hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Changamoto nilizokutana nazo wiki hii Kwa Huduma yaBima Ya Afya

    Bima nyingine kama NHIF Zina Changamoto hizi 1. Kama hakuna Umeme Huhudumiwi. Pale Levolosi Arusha nilikosa huduma Kwa sababu hakukuwa na Umeme. Nilioa baadhi ya sehemu taa Zinawaka ikiwemo Mapokezi. Nikaambiwa wanatumia Generator Haliwezi kuwasha Computer. Nikaazuga kwenda nyuma ya Mapokezi...
  2. Licha ya mapungufu yake lakini Samia Suluhu tunamuheshimu na kumtii kama Rais wa nchi hii,

    Ni utamaduni wetu huu, Baada ya kula kiapo tayari anakua na mamlaka lazima tumtii na kumuheshimu kama Rais wa Nchi, Pasitokee mtu yoyote kujifanya ana madharau yake kisa nafasi aliyopo na kuleta upuuzi wake, imekua hivyo tangu zamani kwanzia Nyerere, Mkapa Mwinyi Kikwete na JPM na hata...
  3. S

    Mama na uzanzibari wake ataweza kupambana na midume hii ya bara?

    Mama Samia amejengwa na utamaduni wa wazanzibari wa "muhali". Huku bara hakuna kitu kama hicho. Jitu likikuamulia kila uchwao linaongeza mbinu za kukuangamiza. Kingine ni kwamba mijitu ya huku bara inaweza kuwa inakuchekea usoni lkn moyoni ina chuki ya kukuua Mama amejiandaa kwa yote haya...
  4. Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa 5.3%,tutegemee Neema zaidi Mwaka 2022 Chini ya Rais Samia.

    Matunda ya Uongozi wa Rais SSH yaanza kuonekana kutokana na ukuaji wa Uchumi. Hongera Sana Mama juhudi zako zimeanza kuzaa matunda,Watanzania tutegemee Neema zaidi kwa miaka ijayo
  5. Ijue Aquamation, Archbishop Desmond Tutu's aliomba achomwe kwa njia hii badala ya moto

    Archbishop Desmond Tutu amepumzishwa kwa amani kwenye makao yake ya milele mjoni Cape Town baada ya kufanyiwa taratibu zote za kuuaga mwili wake kwa heshima za kiserikali na kidini ambapo kukafanyika shughuli nyingine ndogo nyuma ya mimbari aliyokuwa akiitumia kukemea na kuupinga vibaya utawala...
  6. B

    Moment kama hii JK angepiga ni upepo tu yatapita! Kiongozi bora JK

    JK kamanda wa siasa na uongozi wa utulivu, mwenye kifua na Moyo was kiume. Ninajifunza kwako. Ni upepo tu, yatapita
  7. Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

    Jamaa wapo fasta huenda template ilikuwepo kabisa, wameprint tu lakini mbona hawajafafanua kuhusu vijijini? Alafu anasingizia katikati kuriharibiwa wakati maagizo ni ya kwake. Huwa nashangaa sana wanaosifia Makamba ni akili kubwa.
  8. Kwa hali hii; Je, Job anaweza kumuwahi boss wake kwa ile kura ya veto?

    Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia. Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye mhimili mwingine. Kwa nafasi aliyonayo dhidi ya ule muhimili anaousimamia japo tayari yupo under...
  9. Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

  10. Njia rahisi ya kupata pesa Dar es salaam ni hii

    Hii ni special kwa vijana wanaotafuta mtaji. Kwakuwa watu wengi wameshajazwa upepo kuwa hawana nguvu za kiume kumbe wanazo tele na Dar ni jiji kubwa basi wewe cheza na fursa. Nenda kanunue vile vichupa vidogo vinauzwa around 200 tsh. kama sitakosea, kisha unaingia kando ya mji unachukua magome...
  11. William Lukuvi ndiye aliyekuwa kipenzi cha Hayati Magufuli

    Za ndani kabisa Waziri William ndiye kiongozi pekee ambaye hakuwahi kupishana na JPM. Ndiye Waziri pekee aliyekuwa na uwezo wa kumshusha munkali JPM duru 'zinatabanaisha.' Wakati fulani inasemekana baadhi ya mawaziri wenzake walipokuwa na mgogoro wa wazi na JPM walikuwa wanamfuata William...
  12. Hapo zamani, unakumbuka nini?

    Mwaka wa baraka
  13. Naomba kujua makadirio ya pesa nyumba hii

    Habari nyingi wakuu. Tumeanza mwaka na mipango mipya. Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah. Vyumba vitatu vya kulala (1 bedroom) Jiko Dining Kitchen Store Sitin room Public toilet...
  14. Nchi hii, kiini cha kila tatizo tulilo nalo inaonekana ni katiba mbovu; mlio kwenye system, naomba mtujuze, inabadilishwa lini?

    Kiuhalisia ni vyema kila kiongozi aliye madarakani akawekewa guidance ya namna ya kuendesha serikali na muongozo huo uwepo kwenye katiba, isiwe utashi au mapenzi yake binafsi, bali katiba iseme hivyo na awajibishwe endapo hatoifuata. Mfano leo ukaniambia kwamba tunakupa madaraka fulani, na...
  15. S

    Ndugu zangu watanzania tuibadilishe hii katiba. Yaani Rais alitaka kuchoma shamba la mikorosho halafu hafanywi chochote?

    CCM msijione mko salama sana na hii katiba. Hamuijui kesho yenu. Yaani Askofu amesema kuwa aliishi kama Digidigi nchini kwake na kunusurika kuuawa mara tatu malipo yake inakuwa Ni kumhoji? Aliyesababisha hayo haguswi?! Zitto amesema mashamba yake ya korosho yalitaka kuchomwa moto na jiwe...
  16. Ajali ya Roli Daraja la Ubungo Asubuhi hii

    Alikuwa amebeba mbao. Inasemekana dereva gari ilimshinda ndio mwisho wa siku trailer likakatika kutoka kwenye kichwa na kuanguka.
  17. Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

    Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli. Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali. Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia. Haitashangaza Tundu...
  18. Yanga hii naifananisha Barcelona ya 2008-2011

    Tunamfunga yoyote huku tukicheza sex football Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11 Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol. Sasa ukija kwa huyu Aucho ni Xavi kabisaaa huku Feitoto akirandana kabisa na Iniesta. Yanga hii ni bora na...
  19. Tatizo la Nchi Hii ni CCM

    CCM wanavyohandle maoni ya Ndugai, inaonyesha kabisa kwamba hata tukiwa na katiba mpya na katiba ya CCM ikabaki kama ilivyo; bado haratakuwa na demokrasia katika nchi. Wabunge wetu wataendelea kuwa waoga wa kuisimamia serikali ndani ya Bunge la JMT na nje ya Bunge. Kwa CCM wengi, wanachama...
  20. Taasisi ya URAIS inadharaulika sana awamu hii ya sita

    Tukifuata itifaki ni kwamba pale unapomu address kiongozi mkuu wa nchi basi ni vyema kutanguliza maneno mfano “ Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan” baada ya hapo inafuatiwa risala. Ama unapotoa risala ikakulazimu kumtaja Rais wa nchi basi ni vyema kuzingatia itifaki ya utambulisho kwa kum...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…