hersi

Hersi may refer to:

Youssouf Hersi, Dutch footballer
Mohamud Muse Hersi, Somali politician
Amina Moghe Hersi, Somali entrepreneur
Hersi Aman legendary 3rd Sultan of the Habr Yunis
Khalil Abdulkadir Farah Hersi (1946-2005), Somali poet
Hersi Matmuja, Albanian singer

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoenda tu Uwanjani kutizama Mechi Yanga SC husumbuka mno Kimatokeo, ila akienda ni uhakika 100%?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Replies ( Mirejesho ) yenu kutokana na Mada husika.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ijayo TFF kwa maslahi ya nchi aongoze Hersi

    Tanzania imekuwa ikifuzu kwa kuunga unga Kwenye afcon 2019 kule misri na sasa afcon ya Ivory Coast . Ukiangalia matokeo ya mechi za kufuzu na ukalinganisha na matokeo ya tarehe 17 Jan dhidi ya Morocco kule afcon , morroco kwa mkapa Kwenye WC qualification na Jana dhidi ya Zambia unabaki kusema...
  3. JamiiForums Tanzania Eng Hersi Tangu awe Rais vilabu barani Afrika pamoja na kujihusisha na sera za CCM, Yanga inaelekea kuzama na haitoibuka kamwe!

    Poleni Young Africans lakini huo ndiyo ukweli ambao wengi wenu hawataki kuusikia kamwe!. Msimu huu wa Mwaka 2023/2024 Bingwa wa ligi ya NBC ni AZAM SPORTS CLUB!. Naomba kama kuna mtu anabisha kuhusu hili suala awake pesa ili tusibishane kwa maneno!.Ndugu zangu mimi ni shabiki lialia wa Mnyama...
  4. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Injinia Hersi Said: Chonde chonde naomba msimuache Musonda

    Nimeshtushwa na kichwa cha habari cha gazeti la Mwanaspoti la leo kwamba eti kwa sababu ya ujio wa Okra basi Moloko na Musonda hatma zao ndani ya Yanga zipo mashakani. Please Mr. President , do anything in ur power to make sure that Musonda doesn't go anywhere. I beg you by five books of...
  5. JamiiForums Tanzania Nimekumbuka Feisal alisema ili yeye arudi Yanga lazima Hersi atoke, nimecheka halafu nimechoka ghafla

    Nimeamka najiandaaa kwenda Misa ya Saa 2 hapa Mara nikawaza Fei aliwahi sema yeye akiondoka Hersi hata saivi (muda ule) anabeba begi anarudi zake Yanga. Yani nimechoka sana hivi Feisal alikua anafikiria nini jamaa?πŸ˜‚πŸ˜‚
  6. T

    JamiiForums Tanzania Engineer Hersi Said vs Murtaza Mangungu

    Hapa una Murtaza Mangungu raisi wa Simba Sports club na pale una Engineer Hersi Saidi Raisi wa club ya Young African, yupi anafaa kuwa mwenyekiti bora kati ya wenyeviti hao wawili.
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA amuuliza Hersi "Hivi nyie ndiyo mliwaibia pesa wale Wanigeria"?

    Leo Rais wa FIFA aliyekuja kuiona timu yake ya Simba ikipambana na Al Ahly alikwenda katika kituo cha mafunzo cha TFF na Rais wa Yanga, Hersi Said akaona huyu bila kumfuata huko huko aliko naweza nisije kumuona tena maishani mwangu. Basi akazamia hivyo viwanja vya TFF, Infantino akienda huku...
  8. JamiiForums Tanzania Akili za Hersi

    LEO asubuhi ndio nimegundua kuwa ile Yanga ya Nasreddine Nabi ilikuwa hatari ndani ya Uwanja,Yanga ya Gamondi pia ni hatari lakini hii Yanga chini ya ENG HERSI SAID ni hatari zaidi ndani na nje ya Uwanja. AKILI za Eng Hersi na pesa za GSM inaonesha inaweza kwenda kujitengenezea ufalme wa mda...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Injinia Hersi akikabidhi Jezi ya Yanga kwa Raisi kagame

    Waziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame . https://m.youtube.com/watch?v=OKCQOPb1DkM Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame kama sehemu ya kutambua mahusiano mema na mapenzi ya Kagame katika michezo. Zawadi hiyo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga, Eng. Hersi amelipa Tsh. Milioni 40 kununua tiketi za mchezo wa leo

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe ambae anasema Raisi huyo wa Yanga aliamua kufanya hivyo kuondoa usumbufu na pi imesaidia kukabiliana na zile njama/mbinu za kupandisha viingilio katika hii mechi. Ally Kamwe amesema haya wakati akihojiwa baada ya mechi kwisha.
  11. JamiiForums Tanzania Mayele akiuzwa Yanga SC itaambulia 30% tu ya Pesa na 70% atachukua anayemmiliki huko Congo DR

    Mtangazaji wa Michezo wa Redio Kubwa na inayokubalika nchini Congo DR ya ( iitwayo ) Top Congo FM Mwanadada Sylivia Meya kasema Mayele akiuzwa Kokote kule Yanga SC waliopewa kwa Mkopo wataambulia 30% tu na Tajiri anayemmiliki Mayele na Wachezaji wengine 24 wa Congo DR atachukua 70% yake. Chanzo...
  12. JamiiForums Tanzania Kuhusu mchezaji kuibiwa Airport, Eng. Hersi aongea kwa uchungu

    Simba Sc mlichofanya sio poo kabisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
  13. JamiiForums Tanzania Kuhusu mchezaji kuibiwa Airport, Eng. Hersi aongea kwa uchungu

    Simba Sc mlichofanya sio poa kabisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Eng Hersi akiwa A. Kusini leo

    "....yupo hapa na walikuwa na Pitso lakini baadae kuna mkataba ataenda kujaza wa kumnunua mchezaji hatari!" Duru.
  15. JamiiForums Tanzania Hersi Said ni tatizo Yanga;machoni kama mtu ila ana roho mbaya,makocha na wachezaji hawampendi

    Ukimuangalia sura yake kwa kuzoom utaona chembechembe za kiburi na dharau. Feitoto alisema bayana ila wako wengi tu hawamkubali,kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji. Acha kiburi ba majivuni mdogo wangu
  16. JamiiForums Tanzania Kama Eng Hersi alidiriki kuvaa jezi ya Kaizer chief kwenye mechi muhimu dhidi ya Simba, Mimi ni nani niitakie heri Yanga? Njoo hapa tuiombee mabaya ke

    siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani... Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs.. Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0 Na Kila mtu aseme ameen
  17. JamiiForums Tanzania Anachofanya Fei Toto Sasa kwa Hersi ni kulijambia jiwe

    Mwl wangu wa shule ya msingi alinichapia hadithi ya fisi, mfupa na jiwe. Alisema, siku moja fisi mwenye njaa Kali alikiona kitu cheupe mbali kabisa akidhani kuwa ulikuwa ni mfupa unaofaa kula na kuponya njaa yake kali. Pamoja na njaa yake alikimbia umbali mrefu kuufuata "mfupa" aliouona kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

    "niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu. "Viongozi walikua wanamtukana mama yangu na kutoa matusi ya kumnyanyasa hata ingekua ni wewe ndugu mwandishi usingekubali kutukaniwa...
  19. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga Chini Ya Hersi tuupeni Maua yake

    Yanga For Many Years ilikua inajitafuta sana kiukweli ilikua inajitafta na hilo halina ubishi na katika misimu iliyokua inajitafta simba ilipiga hatua kubwa sana japo hayo mafanikio ya simba yanaanza kupoteza nguvu ikiwa ndio mwaka mmoja wa Hersi pale yanga. Hersi ndani ya mwaka mmoja wa...
  20. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu JF Kocha Nabi na Rais Injinia Hersi hawatufai tuwatimueni upesi

    Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua Kama Mayele na Beki mbovu Mwamnyeto. Naombeni wana Yanga SC Wenzangu wote hapa JamiiForums Kesho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…