hawajitambui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    PostGE2025 Tunapokuwa tunasema CHADEMA ni kikundi cha watu ambao hawajitambui muwe mnaelewa

    Wanaukumbi. HAWA NI WENDAWAZIMU KABISA Yaani tunapokuwa tunasema CHADEMA ni kikundi cha watu wajinga sana muwe mnaelewa.. 1. Wanakataa kutambua matoke ya uchaguzi ambao hawakushiriki na waligomea uchaguzi na walisema uchaguzi hautafanyika 2. Wanataka kuwe na serikali ya mpito iongozwe na...
  2. H

    Je, bado kuna Waafrika wenye akili wanaoamini kuwa Uislam na Ukristo ndiyo dini za kweli za Mungu?

    Habarini, Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini. Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
  3. D

    Kwanini walimu hawajitambui! Kimshahara kiduchu lakini bado anasema CCM mbele kwa mbele?

    Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote. Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu CCM. Wana mastress...
  4. Bams

    Rais Samia, ondoa RC Tabora na DC Nzega, hawajitambui

    Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao. Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa...
  5. Kyambamasimbi

    Tafiti zinaonesha vijana wengi wa Africa hawajitambui

    Ni tafiti tu sijui za kweli au ni figisu tu za kutudhoofisha waafrica
  6. Waufukweni

    Wakazi awatolea uvivu Wasanii adai hawajitambui, wanataka kuwa kama Diamond

    Rapa Wakazi ametoa kauli kali akiwakosoa wasanii kwa kutojitambua na kutojihusisha na masuala muhimu ya kijamii. Katika andiko lake, alisisitiza kuwa wasanii wengi wamepoteza dira yao ya kuwa kioo cha jamii na badala yake wanataka kuwa matajiri wakifuatilia mafanikio ya msanii maarufu Diamond...
Back
Top Bottom