hatari kwa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya vyoo Chuo Kikuu UDOM upande wa CNMS ni hatari kwa afya, huwezi amini kama ni Chuo Kikuu hapo

    Hali ya vyoo katika Chuo Kikuu cha UDOM, hususan katika College of Natural and Mathematical Sciences (CNMS), imezidi kuwa mbaya kwa kiwango kinachotia wasiwasi mkubwa. Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, wanafunzi wamekuwa wakikabiliana na mazingira duni ya usafi, huku vyoo vingi vikiwa havitumiki...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wenye maabara za binadamu wanauza na dawa wakati leseni yao haiwaruhusu. Ni hatari kwa afya za watu

    Ndio mtindo ambao wameuànzisha. Anampima mtu anampa na dawa wakati hana kibali cha kutibu ie ku prescribe dawa. Ni hatari kwa maisha ya watu? Upuuzi huu unashika kasi Tanga!
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chemba za Kariakoo zimekuwa hatarishi kwa Afya za wananchi. Hasa mtaa wa Sikukuu. Serikali haichukui hatua yoyote

    Katika mtaa wa Sikukuu, hali ya mazingira imeendelea kuwa mbaya kufuatia chemba za maji machafu kujaa na kutema maji yenye uchafu kama inavyoonekana kwenye picha hapa, hali iliyosababisha maji hayo kuingia barabarani na maeneo ya kufanyia biashara. Maji hayo yamechanganyika na taka zilizokuwa...
  4. Josemyinga

    JamiiForums Tanzania Ulaaji usiofaa hatari kwa afya yako

    Je wajua? Ulaaji usiofaa unaweza kuongeza hatari ya matatizo ya moyo 😟 “Chips yai na soda baridi sana” 🔥 Hivi vitu vinaongeza mafuta mabaya (kolesteroli) mwilini na vinaweza kuziba mishipa ya damu. Kwa mujibu wa WHO, kati ya vifo 5, vifo 4 vinahusishwa na magonjwa ya moyo. Mshtuko wa moyo...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya Mbezi mwisho kituoni si salama kwa afya, havina lock kufunga ukiingia, Huwezi kuflash, pesa mnapeleka wapi na hamtoi risiti

    Nimesikitika sana sana Jana nikitokea kwa mathias Nkashuka mbezi mwisho Nipunguze maji kidogoooop Ajabu uwiii choo cha kwanzaa nakuta mzigoo wa chookikubwa unaelea nkahamia kwingine same Nkahamia kwingine nkakuta hakina mzigo nikakojoaaaa ajabu nataka kujifungia uwiiii aisee hataree vyote...
Back
Top Bottom