Hakuna wanachokihofia wala hawajali tena wanafanya nini kibaya Kwa watanzania.
Leo hii wanajiuliza ni jambo gani baya hawajawahi kufanya. Kama kila aina ya uovu wamefanya na Bado watanzania wapo kimya, wahofie nini tena?
Hakuna ufisadi ambao CCM hawajafanya, lakini wanaona watanzania wamejawa...