hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

    Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa Size kuanzia 32 mpaka 43 Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina...
  2. Kwa hii Kauli ya Kidharau niliyomsikia nayo huyu Mtangazaji wa Kike wa TBC1 Janet Leonard leo Asubuhi kwa Atakayemtongoza awe na Gari ya MERCEDES BENZ

    Tusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume. "Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa"...
  3. Niliota nimefariki na baadae nikafufuka. Sijawahi kuota hivi na wala sikuwa na mawazo ya aina hii kabla ya kulala. Nisaidieni tafsri

    Wakuu jana niliota nimekufa hadi msiba wangu ulitokea na nilikuja kukufuka na wakabomoa jeneza kunitoa kabla ya sijazikwa Kuna maana yoyote hapa au ni muvi tu za usiku? Mshana Jr Da'Vinci
  4. Wabongo mnaivaa hii jezi kwa wingi, nini siri yake?

    Huwezi ukaenda Kariakoo usikutane na mbongo kavaa jezi hii. Ina siri gani ya kukubalika sana?
  5. Wanawake na wanasaikolojia mtuelezee hii imekaaje

    Huwa ina maana gani pale mwanamke anapolinganisha mkono wake na uume wakati wa faragha husuani baada ya tendo? Hebu mje hapa wadadisi na wajuvi wa hivi vijimambo, tuliopo gizani ni wengi na tunataka tujuzwe juu ya hili.
  6. J

    Hii ndio tofauti kati ya Mwarabu na Mzungu kwenye utamaduni, yupi bora?

    Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati Unaona ni utamaduni upi bora zaidi wa kufuatwa?
  7. Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

    Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
  8. "Ungekuwa Mzuri ungekuwa Umeolewa" kauli hii Wanawake wanapenda kuambiana inaukweli kiasi gani?

    Habari za Sabato Mkûu! Ni Jambo la kawaida Kabisa kusikia Watu hasa Wanawake Wakitumia kauli za namna hii katika mazîngira tofautitofauti Kwa mfano wakichambana, kusutana au Wakati wakisikia unamsifia Mwanamke mwenzao àmbaye hajaolewa lakini amefikisha Umri WA kuolewa. Mfano wa kauli hizô; 1...
  9. KERO Nilifungua account ya CRDB lakini nilikutana na mambo ya ajabu mpaka nikatelekeza account baada ya miaka 4

    CRDB BANK: Nilifungua account ya CRDB lakini nilikutana na mambo ya ajabu mpaka nikatelekeza account baada ya miaka 4. Niliwahi kufanyia miamala ya kutoa pesa kwenye ATM za CRDB ndani ya mwaka mmoja tu baada ya hapo ikawa kila nikenda kutoa pesa ATM ya CRDB kadi inagoma inasema "This Card May...
  10. Uimbaji wa aina hii sio sahihi ndani ya kanisa la kisabato.

    Nani aliyeanzisha huo uhuni wa kwaya kuimba kama wasanii wa bongo flavour na playback? Mchungaji Paul Semba yuko sahihi kukemea huo ushenzi. Hata katoliki mnaowasimanga hawawezi kufanya hiki kinachofanyika ndani ya SDA. Mkataeni shetani mapema kabla hajazidi kuharibu mambo...
  11. Kati ya awamu ya tano na hii ya sita. Ni ipi imeongoza kwa raia kutekwa na kupotezwa? Kumbukeni mpaka sasa Azory Gwanda hajaonekana

    Hii ilikuwa mwaka 2019. Mpaka leo hatujui alipo. Au ndio aliliwa na wanyama huko Katavi?
  12. PreGE2025 Sikutarajia kama Rais Samia atakuja kuwa namna hii alivyo sasa!

    Nilidhan atakua mtu wa haki na mfata sheria na mkemea maovu ila kawa tofauti sana, ni kama vile hajari kabisa hali za wananchi. Zile 4R zake madhan ni kwa ajiri ya CCM na CDM na si vinginevyo. Tanzania haina taasisi imara, hivyo kauli ya kiongozi wa juu zinahitajika ili baadh ya mambo yaende...
  13. Tafadhali ID yangu hii isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku wa Leo tarehe 8 August,2024 basi jueni kuna tatizo Kubwa la Mtandao huku niliko

    Nimeamua kutoa mapema tu Taarifa hii ili ID yangu isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili ya Usiku wa Leo msinishangae.
  14. Siri ya Tarehe 8 Agosti: Je, Unajua Maadhimisho Muhimu ya Siku Hii?

    Tarehe 8 Agosti ni siku muhimu inayoadhimishwa kwa matukio tofauti duniani kote. Ingawa kila tukio lina umuhimu wake wa kipekee, yote yanashiriki lengo moja la kuhamasisha na kutoa uelewa juu ya masuala muhimu katika jamii zetu. Hebu tuangalie kwa undani zaidi matukio haya na umuhimu wake. 1...
  15. Dunia haina huruma, Vijana tunapitia mengi sanaaa kwenye huu Ulimwengu. Soma hii Mikuki

    INTRODUCTION:- Sina mengi, hebu soma hizi screenshots..!!! SCENARIOS:- PISI YA KWANZA. School mate wa Advance PCB, Nilipost picha Insta nipo nanenane na wateja (waliohudhuria banda letu la maonyesho) nawaelezea fursa mbalimbali. Wakati nafundisha/naelekeza raia, Afisa Habari wetu akanipiga...
  16. Wakurya, najua mkiona hii picha hamuhitaji kutafasiriwa

  17. Wenye nyumba wamekuwa na hii tabia Kwa wapangaji wao

    Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji...
  18. D

    Msaada: Kibaka/bodaboda ameniibia simu yangu asubuhi hii

    Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu. Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama muda ule ndio maana hata nikashindwa kumkimbiza, watu waliokuwa arround waliona ila hawakuwa na msaada...
  19. M

    Nikiona ajali hii, mengi najifunza

    Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Miwaleni, Mlandizi mkoani Pwani majira ya saa kumi na mbili na nusu alfajiri. Katika ajali hio ambayo tunaambiwa alikuwepo mtoto mdogo lakini amechubuka kidogo sana . MASWALI YA KUJIULIZA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…