hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Video: Jerry Muro aropoka na kusema Rais ni wa ovyo

    Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale...
  2. PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
  3. Mke wa mtu kaniomba tukapumzike Zanzibar weekend hii.

    Habari zenu Kuna mchepuko wangu ni mke wa mtu,sasa kazini kwao weekend hii wanatakiwa kwenda training somewhere huko arusha ila yeye kaniambia hatoenda huko kwenye hiyo training instead kaniambia twende zetu zanzibar tukale raha. Nikubali au nikatae wakuu?
  4. Je, hii video ndo inamfanya Mbowe Kuogopa na Kubaki ndani akiwa anachungulia Dirishani?

    GT. Laana ya watoto wadogo wa taifa hili zitawatesa wasaliti. 'Waacheni watoto wadogo waje kwangu". Mkisaliti mapambano x3
  5. Nina umia sana aliye vujisha Siri hii alikosa fursa ya kumwona raisi kwa sababu ya vizingiti, mshahara wake anaitwa mtu hasiyezarendo, aliyeiba je?

    Mh Rais shikamoo! Aliyevujisha Siri alikutafta kukuona zaidi ya mara Tano akanyimwa nafasi na katibu wako IKULU Je kwa Nini tunamhukumu yeye Badala ya aliyeonekana bilionea without sweeting? Kimsingi Mh raisi upo ushahidi wa kiaibu dhidi ya Ile taarifa .
  6. Esther Matiko hivi ukiangalia hii video bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana bungeni?

    Askari polisi abakufanyia udhalilishaji hadharani na bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana. Kwa wenzetu hiyo ni kesi kubwa kama mhusika akivalia njuga na anaungwa mkono na mamlaka. Ila wewe sasa. Hii video watakuja kuiona wanao wakiwa watu wazima kisha wataangalia ulizungimza nini!
  7. Kero za Muungano Awamu hii ya Sita Hazipo?

    Wakuu ndugu zetu kule upande wa Visiwani naona kwasasa hawaoni Kero za Muungano kabisa, Nimeona wabunge wao majority wanapiga kelele kukemea activists wanaokuja kutoka Nje ila Mambo ya Muungano wameweka Pembeni kabisa Kulikoni tena ndugu zetu?
  8. Wadau Hii CV ya Mbunge mnaionaje

    Huyu Mbunge aliyeita watu ni Kenge kumbe katumia miaka 27 kupata Diploma. Ila nadhani hakuna Bunge duniani lina vilaza kama hili.
  9. Ukiwasikiliza Kina Maulid Kitenge kwenye hii Morning Show ya Wasafi Utaelewa kwanini wananchi wana hulka ya Mazombie

    Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa? Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
  10. UMEONA HII: Maambukizi ya aina mpya ya COVID-Omicron

    Tahadhari: VAA BARAKOA KWA SABABU KIFO KIPO NDANI YA COVID-OMICRON MPYA: ⚠️ Tofauti inayoua 💀 lakini haionekani kirahisi 😱 ni: 🔥 Hakuna kikohozi 🗣️ 🔥 Hakuna homa 🌡️ 👉 Dalili zinazojitokeza mara nyingi ni: 💥 Maumivu ya viungo 💥 Maumivu ya kichwa 💥 Maumivu ya koo 💥 Nimonia 💥 Udhaifu wa mwili 💥...
  11. Nakuambiaje, hii leo Israel abadirishe dini na awe muislam, hautakuja kuona mabango ya free palestine. So the issue ni itikadi wala sio haki ya ardhi.

    Niambie ni lini mwenyaaazi wa JF waliwahi kuandika nyuzi kama hizi ku-condemn yafuatayo👇🏻👇🏻 Ushawahi kusika free sudan? Ushawahi kusikia free syria? Ushawahi kusikia free yemen?
  12. Mbinu hii itakupa viewers wengi kwenye content yako. Pesa ipo mtandaoni vijana.

    Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja. Nina account Instagram ila hata...
  13. S

    Je, ni sahihi kiwanda cha TOOKU F kuwatisha wafanyakazi kuwa wakiacha kazi hawatapewa mafao licha ya kumaliza mikataba yao?

    Je, hii ni sahihi ikiwa mfanyakazi yupo kwa mkataba na mkataba wake umefika ukomo na ameandika Barua ya kuacha kazi mwezi mmoja kabla ya ukomo wa mkataba wake, lakini Mwajiri Badae anasema hakuna kuacha kazi na ukiacha Basi stahiki zako za NSSF hutapata. Hii imetokea Kwenye kiwanda kimoja cha...
  14. M

    Karma ni Karma huwa inawatafuna sana wanafiki, refa aliyeinyima Yanga goli halali kule Afrika Kusini Simba wakakenua leo hii ndio analaumiwa

    Mashabiki wengi wa Simba ni awajielewi kabisa,,Leo hii wanapiga mayowe eti refa kawanyonga na wamesahau ni refa uyu uyu alikataa goli halali la yanga kule kwa madiba na wakakenua meno yote 32 nje? Goli lile laiti lingekubaliwa lingeipekeka yanga hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa laana ambayo...
  15. Kwenye hii umewatambua wakina nani ?.

  16. Kama kuna kijana yoyote mdogo anae hitaji kumbusho lolote la kumuhasisha na kumuongoza sio vibaya akasoma hii

    ♥️Maji hufata mkondo vile vile Mrembo hufata unafuu, kwa hio usi-invest hisia zako katika pendo la ukweli, utaambulia kuchukia kila mtu na nafsi yako pia. 🕓Muda ni wa thamani kuliko pesa. Unaweza kutumia muda kupata pesa, lakini huwezi kutumia pesa kununua muda uliopita. Muda ni rasilimali...
  17. Mliooana kupitia forum hii leteni mrejesho

    Wanandoa mliofanikisha kupitia forum hii msitufanyie hivyo bana, tupeni mrejesho nasisi wengine tuchague wenyewe bila shurti kama tunazika au tunasafirisha
  18. Hii ni spesho kwa wadau wenye kutafakari mambo kwa hekima

    Nadhani watu wanao utafuta ukweli ndani mioyo yao,nafsi. Wewe ulifanya meditation kwamda mrefu bila kuona maana ya meditation. Nimekuletea zawadi ya MAGIC mushrooms. Mkoani utatumiwa na ikiwa upo dar es salaam UTAKUJAMOJA KWA MOJA OFSINI.
  19. Kwa hii scenario kipi kinachelewesha nisipate mafao ya NSSF?

    Nilifukuzwa kazi mwezi wa 3, mwajiri Wangu alinipa Kila documents,nikafatilia mafao ya kukosa ajira NSSF, baada ya usumbufu wa hapa na pale nilkamilisha mchakato na kuambiwa ntapokea sms ya muamala ndani ya mwezi. Baada ya kama siku 25,bila kuona muamala nilifatilia tena, mtumishi mmoja mama...
  20. Hii Ya Askofu G ndio inaitwa Jeuri

    Kuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI. DHARAU ni kitu chepesi sana dharau anakua nayo mtu yeyote,...ndio maana Wanyakusya hua mnasema wandharau 😁..hakuna Mnyakusya Jeuri au mweye kiburi so elewa dharau unaweza ipata kwa mtu yeyote. Ila kuna kitu inaitwa UJEURI hii anakuaga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…