hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. Kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic ni hatari zaidi kuliko Gamond baada ya mechi tano zijazo mtamsahau Gamond

    Naomba niwe mtu wa kwanza kutofautiana na wengi wanaomponda kocha RAMOVIC. Ni kawaida kwa kocha yeyote mpya kupoteza mechi ya kwanza japokuwa sio makocha wote. Uchebe mwanzoni mwa pre season alikuwa anafungwa mpaka na Dodoma jiji kwenye friend match, pia Al Hilal ilimkanda kwenye CECAFA, Kocha...
  2. Namibia: Wananchi wapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge, SWAPO hatari ya kupoteza baada ya Miaka 33

    Wananchi nchini Namibia wanapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge katika uchaguzi unaotajwa kuwa mgumu kwa taifa hilo. Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mapema leo Novemba 27 ambapo maeneo mengi yameshuhudia msururu mrefu wa wapiga kura. Chama tawala cha SWAPO kinapewa nafasi ndogo ya...
  3. G

    Kijana amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa. Matatizo ya afya ya akili ni mengi

    Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa ===================================== Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia...
  4. UWABATA- Mwanachama huyu ajipata kwenye hatari tumuokoe

    Sina mengi maana picha inaongea hapa chini. 👇😂
  5. Ni hatari sana kwenda au kuishi Kariakoo

    Kwa ujumla mimi siendagi Kariakoo Siyo sehemu salama, watu ni wengi sana, hakuna parking and kuna high level of noise pollution Ukiacha hayo matatizo madogo madogo, magorofa mengi yaliyojengwa ni ya mchongo, huwa wanaweka load kubwa sana huko magorofani. Kuna uwezekano mkubwa sana magorofa...
  6. M

    DOKEZO Shimo linalojazwa taka ni hatari kwa Wakazi wa Vijibweni - Dar es Salaam, Viongozi wa Mtaa wanachukulia poa

    Katika mizunguko yangu, nilipita katika eneo la Kigamboni, Kata ya Vijibweni, Mtaa wa Mkwajuni ambapo nilikutana na shimo kubwa lililozungukwa na makazi ya watu, eneo hilo ambalo limejaa takataka, linafanana na jalala lililoachwa wazi. Kwa kuwa nilikuwa mgeni, nilidhani pengine ni sehemu...
  7. M

    KERO Barabara za Pemba ni nyembamba, vyombo vya usafiri vimeongezeka, imekuwa kero na hatari pia

    Kuna ajali ilitokea jana maeneo ya Kanambe Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazi Pemba, gari la fuso ambalo lilikuwa limebeba mchanga liliachia njia na kuanguka. Kuna mtu mmoja alipoteza maisha kati ya 10 ambao walikuwa vibarua waliokuwa wamebebwa ndani ya Fuso hilo, wengine wakipata majeraha...
  8. U

    Iran yapinga vikali hatua ya Marekani kupeleka ndege hatari za B-52 kwani kinatishia hali ya utulivu na amani mashariki ya kati

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo. "Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei...
  9. Hawa ndo watu wenye stress za hatari. Tuwaombee

    Kimsingi wamevurugwa. 1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu. 2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali. 3. Mtu aliyeanza kujipata akashawishiwa kutafuta ubunge kisha akaaangukia pua akiwa tayari kapoteza fedha nyingi. 4. Mtu...
  10. M

    Uchafu wa Soko la Tandika ni hatari, Halmashauri ya Temeke inakusanya Fedha na haina inachofanya

    Nimekuwa nikienda kwenye Soko Kuu la Tandika kwa muda sasa, hivi karibuni hali ya mazingira ya soko hilo imekuwa ikizidi kuwa tata na inayotia ukakasi kiafya. Sehemu ya kupikia ambayo inatumiwa na Wanawake wengi kupika chakula cha biashara kuna jalala lililopo pembeni, kwa ujumla hali ya uchafu...
  11. Matumizi ya "Drone" na zana nyingine za kiupelelezi pamoja na ndege zenye teknolojia za hali ya juu sana, zinafanya mfumo kupigana vita ubadilike

    Vita ya Ukraine na Urusi na sasa mashambulizi ya Israel huko Gaza na Lebanon, imethibitishwa pasipo shaka kuwa aina za kizamani za zana za kivita, hazina msaada mkubwa kwa sasa. Matumizi ya "Drone" na zana nyingine za kiupelelezi pamoja na ndege zenye teknolojia za hali ya juu sana, zinafanya...
  12. Tuache utani Wanayanga Simba ni team hatari sana, naogopa

    I salute you kinsmen. Kwa kweli Simba ya sasa ni hatari sana mpaka wanayanga tunaogopa sana hata match yenyewe. Yaani mimi naona wazi kabisa siku hiyo matokeo hayatakuwa upande wetu kama mzunguko uliopita walipokula 5. Mzunguko simba wamekuwa hatari sana uwanjani kuliko yanga tujipange sana...
  13. Kama binadamu ametengeneza Bomu la nyuklia kwanini asiwe ndio kiumbe hatari zaidi Duniani

    Wakuu karibuni tuchemshe bongo. Source ya picha ni BBC Watu wa imani wanasema binadamu aliumbwa na Mungu na alipewa akili ya kutawala kila kitu yaani viumbe wote. Sasa hapo juu ndio list ya wanadamu wanaouliwa na viumbe hawa tuliopewa nguvu ya kuwatawala. SWAL I: Je, Ni kiumbe gani chini ya...
  14. N

    KERO Makanisa ya kilokole ni hatari, yanasambaratisha familia

    Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao. Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake...
  15. F

    Ni hatari kuacha watu wengi kufuatilia Siasa na Uongozi wa Nchi! Wazindike kwa burudani kama Mipira n.k

    Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti. Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri! Kenya kwenye burudani kama mpira na...
  16. Anachofanya kadinali Pengo kupitia redio ni hatari wakati wa taharuki.Yasijeyakatokea kama ya Rwanda.

    Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao. Hii ni siku moja kabla ya tarehe iliyotangazwa na Chadema ya kutaka kufanya maandamano yenye anuwani mbaya. Jee mahubiri kama haya hayana madhara kwa taifa katika muda...
  17. Hatari ya maneno ya Makonda: Asiombe Viongozi wa Dini wafanye maamuzi!

    Changamoto kubwa inayokikumba Chama cha Mapinduzi kwa sasa ni kuwa na Viongozi wenye akili na upeo duni, Wasioweza kuchakata tension iliyopo kwenye jamii na kujua waseme nini na kwa wakati gani? Suala hili limekuwa likiongeza sana hasira za wananchi dhidi yao. Nawapongeza wenye busara wachache...
  18. Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  19. B

    Polisi wa Kuzuia Fujo wasambazwa jijini Dar: Ni kutangaza hali ya hatari?

    21 September 2024 Ulinzi umeimarishwa jijini Dar es Salaam huku magari ya polisi yakionekana yakizunguka kuweka ukuta wa kufikirika https://m.youtube.com/watch?v=IJgCHuVI4dA Tanzania ni nchi ya kipekee kwa kutoonekana askari polisi kuzagaa ambapo nchi zingine kama Ethiopia, Kenya n.k ni...
  20. Dunia ikiendelea hivi kuna hatari vita ya dunia ya 3 kutokea.

    Dunia ya sasa sio kama dunia ya miaka ya nyuma baada ya UN kuundwa. Mauaji yakitokea kwa waarabu au warusi dunia kimya. Lakini mauaji yakitokea kwa Israel au Marekani au Europe ukitoa Urusi utaona dunia itakavyolaani. Mwenendo wa dunia ishafikia wakati kila mtu anajiamulia kufanya jambo ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…