hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katika majukumu 2018-2022 Nchi za Urusi, Armenia,Vietnam,Thailand na Singapore, nilidakwa na Binti Mnyaru kimahusiano nikagundua kagame Noma Hatari

    Asalaaaaamu, Britanicca hapa! Matumaini yangu ni wazima ! Kuna ka story ambako kanaweza kuwa na episodes kadhaa Ila ni Kama ka drama fulan ka ukweli kaliko changika na ujasusi ndani yake! Kagame mnyoshee mikono! Naokumbuka vema ilikuwa siku ya Alhamisi tarehe 8 Mwaka 2018 nikapokea simu toka...
  2. S

    JamiiForums Tanzania USA yalalamika kuwa ushiriki wa majeshi ya Kim vitani Ukraine unayafanya majeshi hayo kuwa hatari zaidi kwa Japan, South Korea na Marekani

    Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu! Wakati propaganda hizo zikiendelea, North...
  3. JamiiForums Tanzania HATARI SANA: Mashirika Yatangaza Kufirisika! - Soma.

    Kampuni za bima kwenye jiji la Los Angeles zimeanza kuwasilisha maombi yao haraka kwamba ya kufilisika. Hiyo imejili kutokana na moto unaoendelea kuwaacha wakaazi wengi nje bila makazi. Moto huo kuharibu na kuchoma ekari zaidi 2,921 za mandhari nzuri ya Pasifiki ya Palisades imepotea.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Bado Yericko; Huenda kwa sasa kumtetea Mbowe ni hatari zaidi kuliko kulamba sumu kwa ulimi kilichompata Ntobi ni kielelezo cha nguvu halisi ya Lissu

    Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually) Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea Mbowe waziwazi kinaashiria tayari Mbowe si kiongozi tena Kwenye Ulimwengu wa roho(hapa watu wa Kiroho tu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kujiongezea sifa usiyokuwa nayo ili upendwe ni hatari inayomaliza vijana wengi

    Kujiongezea sifa usiyokuwa nayo ili upendwe ni hatari inayomaliza vijana wengi Mahusiano ni mfumo wa kihisia hivyo ili uwe ndani ya mfumo lazima uwe na hisia ila ni hatari kubwa sana kulazimisha hizo hisia kiasi cha kujipa sifa usizokuwa nazo ili tu upendwe. Kama haupo kwenye hadhi yake...
  6. JamiiForums Tanzania Je, binadamu wapo katika hatari ya kutoweka kwenye uso wa Dunia?

    Leo nimekaa nikawaza kama Dinosaurs waliweza kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia ikikaridiwa namba yao ilikuwa 2.5 billion, miaka milioni 65 iliyopita basi kuna uwezekano mkubwa wa binadamu nao kutoweka kabla Yesu hajarudi. Dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5 na katika miaka yote...
  7. JamiiForums Tanzania Kalenda za uchaguzi wa ndani wa Chadema ni hatari. CHADEMA itaendelea kutokufanikiwa na haitashika dola milele!

    Chadema ilitakiwa kufanya uchaguzi wa chama mwaka 2022 kama sehemu ya mkakati wa kujiandaa kwa chaguzi muhimu zinazokuja. Uchaguzi huu ungekuwa na umuhimu mkubwa kwa sababu ungewapa nafasi wanachama wa chama kuweka msingi imara kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024, ambao ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga wanamweka benchi mshambuliaji hatari kabisa Jean Baleke vipi Simba imng'ang'ania Mukwala ambaye hana faida yoyote

    Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni. Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa sasa kuoa mabinti waliofika University ni hatari kubwa, wengi hawana bikra zote.

    Hivi ndivyo university students wengi wa kike wanavyoishi maisha yao siku hizi, wengi wanaishi maisha yasiyoendana na hali za kiuchumi za makwao. Na wengi wanaingia kwenye maisha ya namna hii kwa kupenda mserereko wa maisha mazuri bila kupitia clean process.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Biden administration prepping $8 billion arms package...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mradi wa Starcity ni hatari kwa Wakazi wa Morogoro

    Katikati ya eneo la Kitungwa na Nanenane MOROGORO kuna huu mradi wa Star City wenye Viwanja vingi ambavyo havija endelezwa kwasababu mbalimbali! Serikali ya mkoa iingilie kati kwa manufaa ya wengi kwani eneo hilo sasa ni tishio la usalama! Eneo limekua 1. Maficho ya Wezi, Eneo hili linatishia...
  12. JamiiForums Tanzania Karma ni hatari wakuu, hakikisha unakuwa makini hasa nyie wauaji

    Nafikiri mmejionea wenyewe karma ilichomfanyia mtu wenu ambae baadhi yenu mlifika hatua ya kumfananisha na Mungu.
  13. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ni nchi ya hatari kama Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore ilivyoeleza?

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore imeandika maneno makali sani kwa wanachi wao wanapotaka kutembelea Tanzania, Tanzania inayojulikama na wanachi wengi kwamba ni nchi ya amani umoja na upondo ni tofauti ni iliovelezwa na Wizara ya mambo ya nje ya Singapore. Unaweza kujisomea hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Hatari kweli

    Kama una ndugu yako yupo Msumbiji mwambie aondoke haraka sana hali sio nzuri . Hao wote utakaowaona kwenye video walifariki kwa kupigwa risasi. Kama unampango wa kwenda Msumbiji basi jua hii ndio hali halisi.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekiel Kamwaga: Tundu Lissu anaweza kuwa Dikteta mtarajiwa

    Baada ya Chadema kuupinga udikteta kwa miaka mingi, sasa wameamua kumkaribisha dikteta mezani kwao. Mpaka sasa anapingana na maamuzi ya kila kikao cha chama cha kidemokrasia, anasema yeye mwenyewe ataenda kupindua maamuzi ya chama hata kama vikao havitaki. Hapa ndipo chadema itapasuka kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiafrika ni wazuri sana ila wana roho mbaya na wana ile njaa ya chakula hatari

    Moja ya mambo huwa siyapendi kutoka Kwa wabantu black women ni uchoyo na roho mbaya na njaa ya chakula. Mimi huwa naonaga black women walipewa maumbo mazuri Ila akili 0% Mfano tangu nikae nao hawa black women ukimuhalika kwako akiona misosi anatoa macho Sana akiona umegawa chakula umewapa...
  17. JamiiForums Tanzania Wahaya wana akili sana kiukweli , nimemfatili Dr Ellie Waminian huyu jamaa ana hatari sana

    Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana . Nimeambiwa ni muhaya Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
  18. JamiiForums Tanzania Siku za hatari kwa mwanamke

    Wakuu hivi mwanamke anakua danger days kwa sku ngap maan nimeambiwa atakua danger days had January. Je sipigwi kwel hapa?
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: WADUDU ni hatari: Chukua tahadhari unapokuja mapumziko maeneo ya Moshi na Arusha

    Habari Wakuu wa JF, Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii itaweza kuwa msaada kwa ndugu zetu wanaopanga kuja likizo ya sikukuu za mwisho wa mwaka maeneo ya Arusha na Moshi. Kuna mambo kadhaa ni muhimu kuweza kuyajua hasa kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri (magari) na wale wanaopendelea kwenda...
  20. JamiiForums Tanzania Ni jambo la hatari sana kuwa waimbaji wa dini wajenzi huru

    Kuna video moja nimeona ambayo mchungaji mmoja simjui akimzungumzia swala la muimbaji wa injili matha na Joan kuwafuma wakifanya usagaji yeye matha alikiri kuwa ni kweli ni walikuwa kwenye mapenzi Mchungaji alitumia neno "tuliwafuma live" inawezekana jirani walisikia sauti za mahaba ikabidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…