hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Sio mzuri, Hana shepu nzuri bado hata mapenzi kitandani hajui, huyu unafanyaje?

    Mchagua Jembe sio Mkulima na wahenga wakaongeza kuwa penye Miti mingi hapana wajenzi. Wanaume halisi huwa hatuchagui wanawake kutokana na Genes zetu purely ni za Kiume hivyo basi kila kiumbe kinachoitwa Mwanamke ni halali yetu. Ni ktk mtindo huo tunawapa heshima na thamani wanawake wote, Sisi...
  2. JamiiForums Tanzania Ardhi yako ni yako hata bila Hati? Rasimu hii inasema ndiyo, na inaweka Ukuta dhidi ya Unyang'anyi

    Kila mkoa nchini Tanzania una hadithi yake ya ardhi. Kijiji kinachoambiwa kihame kwa ajili ya uwekezaji. Familia inayonyang'anywa ardhi ya mababu kwa sababu haina hati. Mwekezaji wa kigeni anayepewa maeneo makubwa huku wenyeji wakisukumwa pembeni. Swali linalorudia kila mara ni hili: je ardhi ni...
  3. JamiiForums Tanzania Hata kama uko nje ya nchi usiamini sana watu wa karibu ndo wauza Taarifa na kukamatishana

    Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai Mataifa hayo hayana mambo ya Uhuru wa...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto: Hata Mkininyima Kura Malaika Wataniongezea, lazima nitashinda Urais

    Harafu unakutana wale wapumbavu huko mtaani wanajazwa upepo na Wapinzani Hadi wanapoteza maisha,wanakuwa vilema nk kisa vurugu za kuwapigania Wanasiasa Kwa ahadi kwamba Katiba Mpya itawapa maisha. Haya kiko wapi? Kinachoitwa Katiba Mpya ni scam ya kuwa fool wajinga na wapumbavu Kwa maslahi ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania imekuwaje umebakiza miaka 25 tu ufikishe 60 na bado hujaona sababu ya kupata hata mtoto mmoja ?

    Ni kwa wale wenye choice ya kuwa na watoto, sio wenye changamoto kama za uzazi unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja?
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli ni Ukweli Hata Uwe Mchungu Vipi!. Tanzania Itaokolewa na Viongozi Wakweli na Wasema Ukweli, la Katiba Alilosema VP Bal. Dr. Nchimbi, ni Ukweli!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiuzungumzia msemo wa "tell the truth and the truth will set you free", Tanzania tumefikishwa hapa na viongozi wanao chelea kuusema ukweli, kwa kuhofia utawaudhi watu, hivyo Tanzania itaokolewa na viongozi wakweli, kama Dr...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna nini kuhusu AI mfumo kuzibitiwa kama ukitoka nje ya USA hata ufanyeje unakataa kabisa

    Mi na vijana na nakijana nilichobakisha ni aviator ya mungu na maisha tuliyopo nayo wengine wanaona kama mungu ni CCM. Sasa kitu ambacho kina nishangaza yani AI zilizotengezwa USA ni ngumu kufanyika nchi za watu na zimekuwa zikigoma kabisa na hata ukitoka nchi nyengine utapata matokeo tofauti...
  8. JamiiForums Tanzania Hata nikiongea kawaida wanasema nafoka

    Habarini ndugu Wanabodi wa JF! Naenda kwenye kiini cha mada moja kwa moja. Nina changamoto... hata nikiongea kwa upole na kawaida, wasikilizaji wangu wanadai kuwa nimechukia na nafoka,, yaani nikiongea seriously mfano kwenye jambo nyeti na la msingi, naonekana kama nafoka. Hali hii inanitatiza...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

    Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

    Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
  11. JamiiForums Tanzania Msikilize Sheikh Walid, utampenda hata kama humtaki.

    Bonge la Sheikh https://youtu.be/gyJr5YA0CGc?si=VuspeUdqudu3LQjg
  12. JamiiForums Tanzania Nimeacha kabisa kumwamini Mwanamke hata kidogo

    Uyu dada namfaham sabab alisoma nami shule Level nlimwacha kidogo madrasa. Akaja olewa na mshkaji ambaye tulikuwa naye ofisi moja. Kwenye harakati za mtu mweusi. Wamefanikiwa kupata watoto watatu saSA. Katika watoto watatu hao mmoja tu ndo wa jamaa wawili wa mtu mwingine. Jamaa kagundua kube...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hatuna biashara, bali "TUMEJIAJIRI". Biashara ya kweli huendelea hata mmiliki asipokuwepo.

    Kuna tofauti kubwa kati ya kujiajiri na kumiliki biashara, lakini mara nyingi tunavitumia kana kwamba ni kitu kimoja. Wabongo wengi hatuna biashara bali tumejitengenezea ajira (tumejiajiri). Biashara ya kweli haimtegemei mmiliki kwa kila uamuzi. Ina mfumo wa uendeshaji, watu wenye majukumu...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kiongozi wetu alikamatwa akiwa mzima, hakuna taarifa hata moja tutaipuuza

    Kiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima, Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika. Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka. Sisi Tunafuatilia kila kitu na hakuna taarifa hata moja tunaipuuza.
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaemcontrol mumewe huyo hana mungu hata mume awe mhuni maskini kiasi gani ...

    Ntd Na hawa "Tutawafwatilia" https://www.facebook.com/share/v/1KeEJXEcwe/ Hahaha
  16. JamiiForums Tanzania Kuanzia miaka ya 27 mpaka 31 sijawahi hata kuumwa homa. Hivi kinga ya mwili nayo huwa inaingia "prime" halafu baadaye inaanza kushuka?

    Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo. Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
  17. JamiiForums Tanzania Hawa viumbe siyo kabisa, tuishi nao kwa akili sana, wao ndiyo pengine hata hutuua

    Masikitiko makubwa na hisia za kusalitiwa vinatawala maisha ya sasa ya Nahodha "Captain" Patrick Waweru Mwangi, rubani mkongwe wa ndege za biashara nchini Kenya. Katika simulizi yake ya kusikitisha, nahodha huyo anaeleza kwa masikitiko makubwa jinsi alivyopoteza kila kitu alichokifanyia kazi...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya sasa inakubalika kuliko hata TANU ya mwl Nyerere iliyopigankia uhuru wa bendera. Sasa hivi watu wanataka ukombozi

    TANU haikuchangiwa kama inavyochangiwa Chadema hii ya Leo. Chadema ya leo imepata vizingiti vya kila aina. Kuwekwa ndani, kubambikiwa kesi za uhaini na kupowa mali zao. Tanu ilichangiwa na matajiri wachache ambao wlikuja kugawiwa magorofa yaliyopo Kariakoo kama shukrani na Mwalimu Nyerere...
  19. JamiiForums Tanzania Nkasi DC: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande hawakai chini, hata hivyo tutanunua meza na viti 900 kugawa Shule za Sekondari

    Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
  20. JamiiForums Tanzania Idea yoyote utakayoipata ukiwa chooni usiipuuzie hata kidogo

    Chooni ndio eneo pekee akili inakuwa active sana. Usichulie poa idea unayoipata ukiwa toilet ifanyie kazi na effect yake utaiona.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…