Kumekuwa na ujengaji mkubwa na wa kasi wa miundombinu kwenye wilaya ya Rufiji.
Madaraja, barabara, majengo ya ghorofa vinajengwa kwa kasi kubwa sana.
Nimekutana na wana Rufiji ambao katika kuwadodosa, wameonyeshaa kuelewa kuwa kuna mpango na jitihada kubwa wa kuifanya Rufiji kuwa Mkoa...