Mimi ni mkazi wa kata ya Inyala Mbeya vijijini.
Ni mwaka sasa umeisha tulipimishwa viwanja kwa bei ya laki 1 na elfu 30 kwa kiwanja ili tupewe hati. Lakini mpaka sasa wahusuka wamepotea tukipiga simu wanasema tuwaulize watendaji wa vijiji maana wao ndo walikusanya pesa zetu na walikuwa...