hayati jpm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

    Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro. Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipozuia chakula kisiuzwe nje mlikebehi, sasa mmeonja joto ya jiwe na kusalimu amri

    Bashe fungua mipaka. Bashe wewe ni jembe. Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa. Hii nini sasa? ==== Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo Mkoani Mwanza leo June 13,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kuwaomba...
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
  4. misasa

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kumhusisha hayati Magufuli ripoti ya CAG

  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje: Magufuli asingekubali ufisadi huu wa awamu ya sita (Ripoti ya CAG)

    Mbunge wa zamani wa nyamagana (chadema) EZEKIEL WENJE amesema kama Magufuli angekuwa hai asingekubali ufisadi huu ulio tajwa kwenye report ya CAG. Wenje aliyekuwa waziri kivuli wa mambo ya nje ameosesha kubwa kwa sasa Chadema wanaona kubwa Magufuli alikuwa bora sana kwenye kupambana na rushwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyomchukia Hayati Magufli, undeni kauli mbiu yenye kuonesha chuki dhidi yake ili kupima ikiwa hakuwa na wafuasi

    Chama chochote kinachojiamini kwamba kitashinda uchaguzi ujao" na kimekuwa ni chama chenye kumchukia sana hayati JPM na kinadhani hata kikiunda kauli mbiu kuonyesha jinsi gani kilimchukia na kinamchukia mno JPM basi wafanye hivyo! Makelele yao hapa JF tumechoka bhana! Kwa nini vyama viandikia...
Back
Top Bottom