hawafai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

    Sio mpenzi sana wa kuanzisha mada za kikabila, ila ukiona kabila au jamii yako yoyote, iwe ukoo, kabila, nchi, au race inashmbuliwa unfairly lazima uweke mambo sawa Kuna mada imeanzishwa hapa kushambulia "wanawake wa kaskazini" kuwa ni wanawake wasiofaa kutokana na sababu alizozitoa mtoa mada...
  2. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa wahuni hawafai uongozi, yafaa kuelewa

    Kwanini wale Polepole kawaita wahuni hawafai uongozi nitatoa mfano wa Tanesco chini ya waziri wake kijana Januari. Kuingia tu akaja na mipango kemkem Tanesco mmojawapo wa mipango ni huu wa kubadili mita za umeme kuweka za kisasa eti ukilipa tu sio tena unapewa token ukaingize mwenyewe kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Mipango ya upigaji tu: Kwanini Polepole kasema wahuni hawafai uongozi - Mfano wa TANESCO chini ya waziri Januari

    Kwa nini wale Polepole kawaita wahuni hawafai uongozi nitatoa mfano wa TANESCO chini ya waziri wake kijana Januari. Kuingia tu akaja na mipango kemkem TANESCO mmojawapo wa mipango ni huu wa kubadili mita za umeme kuweka za kisasa eti ukilipa tu sio tena unapewa token ukaingize mwenyewe kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

    Nimeachana rasmi na vifurushi vya TIGO, nimerudi halotel japo ni wale wale kasoro jina tuu. Halotel 1500 MB 750 Halotel 2000 GB1 Tigo 1500 MB 650 TIGO 2000 MB 800 N.k N.k In short hakuna mtandao wenye unafuu kwa sasa, ndugu zangu kama kuna mtu anajua mtandao wenye WIFI unlimited, na bei zake...
  5. JamiiForums Tanzania Chadema hawafai kuwa 'ruling party'. Ikitokea wakawa watawala basi nchi itaharibika kwa kila namna. They dont deserve by any means necessary!

    Wataibuka matapeli wa kuchangisha michango ya kila namna. Kwa kisingizio cha kujenga chama na ofisi makao makuu. Huko Twita itakuwa ni upuuzi uliotamalaki kuhamasisha nonsensical ideas. Maandamano ya kuunga maazimio yatakuwa hayakatiki. Watu hawatafanya kazi. Polical chaos will emerge. Hawa...
  6. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawia kuwakataa CHADEMA, ni matapeli wa kisiasa

    Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao? Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya. Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa. Hawafai hata...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa viongozi wa Bavicha waliwabagua wanaYanga na kujiegemeza kwa Simba. Mapambano ya katiba mpya ni kwa Simba FC? Huu ni ubaguzi na hawafai kabisa

    Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
  8. JamiiForums Tanzania Bet Pawa wamekuwa wezi, hawafai

    Hii kampuni ya kishenzi sana siku hizi ukila hela wanaamua wanakupa saa ngapi. Hii mara ya nne wanaropoka subiri masaa 48 huu ungese kabisa. Halafu ina mkurugenzi kabisa aliienda shule hope hajui upuuzi wa wafanyakazi wake. Muwe makini kama mnahela zenu za kubetia mnataka kupata kwa wakati...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wateule wa Hayati Magufuli hawamfai kamwe Rais Samia Suluhu, hawakuwa na huruma wala utu

    Samia alichoshindwa kuelewa ni kuwa pamoja na kuwa alikuwa ni Makamu wa Rais hakuumbwa kuwaza au kufikiri au kutenda au kunena au kufanya kitu chochote kama alivyokuwa Mtangulizi wake. Kwanza namna alivyowekwa pale na majukumu ya Makamu yalivyo KiKatiba alikuwa ni mtu passive tu - yaani...
  10. JamiiForums Tanzania Nitashangaa sana kuona wafuatao wakirudi katika nafasi za Ukuu wa Mkoa

    Binafsi nimpongeze mama yetu Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan kwa kuanza kazi vizuri na kikubwa zaidi alichonifurahisha ni kuwataka viongozi katika Serikali yake kutumia akili katika kuongoza watu badala ya mabavu, ni jambo jema kwa kweli. Kaanza kwa kutuletea VP Mpango, kateua mawaziri na juzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…