hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania Hii ndio nchi ambayo Usafiri wa Umma ni Bure

    Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020 njia zote za usafiri wa Umma nchini Luxembourg kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa. Ilianza rasmi mwaka 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa Umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, maneno mengine...
  2. JamiiForums Tanzania Hii movie inayoitwa NO WHERE kiukweli imeniliza mtu mzima!

    Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba! Natumbua kabisa hizi movie mara nyingi ni fiction zinazokosa uhalisia,lakini hii movie imefanya nikawaza...
  3. JamiiForums Tanzania UNATAMANI UWEKE SOFASET KALI NYUMBANI KWAKO? ONA HII

    Ni mpya kabisa , ina 2 month tu ni fiber & spring 1..5M ukiitaka nicontact: 0697224996
  4. JamiiForums Tanzania ni lini masikini watafurahia na kuzifaidi mali za nchi hii

    yaani kwenye hii nchi vitu vyote vizuri hata kama ni mali ya uma lakini bado mwananchi wa kawaida hawezi kuvifaidi hata hizo train ya umeme na ndege ni kwa ajili tu ya viongozi na sio mwananchi wa chini yaani huduma ikiboreshwa basi inakuwa haimgusi tena mwananchi wa chini.
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndio thamani ya miwani ya Mo Dewji

    Kama wewe ni mpenzi wa Fashion naimani utakuwa uliiona Miwani aliyoivaa MoDewji siku ambayo alikuwa anaongea na mashabiki wa Simba Sc kufuatia sintofahamu ya baadhi ya wajumbe kujiengua kwenye nafasi zao. Miwani aliyoivaa Mo inaitwa Alexander Mcqueen AM0372S-001 ni custom made with Diamond...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hii Barabara ya (KAHAMA) Mnazi mmoja - Lugera Mbona mashimo?

    Hivi hii barabara ya kutokea Senta ya Mnazi mmoja kwenda lugela sent a ya juu mpaka kutokezea supermarket mpya mbona no mashimo tuu? Yaani nibarabara ambayo haina mwelekeo kabsa barabara hiohio na mtalo nihuohuo, na barabara ya kutokea mnazi mmoja kwenda Rami, serikali inaingiza kipato kupitia...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hii inakuwaje kwa sisi vibarua wa ujenzi

    Mambo vipi wakuu Natumaini mko poa kabisa, niende kwenye mada Moja kwa Moja, ni hivi toka jumatatu nilikuwa kama kibarua kwenye kumwanga zege baadhi ya maeneo,. Kiasi tulichokubaliana ni kwa siku ni sh 13000 na kazi ilikuwa inatakiwa iishe Leo jumatano jioni, lakini cha ajabu tumelipwa...
  8. JamiiForums Tanzania Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

    Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake. ---
  9. JamiiForums Tanzania Hebu tufanye hii challenge

    Chukua simu yako, type any random number halafu ipigie. Atakayepokea, awe jinsia yako au jinsia tofauti mwambie hivi: 'Najua hunijui ndugu yangu, lakini maisha yangu yamekuwa na changamoto nyingi sana. Nimeshindwa, nimekata tamaa. Nataka kujiua. Nimepiga hii namba nipate neno lolote linaloweza...
  10. JamiiForums Tanzania Makonda alipopigana vita dhidi ushoga na madawa ya kulevya mlisema anadharirisha watu. Leo hii mnalialia nini?

    Mara mtandao wa X ufungwe mara vijana wanajiharishia kwenye mabasi ya mwendo kasi. Mara hoo wanavaa pampasi. Sasa kwa nini mlimdhihaki na kumpinga Makonda. Shujaa anayefuata nyayo za Shujaa wa Afrika?
  11. JamiiForums Tanzania Single mother kamwandikia meseji hii Step Father

    Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra! Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema "Asipokuta vyombo vimeoshwa basi ajiandae kumpokea beki tatu atakaeletwa na Baba mzazi wa mtoto wake"...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi katika skendo awamu hii

    Babati Naibu waziri katumia chupa kwa kijana wa kiume, Mafia DED kabaka Beki 3 , safari hii RC kalawiti binti kwenye gari. Yaani ni ukatili na upwiru tu kwa viongozi wa leo.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hizi ni tabia za kukosa ustaarabu na kishenzi (uncultured) kwa sisi madereva tukiwa barabarani, tubadilike

    Kuna tabia za ajabu sana za madereva wengi Tanzania ambazo mimi nazijumlisha na kuwa mambo mawili makubwa, ushenzi na kukosa ustaraabu. Natoa wito madereva tubadilike, kwa sababu kwa na tabia hizi barabarani ni kuonyesha ubinafsi, pupa, ushenzi, kukosa ustaarabu nk! Hizi ni mojawapo, kama...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeapply clinical medicine. Je naweza nikachaguliwa Kwa completion hii?

    Nimeapply clinical medicine kibaha, nafasi Kwa wanaume ziko 24. Tulioomba ni 1800 plus. Nina point 6 kwenye PCB, je nitapata kweli?
  15. JamiiForums Tanzania Hii inamaana gani?

    Mwanaume anadai natafuta mwanamke , mchakarikaji. Na mwanamke anatafuta mwanaume mtafutaji Kwa ushauri tu je usipo mpata mke mchakarikaji,au mwanaume mtafutaji? Wewe mtafute mtu tu unayempenda ndio muanze maisha maana maisha yanaenda ukitafuta mtu wako umtakaye .
  16. JamiiForums Tanzania Hivi hii Cecafa kagame cup Ina maana au ni aina nyingine ya usumbufu kwa mabingwa

    Mashindano yanatarajiwa kuanza July ambapo team mbalimbali za east afrika zitashiriki kwa ngazi ya vilabu Najaribu kutafuta mantiki ya haya mashindano hasa katika kipindi ambacho team ya Yanga inataka ipate utulivu wake wa miaka yote mitatu pale Avic town ili kujiwinda na msimu ujao wenye...
  17. JamiiForums Tanzania Tabia Hii Ilianza Kama Utani. Manyara Wakapotezea, Mafia Wakapotezea, Sasa Simiyu Nayo Wanataka Kupotezea

    Kuna hii tabia inaanza kuota mizizi ya viongozi wa kisiasa kunyanyasa watu kijinsia kisha vyombo vya dola kupotezea baada ya kutumia umasikini wa wahanga kulipa chochote. Kule Manyara naibu Waziri alimtumbukiza kijana chupa ya Coca makalioni na DPP akaingilia kwa juhudi kubwa kufuta kesi. Huko...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji sana 'Critical Thinking' yako katika hii Taarifa tafadhali

    Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini unatarajia kumsafirisha kwa ndege Mtanzania Kulwa Hassan Twalibu, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Sterkfontein iliyopo Johannesbug- Afrika Kusini tangu mwaka 2018. Balozi James Bwana amesema Twalibu anarejea Tanzania ili akaungane na familia yake...
  19. JamiiForums Tanzania Tusiache hili wazo la Biashara lipotee

    Habari Wakuu, Naitwa [Jina Lako], mtaalamu wa ufugaji samaki, na nimekuja kwenu na wazo la biashara ambalo linaweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya ufugaji samaki. Ninapendekeza kuanzisha kituo rasmi cha uzalishaji wa mbegu bora za samaki aina ya sato. Sekta ya ufugaji samaki nchini...
  20. 1

    JamiiForums Tanzania Nitafsirieni hii code

    Nani kaelewa hii code ya hawa watu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…