historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hukajawahi kuwa na vita vya uchumi Tanzania, Historia iwekwe sawa

    Kuna watu wengi waliwahi kuaminishwa Tanzania iko au imewahi kuwa katika vita vya uchumi au inafanyiwa figisu za uchumi na majirani zake, mataifa ya nje na kampuni za kimataifa. Ukweli ni kwamba hatujawahi kuingia katika vita vya uchumi nchi hii. Mabishano na kutofautiana katika sera za uchumi...
  2. JamiiForums Tanzania Tupeni historia ya Mbuyu wa pale kona ya kwenda Masaki, Kwanini haukatwi?

    Hivi nani anaijua Historia haswa ya ule Mbuyu wa pale ‘Mbuyuni’ kona ya kwenda Oysterbay/Masaki. Maana inashangaza vile umekaa katikati ya Barabara na haujawahi kukatwa!! Sahizi mwendokasi nao wanaukwepa kuukata sasa sijui watapitisha wapi Barabara yao?
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini dini hizi UYAHUDI, UKRISTO na UISLAMU zinatofautiana siku ya kusali wakati chimbuko lao Moja (Abrahamic Religions)

    Kama wote tunavyojua, Dini ni miongozo ya kiimani hapa Duniani, mafundisho yake utupa njia na namna ya kuishi hapa duniani kwa kufuata miongozo ya mnae mwabudu. Leo nitazungumzia kwa nini siku za Kuabudu utofautiana katika kila Dini na nitajikita zaidi kwenye Dini zenye chimbuko la Ibrahimu au...
  4. JamiiForums Tanzania Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Nne na ya Mwisho

    https://youtu.be/7hdr_NWa6mk?si=iZwFvEiOtXV3lK35
  5. JamiiForums Tanzania Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Tatu

    https://youtu.be/iCuOj7ppe5E?si=QeKMvxp0WqOpAzUi
  6. JamiiForums Tanzania Leo katika historia

    Siku kama ya ya leo December 27 mwaka 2007 aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke nchini Pakistan Benazir Bhutto aliuwawa kwenye shambulio la kujitolea mhanga huko Rawalpindi, Pakistan alipohudhuria kwenye mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa kisiasa.
  7. JamiiForums Tanzania Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/CeBBijxdjwg?si=3wUQnU1BEJOgcM_N
  8. JamiiForums Tanzania Historia ya Sheikh Hassan bin Ameir Mufti wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZY0ozVzGzXo?si=7u9N3U8Ky8qlgefs
  9. JamiiForums Tanzania Historia ya Omari Suleiman Nyumba Yake Ndiyo Akifikia na Kulala Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru

    HISTORIA YA FUNDI CHEREHANI OMARI SULEIMAN RAFIKI KIPENZI WA JULIUS NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Mwaka 1955 wakati wimbi la utaifa wa Tanganyika lilipokuwa limepanda sana nchini Tanganyika Omari Suleiman alikuwa na umri wa miaka 43. Omari Suleiman alikuwa fundi cherahani...
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe ametoa masterclass (darasa kuu) ya siasa za upinzani Tanzania leo. Historia itamsema vizuri

    Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na maswali ya waandishi wa habari aliyoyajibu leo ni masterclass ya siasa za upinzani katika nchi yetu. Kuongoza upinzani sio oya oya kama wengi wanavyodhani, kunahitaji utulivu akili, uvumilivu, maturity na busara kubwa sana. Baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Zijue Mashine Aina ya Terez: Historia, Matoleo, Injini Zake, Faida na Hasara zake.

    Zijue Mashine Aina ya Terez: Historia, Matoleo, Injini Zake, Faida na Hasara zake. Mashine za Terez ni mashine madhubuti zilizoundwa kwa ajili ya kufanya KAZI mbalimbali ngumu kama ujenzi, na usafirishaji wa mizigo. Mashine hizi zimepitia mabadiliko makubwa tangu zianze kutengenezwa, na...
  12. JamiiForums Tanzania Wasafi FM: Historia ya Bibi Titi...Inaendelea

    https://youtu.be/cc4rPXasbDM?si=xe6F8oUNMEwxRjjc
  13. JamiiForums Tanzania Bibi Titi Alihifadhi Historia ya Maisha Katika Uhai Wake

    BIBI TITI ALIHIFADHI HISTORIA YA MAISHA YAKE KATIKA UHAI WAKE 13.559 Aufrufe · 18 Reaktionen #WasafiDigital #WNews | Wasafi FM
  14. A

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM ) na kushindwa kuhifadhi Historia kwa ufasaha

    Kwa hivi karibuni kila Mtanganyika na Mzanzibari ameshuhudia Serikali inayoongozwa na CCM ikiwa ni kinara wa kuendelea kuwasahaulisha kizazi hichi kipya historia mama ya Nchi yao Iliyo ni tunda la Muungano yaani Tanzania. Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zimekuwa kama ni hisani, hazipewi kabisa...
  15. JamiiForums Tanzania Historia ya Marafiki Ndugu Wawili Waasisi wa TANU

    https://youtu.be/djuL8PYQHMA?si=1e_2imiIOpk3qtC2
  16. T

    JamiiForums Tanzania Historia ya vyama vingi vya kisiasa Tanzania ni giza nene sana

    Uwanzishwaji na uwendeshaji wa vyama vya siasa vya Tz nigiza nene kiasi ukiingia nikama umenasa kwenye ulimbo usijuwe palitokea. Hakuna mtu atakaye nielewa kama hukuwahi kugoma kwenye vyuo huwezi nielewa ila nataka kusema nibora hata visingekuwepo maana huu ni mtego wa panya na hakuna...
  17. JamiiForums Tanzania Wayahudi wamechinjwa sana kwenye historia na bado wapo tu, hata mtume Mohammad aliwahi kujaribu kuwamaliza

    Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya kuanzisha kizazi cha taifa la watu weupe ( wazungu)

    Hadithi ya YACUB ni simulizi linalotokana na mafundisho ya Nation of Islam (NOI), harakati ya kidini na kisiasa iliyoanzishwa nchini Marekani katika miaka ya 1930. Hadithi hii inachukuliwa kama mithali au simulizi ya mfano na siyo rekodi ya kihistoria au kisayansi. Hapa kuna muhtasari wa hadithi...
  19. JamiiForums Tanzania Historia ya Sheikh Mohamed Ramiyya wa Bagamoyo

    https://youtu.be/v4f9Y3QKpak?si=ZVDx2ZELIucxRASJ
  20. JamiiForums Tanzania Watawala wasingekosea kama wangekuwa wanafunzi makini wa Historia!

    Daniel Arap Moi "alijiapiza" kuwa KANU ingetawala Kenya miaka mia moja! Iko wapi kwa sasa? Haikufikisha hata miaka hamsini. Iliondolewa madarakani na waliowahi kuwa wana KANU waandamizi. Adolf Hitler alikuwa na nia ya kuwaangamiza Wayahudi wote. Japo aliwaua wengi lakini lengo lake halikutimia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…