hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hatuna biashara, bali "TUMEJIAJIRI". Biashara ya kweli huendelea hata mmiliki asipokuwepo.

    Kuna tofauti kubwa kati ya kujiajiri na kumiliki biashara, lakini mara nyingi tunavitumia kana kwamba ni kitu kimoja. Wabongo wengi hatuna biashara bali tumejitengenezea ajira (tumejiajiri). Biashara ya kweli haimtegemei mmiliki kwa kila uamuzi. Ina mfumo wa uendeshaji, watu wenye majukumu...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kiongozi wetu alikamatwa akiwa mzima, hakuna taarifa hata moja tutaipuuza

    Kiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima, Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika. Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka. Sisi Tunafuatilia kila kitu na hakuna taarifa hata moja tunaipuuza.
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaemcontrol mumewe huyo hana mungu hata mume awe mhuni maskini kiasi gani ...

    Ntd Na hawa "Tutawafwatilia" https://www.facebook.com/share/v/1KeEJXEcwe/ Hahaha
  4. JamiiForums Tanzania Kuanzia miaka ya 27 mpaka 31 sijawahi hata kuumwa homa. Hivi kinga ya mwili nayo huwa inaingia "prime" halafu baadaye inaanza kushuka?

    Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo. Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
  5. JamiiForums Tanzania Hawa viumbe siyo kabisa, tuishi nao kwa akili sana, wao ndiyo pengine hata hutuua

    Masikitiko makubwa na hisia za kusalitiwa vinatawala maisha ya sasa ya Nahodha "Captain" Patrick Waweru Mwangi, rubani mkongwe wa ndege za biashara nchini Kenya. Katika simulizi yake ya kusikitisha, nahodha huyo anaeleza kwa masikitiko makubwa jinsi alivyopoteza kila kitu alichokifanyia kazi...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya sasa inakubalika kuliko hata TANU ya mwl Nyerere iliyopigankia uhuru wa bendera. Sasa hivi watu wanataka ukombozi

    TANU haikuchangiwa kama inavyochangiwa Chadema hii ya Leo. Chadema ya leo imepata vizingiti vya kila aina. Kuwekwa ndani, kubambikiwa kesi za uhaini na kupowa mali zao. Tanu ilichangiwa na matajiri wachache ambao wlikuja kugawiwa magorofa yaliyopo Kariakoo kama shukrani na Mwalimu Nyerere...
  7. JamiiForums Tanzania Nkasi DC: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande hawakai chini, hata hivyo tutanunua meza na viti 900 kugawa Shule za Sekondari

    Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
  8. JamiiForums Tanzania Idea yoyote utakayoipata ukiwa chooni usiipuuzie hata kidogo

    Chooni ndio eneo pekee akili inakuwa active sana. Usichulie poa idea unayoipata ukiwa toilet ifanyie kazi na effect yake utaiona.
  9. JamiiForums Tanzania Daily Maverick (Op-ed): Hata Wewe, Samia? Dola ya Kimabavu ya Tanzania na Ukanushaji wa Mauaji

    Dk Paula Cristina Roque Dk Paula Cristina Roque ni mkurugenzi mtendaji wa Intelwatch, shirika linalofuatilia matumizi ya kisiasa na yasiyo ya kidemokrasia ya huduma za ujasusi na ulinzi katika nchi za Kusini mwa Dunia (Global South). **** Mwangwi wa hivi karibuni wa kufunika ukatili wa baada...
  10. JamiiForums Tanzania Uliwahi kufanya dhambi gani duniani hata ukajutia?

    Maisha ya mwanadamu yamejaa maamuzi mbalimbali. Wakati mwingine tunafanya mambo kwa sababu ya hasira, tamaa, ujinga, ushawishi wa marafiki, au kutokufikiria madhara yake ya baadaye. Baadhi ya matendo hayo yanaweza kutufanya tufurahie kwa muda mfupi, lakini baadaye yakatuacha na majuto moyoni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania kelele hakuna easy flow hata layman au mtu uko limited time uelewe ,

    ujumbe umejificha kwa kelele nyingi hakuna flow nzuri , mtu rahisi sahau kwa ajili ya kelele Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka post ni ndefu balaaaaa
  12. JamiiForums Tanzania China imeongeza sheria ya PHD ila tanzania PHD hata wasio soma na waliopata F wanazo hapa.

    Elimu ya tanzania imekuwa jalala la wanasiasa watawala yani elimu wanazojipa mpaka imefanya nchi za wenzetu kuanza kuongeza masharti. Kwa nchi ya china sasa kama unataka kupata PHD inatakiwa kubuni kitu ambacho hakitakuwepo na kinaweza kusaidia nchi mpaka dunia ndio unapewa PHD. Huyu masuya na...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri usisake mke Mtandaoni, pitia hapa kabla hujapotea yaan hata huyo demu uko naye kama yuko mtandaoni IMEKULWA SANA

    Unatafta Mke JF au mtandao mwingine ? Mkuu umepotea Kwanza Mpaka mke aje kupatikana mtandaoni ni ama we una shida au na anayepatikana mitandaoni ana shida kulingana na wanaomjua live life , Kama unataka mke wa kukaa naye miaka nenda rudi angalia huko mtaani kwako ! Hawa wa mtandaoni ukikagua...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Si kwamba ni wote au siwaamini, lakini wakala wa bidhaa original akiwa Mbongo hunifanya niwe na wasiwasi ataingia tamaa kirahisi kutuuzia feki

    Unakuta makao makuu ya kampuni yenyewe yapo Dar au kwenye majiji mingine, na ukifika huko unaona kabisa tofauti ya uendeshaji. Kila kitu kinafanyika kwa weledi, usimamizi ni wa kiwango cha juu, na mara nyingi mameneja ni watu wenye uzoefu mkubwa walioujenga ndani ya kampuni hizo kwa miaka mingi...
  15. JamiiForums Tanzania Samia anataka MARIDHIANO ya Wakwe na Wakwe ndio maana hata mifano yake utamsikia 'Nyie wanangu', huwezi kuua Watu alafu utafute Suluhu nyepesiii

    Yaaan Maelefu ya Vijana wameuwawa Oktoba 29 . Lissu yupo Gerezani. Unaibananga CHADEMA . Utekaji, Mauaji ya wakosoaji . Alafu kirahisi kabisaa kabisaa, Samia anasema 'Marudhiani sio Udhaifu ', Tulidhiane wenyewe, Haina haja ya Kutoka Nje kutafuta msaada. Yaan as if zile Roho za Oktoba 29...
  16. JamiiForums Tanzania Hawajui hata hayo maridhiano ni kitu gani

    Serikali iliyojiweka madarakani baada ya vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu wizi wa kura, kuua raia na kumuapisha ndani ya kambi ya jeshi.... wamekuja na drama kabambe iitwayo TUNATAKA MARIDHIANO Yaani, wao wamechezea katiba na mifumo yote ya haki, wameibaka demokrasia mchana kweupe na kuipa...
  17. JamiiForums Tanzania Samia Hakufaa si tu kuwa Rais bali hata uwaziri hawezi

    Yote haya ni kuokota okota tu watu kushika nafasi Uzuri wangu si Mekko wala Samia amewahi niongoza nimetoka Tanzania 2015 Mwishoni , Ila kupitia watu wanaoishi Tanzania na Wengine ni wakubwa serikalini wanavyolalamika chini chini huyu Mama hafai kabisa Kataa kubaki huo ndo ukweli, Full...
  18. JamiiForums Tanzania Ulipo kaburini unatamani urudi hata dakika kurekebisha ulichokikosea.

    Waliokufa wengi wanatamani hata wapate dakika chache warudi kurekebisha makosa yao. Na mwandikia hapa ni marehemu job ndungai kama nahisi anatamani hata hawa waliopo na kiburi wajiulize baada ya maisha ukifa utaacha nini wakukumbuke. Leo hata mtu ukimuuliza kulikuwa na spika wa bunge...
  19. JamiiForums Tanzania Usiwe mchoyo bwana, ebu muite MOD yoyote umnunulie hata chupa tatu mmalizie wikiendi pamoja😆

    Bwana muheshimia mod wa JF almaarufu kama 255Fixer niko hapa velvet nusu kreti ni yako mkuu
  20. JamiiForums Tanzania Hata muweke nini ila kama hakuna haki leo mkifa mtabaki makaburini bila kumbukumbu

    Tokea kufa kwake mpaka leo uwezi kusikia huyu alijiona dunia yake. Kwa nini na sema ili ?.Hana jipya wala lolote labda kukumba shuka jioni kuwa nchi inaelekea kubaya wakati mda umekwisha. Leo kuna watu wanafikiri wanaishi kama wao ila katika watu ambao hata wakifa kesho , hata mbwa ukimuuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…