Mambo vipi wanajangani?
Leo asubuhi nilikuwa pande za Kariba Lodge hapa mkabara na barabara ya Devland road, kusini kabisa ma jiji la Johannesburg.
Nikashangaa sana kumuona mtu mzima Eng. Hersi Said ndani ya Chevrolet Nyeusi akielekea kwenye ofisi za Kaizer Chief. Je? inawezekana baada ya...
" Tumeitoa Yanga SC Uswahilini pale Manzese wakiwa na hali mbaya, Njaa wakila Maharage na Ugali wa Kugombania na Wanang'atwa na Mbu na sasa tumewaweka pale Avic Town Kigamboni wanakula vizuri sana "
Yaani wana Yanga SC wote kama kuanzia Usiku huu na mpaka Kesho hatujamfukuza Injinia Hersi Said...
Yupo Studioni sasa EFM kwenda ' Kuzurula ' na ' Kuwadanganya ' wana Yanga SC na ameulizwa Swali dogo lenye Kuhitaji jibu fupi tu na Mtangazaji Tunu Hassan Shemkome na Majibu yake ( Injinia Hersi Said ) yakawa hivi ( haya ) ....
Swali Mtangazaji Tunu...
Je, bado Injinia Hersi anadhani Yanga SC...
Ikumbukwe kuwa akiwa anaongea na Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM na hata kile cha EFM Boss huyu kutoka Kampuni ya GSM inayoifadhili kwa Kuinyonya Kimapato Klabu ya Yanga Injinia Hersi alisikika akisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa kwa 100% Yanga SC inaenda kuwa Bingwa wa 2020/2021 VPL na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.