hoja

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ifanyeni hoja ya Mchengerwa, Mkwe wa Rais Samia kuwa Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi (TAMISEMI) kuwa hoja kubwa, itaeleweka kwa haraka

    Hii Hoja, ni Hoja ya kimantiki sana na Nzito ambayo hata MTU asokua na Elimu ataiamini na kuikubali haraka. Ifanyeni Hoja hii iwe kubwaaaaaa sana ,ikishakua Kubwa, inaaminika kirahisi. Tatizo la CHADEMA, Hamfanyi matumizi sahihi mitandao ya kijamii. Hii ni Hoja nzito Sanaa . Kwanza...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa namna hoja ya No Reform No Election ilivyo na mashiko, Tutarajie kuwaona vibaraka wote wakiji-expose

    Kati ya jambo ambalo Wapinzani wa nchi hii hawakuwahi kulijua huko nyuma ni kwamba sehemu pekee ya kushikilia kwenye nchi hii ili tupate mabadiliko ya kweli kwa maslahi mapana ya Taifa ni KATIBA MPYA. Uzoefu wangu katika kuwa mwanachama hai wa CCM kwa takriban Miaka 30 umenionesha vizuri sana...
  3. JamiiForums Tanzania Setfree Apangua Hoja za Atheists

    A contingent multitude repudiates the plausibility of a Supreme Being, yet the meticulous orchestration of cosmic mechanics inexorably intimates an omniscient Architect. Empirical inquiry elucidates the immutable axioms governing the natural order—whence originates such profound exactitude? The...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jibuni hoja, msituletee ujinga

    Tangu Tundu Lissu atangaze kaulimbiu ya No Reforms No election kumekuwa na matamko kadhaa ya kkipuuzi na ya kitoto yanayotolewa na viongozi wa upande kinzani. Kwa ujinga hawajaweza kujibu hoja za msingi za Tundu Lissu. Hoja zake zipo very clear kwamba, ni lazima kwanza kufanya maboresho ya...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kwa hoja na Lissu, CCM yahamia kwenye propaganda mfu wakidhani Tanzania ya leo ni ya mwaka 1990

    Baada ya kuona Wananchi wengi wanaielewa hoja ya Lissu na Chadema kuwa bila kufanya Marekebisho ya Katiba na Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu, CCM wamechanganyikiwa kiasi cha kuanza kutengeneza propaganda mfu wakidhani wataweza kuendelea kuwarubuni Watanzania kukubali...
  6. JamiiForums Tanzania Chalamila hoyeee. Namuona ITV malumbano ya hoja anashusha nondo

    Tangu mwaka kuanza nadhani hiki ni kipindi cha kwanza bora itv kuhusiana na kuendesha biashara Kariakoo kwa saa 24. Chalamila leo katulia. Anajenga hoja. Inaonekana alijiandaa ilivyo kwa kipindi hiki. Sio yule Chalamila mropokaji na mbwatukaji. Amekua kiasi. Namsikia akiongea kwa data na...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchambuzi: CCM kumteua Steven Wassira ni onyo kwamba watashinda uchaguzi wa 2025 kwa gharama yoyote, CHADEMA ijipange kwa uchaguzi wa 2030 na si 2025

    Habari za mwisho wa wiki wadau na kheri ya mwaka mpya. Lakini kwanza nitie angalizo kwamba mie si mwanachama wa chama chochote bali ni mtaalam tu niliejifunza kufanya chambuzi na mambo mengine khasa ya kimataifa zaidi. Hivyo kuna wakati najikuta naangalia kinoendelea hapahapa nchini mwetu na...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa ki mantiki ( logical fallacy) ama Debate strategy ambazo watu wajanja wanapenda kutumia ili kushinda hoja. Ukizijua hizi ngumu kutapeliwa

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya ujanja ujanja wa kimantiki kwa kiingereza zinaitwa logical fallacy ambazo wajanja huwa wanazitumia kwenye debate ama mabishano ya hoja ili kushinda mabishano hayo Ad Hominem - Kushambulia mtu anayetoa hoja badala ya kushughulikia na kuijibu hoja yenyewe. Strawman...
  9. JamiiForums Tanzania Kumfukuza Malisa, CCM imepuliza ili Iwake, Hoja hujibiwa kwa Hoja , watu Sasa watazidi kuhoji kulikoni?

    Kuna vitu maamuzi yake huhitaji Hoja, yaan anasimama MTU makini anaelezea Kwa hoja !. Sasa kumfukuza MTU namna hii, maana yake ni kuifanya habari iwe kuuuuuubwa , embu fikiria vyombo habari vireport " CCM yamfukuza aliyepinga kuvunjwa Kwa Katiba wakati wa zoezi za kuchagua Mgombea Urais'...
  10. JamiiForums Tanzania Tunategemea kuona hoja na mipango ya kimaendeleo kwa wagombea kuelekea uchaguzi lakini badala yake tunaona vituko na maigizo yasiyo na maana

    Nchi imeingia kwenye siasa mbaya naweza kuziita za ki "mbumbumbu" sana tangu kupata uhuru yani siasa za maigizo na vituko badala ya siasa za hoja na maono na mipango mbalimbali ya kimaendeleo kutoka kwa wagombea badala yake tunaona mara sijui waziri anagala gala chini mbele ya mgombea mara...
  11. JamiiForums Tanzania Tuzijadili hoja za Rais Kagame kwa kina, je zina maswali na hoja za kimsingi?

    Umoja wa Mataifa, Congo na Rwanda – Paul Kagame auliza maswali magumu "Tumesikia kuhusu Walinda Amani Umoja wa Mataifa ndani ya Congo una zaidi ya miaka 30 sasa…" — Paul Kagame... Rais wa Rwanda anauliza, UN imekuwa Congo kwa miongo mitatu, lakini mgogoro hauishi. Kuna tatizo gani? Kagame...
  12. JamiiForums Tanzania HOJA HURU: Mimi Hadi Sasa sikuelewa umuhimu wa kuleta ARV, ARV zisingekuwepo HIV Sasa isingekuwepo walio na maambukizi wangekuwa wameshakufa wote

    Mimi Hadi Sasa sikuelewa umuhumu wa kuleta ARV, ARV zisingekuwepo HIV Sasa isingekuwepo walio na maambukizi wangekuwa wameshakufa wote wakabaki wasio na maambukizi badala yake idadi ya walionao imekuwa kubwa tunategeshea takwimu za watu ambao wanatumia dawa ipasavyo ili wasiambukize ona Sasa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Wanaosema No Reform No Election hawana fedha za kufanya Uchaguzi

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi...
  14. JamiiForums Tanzania Ningekuwa CCM ili kuleta maendeleo kwa Watanzania basi ningeanza na hili

     Wanabodi Hamjambo... Ni Wazi Kila Serikali Duniani Nia Na Lengo Lake Ni Kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi Wake. NA ndio Maana Moja Ya Slogan Katika Kupindi Cha JK ni MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. Katika Muktadha Huo, Kama Ningepata Nafasi Ya Kua Na Ushawishi Katika Chama, Bunge Na Serikali...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uhamiaji Tanzania Bado Lina Hoja ya Kujibu Kuhusu Suala la Kuwapa Uraia Hao Wachezaji wa Kigeni

    1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu. 2...
  16. JamiiForums Tanzania Siasa sio ugomvi bali ni ujenzi wa hoja.. Je ccm wamempongeza LISSU?

    Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA Wote tunafahamu ccm walipenda nani apite na tunajua kwa hakika waliwekeza nguvu kubwa kiasi gani, muda, nyenzo na...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Methali ya ajabu niliyopewa na mama mkwe wakati anakazia hoja yake, "aliyejamba hayaachi kunuka".

    Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia kuwa kumbe amejitahidi Hadi amevuna kidogo. Hii ndo ilikuwa respond yake, "ee baba, anayejamba...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wafuasi wake hoja, ufafanuzi, kujitetea nk wangeyasema jana kwenye mdahalo.

    Kwamba mdahalo wameukimbia? Kwani Nchimbi walisema je? Kwa hiyo mwamba ameulaza u nini? Kama alikuwa na hoja au kujitetea au kutoa ufafanuzi ilikuwapo fursa bora kwake kuliko jana? Viva CDM kuanza safari mpya free from "chawa wala viroboto!"
  19. JamiiForums Tanzania Godbless Lema ndio mwanasiasa mwenye uwezo wa kujenga hoja na akaeleweka na kila mtu nchini

    Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki. Mbowe hawezi kushinda tena. Na akishindwa asitafute mchawi,bali Lena ndio mchawi wake Lema kaitisha press moja tu...
  20. JamiiForums Tanzania Asante Mbowe, umeongea hoja ambayo nilii-post hapa JF siku kadhaa zilizopita. Wewe umeiweka vizuri zaidi kuliko mimi

    Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu. Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…