Mbinu moja wapo ya Watawala wachovu na waoga ni kutisha na kuogopesha umma wa unaowapinga kwa kutumia vyombo vya dola na adhabu za jela.
Kwa kuwa basi kila mtu anajua kesi ya UHAINI inayomkabili Ndugu Tundu Lissu adhabu yake ni moja tu KUNYONGWA HADI KUFA kwa mujibu wa Penal Code kifungu cha...