko

    TUJISOMEE, TUJUWE MIFUMO ILI TUNAPOJENGA HOJA ZIWE NI HOJA ZENYE MASHIKO Ninakumbuka Tarehe 31/03/2025, Profesa Abubakar Bin Zuber Bin Ally Bin Mbwana, Mufti na Shekhe Mkuu wa Tanzania, Akiwa anaongea mbele ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alisema: Mwisho wa kunukuu. Tukisoma...
  4. JamiiForums Tanzania Msanii wa Muziki Patience Namadingo amuuliza maswali magumu na kutoa hoja nzito Rais wake wa Malawi, Chakwera

    Patience Namadingo’s bold address to President Chakwera: A wake-up call for Malawi In the video, Namadingo expresses his excitement about attending the meeting, describing how overjoyed he was upon receiving the invitation to engage in a conversation with President Lazarus Chakwera. Addressing...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana hoja. Haya makaa ya mawe yanayosafirishwa maelfu ya Tani Kila siku kwenda nje ni utajiri ambao ungetunufaisha hapa Nchini

    Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema; "Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza." "Sasa mimi...
  7. JamiiForums Tanzania Je Chama hakina wajibu hoja?

    Ukweli ni kwamba ukimkamata mtu kama Tundu Lissu na ukamfungulia kesi unakua haumshushi bali unazidi kumuongezea credibility kwa watu na anazidi kujikusanyia wafuasi. Kumkabili Tundu Lissu unahitaji watu “Smart” katika siasa, magwiji wa kujenga hoja na wenye nguvu ya ushawishi.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hoja

    Mnisaidie kupata lain niliyekopa Toka mwaka 2023 naitumia njia ipi
  9. O

    JamiiForums Tanzania Hoja walizonazo Wanaopinga Agenda ya Kitaifa ya NO REFORMS NO ELECTIONS

    Ukiona mtu yeyote awe rafiki yako au ndugu yako anaepinga no reforms no election ujue ni aidha ananufaika moja kwa moja na mfumo uliopo (CCM) kama sivyo basi ujue huyo mtu HANA AKILI NA NI MJINGA wa kiwango Cha SGR. Zifuatazo ni hoja walizonazo Wanaopinga no reforms no election ya chadema...
  10. JamiiForums Tanzania Je, chaguzi zetu ziko sawa?.

    Mijadala vyuo vikuu imetoweka, vyuo vikuu vyetu sasa ni sehemu ya kuzalisha vibarua na machawa badala ya fikra. Mhitimu akipewa nafasi ya aina yoyote iwe kazi, uongozi hata ubunge yeye kwake ni kibarua kwaajili ya kulea wanawe tu basi. Hivyo kazi yake itakuwa kusifu, kusifu, kusifu na kujishusha...
  11. JamiiForums Tanzania Je, chaguzi zetu ziko sawa?.

    Mijadala vyuo vikuu imetoweka, vyuo vikuu vyetu sasa ni sehemu ya kuzalisha vibarua na machawa badala ya fikra. Mhitimu akipewa nafasi ya aina yoyote iwe kazi, uongozi hata ubunge yeye kwake ni kibarua kwaajili ya kulea wanawe tu basi. Hivyo kazi yake itakuwa kusifu, kusifu, kusifu na kujishusha...
  12. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: G55 (Mpox) wana hoja dhaifu, mtazamo usioeleweka na mikakati ya duni dhidi ya CHADEMA

    Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election. Hapa chini ni...
  13. JamiiForums Tanzania Waafrika tuache visingizio hoja zetu hazina mantiki , hao influencers wengi ni wapiga domo na hawana hata akili ya kuvukia barabara

    Habari wajameni Nimekuwa nikifuatilia mambo mengi haswa hawa pan Africans , kiukweli hakuna mwenye akili hata moja angalau Mwalimu nyerere alikuwa anaweza kujenga hoja na ikaeleweka .. Tuje sasa kuna kundi limeibuka huko ,wanapinga dini . Bila shaka sio kosa maana wako huru ila ukija kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!

    Wanabodi, Declaration of Interest Mimi Pascal Mayalla,ni Mtanzania, mwana jf na ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila kwa vile Chadema inagharimiwa kwa fedha zangu,paid by taxpayers money,hivyo the taxpayers have all the rights and powers kujadili jambo lolote la Chadema over...
  15. JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia hayaishi: Vichaa wamewabana kwa hoja wasomi wenye Masters na PhDs!

    Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya wasomi(waliobobea katika elimu ya juu) wanaposhindwa kujibu hoja mitandaoni, wanakimbilia kutoa matusi ya kisaikolojia. Hoja hujibiwa kwa hoja. Mtu akiandika uzi unaowa-challenge wenye shahada za juu, mara nyingi anaambiwa kuwa ana matatizo ya afya ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania wengi hasa wabunge na madiwani wameipokea kwa shangwe hoja ya Tundu Lissu Uchaguzi ufanyike 2027 baada ya reforms zote kufanyika

    UJUMBE: CCM chukueni hii miaka mitatu ya bure Kwakuwa nyie sio Mungu hamuwezi jua yatakayotokea kwenye Uchaguzi kama mtalazimisha kuingia kwa lazima. !!!!!! Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha CHADEMA pamoja na chama cha ACT Wazalendo wametoa ofa kwa Rais wa Tanzània Mhe Samia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Je, unaunga mkono hoja ya kuongezewa muda Rais aliyepo mamlakani Ili kusimamia Reforms kupata katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi baada ya 2025?

    Helow! Hoja ya kufanya reforms kwenye katiba iliyopo kupata Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kabla ya uchaguzi wowote imeeleweka. Na kwa kuwa mamlaka ya mwisho kikatiba yapo chini ya umma wa wananchi, nichukue fursa hii kuuliza watanzania wenzangu ikiwa wapo tayari kumuona Rais aliyepo...
  18. JamiiForums Tanzania Haya wale ambao mnamtetea Ali Kamwe na Utoto, Upuuzi na kutaka Kwake Sifa zinazoenda Kumtokea puani sasa mjibuni huyu Dada kama mna Hoja za maana

    "Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala ( @mwagala.christina) Afisa Habari wa...
  19. JamiiForums Tanzania Haya wale ambao mnamtetea Ali Kamwe na Utoto, Upuuzi na kutaka Kwake Sifa zinazoenda Kumtokea puani sasa mjibuni huyu Dada kama mna Hoja za maana

    "Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala ( @mwagala.christina) Afisa Habari wa...
  20. JamiiForums Tanzania Ana hoja asikilizwe, kachanganyikiwa? au ujuaji umemponza?!

    Au waziri alizingua?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…