Kila mtu anatamani kuanza kuwekeza ili pesa yake izalishe, lakini si kila fursa ni nzuri kwa kila mtu. Huo ni ukweli naomba uwekwe wazi. Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza kwenye hisa, bonds au vipande ni lazima ujipime kwanza. Je, uko tayari kiakili, kifedha, na kimtazamo?
Makala hii...