hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kumpitisha Ole Sabaya hata Mbingu itakasirika

    Kiukweli kipindi huyu kijana akiwa mkuu wa wilaya alionyesha Kiburi kikubwa sana. Utendaji wa kibabe, Mabavu, jeuri na dharau . Sitasahau siku aliyomuonyesha dharau ya wazi yule Mama aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro. Inawezekana anavebwa na influence ya Baba yake ambaye ni kati ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kamatakamata na kesi za kubumba haziwezi kuidhoofisha CHADEMA. Hata Makaburu walitumia hizi mbinu lakini ukombozi ukapatikana

    Angalia kesi kama hii iliyosimamisha shughuli za CHADEMA. Uhuni wa kisiasa mtupu. Kesi za kubumba ili kudhoofisha wapinzani wenye nia njema na nchi yao. Kesi ya Shujaa Lissu? Haitadhoofisha Watanzania wanaopenda mabadiliko Mmesahau hata Kaburu Peter Botha alitumia mbinu kama hizi!
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajir Woman Rep Fatuma Abd: Tunasema tu Tutam kwa Rais Ruto, hata kama hakutakuwa na kura, tutamuibia

    Wajir Woman Rep Fatuma Abdi: "Sisi Wabunge Wa North Eastern Tunasema Tutam For President Ruto, Hata Kama Hatutakuwa Na Kura, Tutamwibia!" Source: Kenya.gossip.club & buzzroomkenya
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Mapema hata kabla majina matatu hayajarudi wanaCCM wameonyesha mpasuko mkubwa

    Kauli hizi zimetawala Tanzania nima. Jina la huyu lisiporudi mimi nitakuwa upande wa fulani. Jina la huyu lisiporudi mimi sipigi kura. Jina langu lisiporudi mimi ninazila. Mpasuko mkubwa sana mapemaaa
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna hata Jimbo moja lenye maendeleo, labda liwe na katiba yake na sera yake zake, ila sio kwa sera hizi. Wajinga tunahadaiwa sana

    Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni. 1. Huduma bora za afya 2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira. 3. Sera nzuri za kufanya biashara. 4. Elimu bora na yenye viwango. 5. Sera nzuri za hifadhi ya jamii. 6...
  7. JamiiForums Tanzania Makosa 13 Yanayowafanya Wateja Wasinunue Hata Wakikufuata

    Makosa yanayofanywa na wafanyabiashara wengi bila kujua, na namna bora ya kuyaepuka. Lengo letu ni kuhakikisha unapofikia hatua ya kumaliza mazungumzo na mteja, hauachi pesa mezani. 1. Kumlazimisha mteja kununua Hakuna mteja anayetaka kushinikizwa. Watu hununua kwa sababu wanataka, si kwa...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

    Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 🏗️ 1. 🇨🇳 China – 1,005 Mt 2. 🇮🇳 India – 149 Mt 3. 🇯🇵 Japan – 84 Mt 4. 🇺🇸 U.S. – 80 Mt 5. 🇷🇺 Russia – 71 Mt 6. 🇰🇷 South Korea – 64 Mt 7. 🇹🇷 Türkiye – 37 Mt 8. 🇩🇪 Germany – 37 Mt 9. 🇧🇷 Brazil – 34 Mt 10. 🇮🇷 Iran – 31 Mt 🌎 Rest of the World – 293Mt (in...
  9. JamiiForums Tanzania Aisee singida ina watoto wakali na wala hata sio wabinafsi.

    Hongereni wana singida. Watoto kiuno nyigu, weupe wa kuonja, wezere kiasi, ngozi nyororo Ila miguu ndio hamna, kama fimbo za mwalimu mkuu🤣🤣 Ila kweli mnadatisha nyie watoto, huwa mko sexyy, Weweeee🤣
  10. JamiiForums Tanzania Himaya ya Usultani inarudi Tanzania, hata wana CCM tunashangaa

    Siyo kila wazo la wapinzani ni baya. Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi. Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada. Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense. Viongozi waliopo sasa na waliopita...
  11. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni msomaji wa biblia hata kidogo

    Yani ukiwa Mkristo ukisema uachage ujinga wa kudhalau kusoma neno la Mungu, Unaamua unasoma na wewe biblia kidogo. Japo wengi hawajasoma biblia wakamaliza lakini walau unakuwa na kakitabu kako kamoja umesoma story Yote ukamaliza. Wengi utakuta Kasoma kakitabu ka Yona. 😂 kana sura Nne tu, na...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kama macho ya taifa zima sasa hivi yamegeukia kwenye makalio ya huyu binti, sasa hivi hata kama ukija na uvumbuzi wa kisomi watu hawatakuelewa🤣

    Bongo ni nchi ya trend sanaa🤣🤣🤣 Its crazy kwamba ina just overnight makalio ya mtu yanaweza mbadirishia maisha ila kuna jamaa konki kichwani tangu 2018 anasaka ajira na anapita aptitude na oral tests zote ila wapi, LIFE🤣
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya form six yatangaziwe Zanzibar? Hata michezo ya ligi kuu isiyohusiana na Zanzibar ilichezwa Zanzibar, kwanini?

    Sijauliza Kwa Nia mbaya ila kuna katabia la kujipendekeza ka viongozi wetu kujiambatanisha na mkuu wa ithanga lothe hii sio sawa. Kuna siku gwaride la uhuru litapigwa songea ruvuma au kule kigoma. Alamsiki.
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

    Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia? Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu? Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
  15. JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa kulala ghafla mchana hata kama ulilala masaa mengi usiku.

    Shida ya kulala mchana,hata kama ulilala vizuri usiku,unakuta mtu hata afanyaje anashindwa kujizuia kulala, inawapata asilimia chache ya watu Duniani,zaidi unawakumba wanawake, kwa kitaalamu unaitwa, Narcolepsy. Huu ni ugonjwa wa usingizi wa mfumo wa neva unaosababisha mtu kulala ghafla wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Sawa Haraka pesa hamjui kalaga baho ni nani, mmeshindwa hata kuwauliza jirani zenu Pesa X na bahari cash au popo cash wananijua kivipi?

    Kausha damu Haraka pesa wamejichanganya kunikopesha elfu 40 wakajua kinyonge. Pesa ile nimepita nayo na hapa wanatumia mbinu walitotumia Wenzao waliopita wakashindwa. Ilifika kipindi mpaka mfanyakaz wa boba cash alikuwa analia anaomba nirudishe japo nusu ya pesa yao nyingine wamenisamehe na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hili la waziri mkuu kupumzika halikupaswa hata kuwa mjadala; Waandishi tafteni mambo ya msingi ya kujadili acheni kupiga ramli

    Nawashangaa sana waandishi wa habari siku hizi sijui kwanini mmekuwa kama waganga wa kienyeji! Mnapiga ramli chonganishi kwenye kauli za viongozi! Mnatufikishia wananchi habari ambazo wala hazitusaidii sana! Tunayotaka mtueleze hamsemi; Yasiyo na maana ndiyo mnatufikishia. Kauli ya waziri...
  18. JamiiForums Tanzania Je, gharama za kuchukua Fomu kugombea Ubunge kwa Chama Babu ingekua ni Shilingi Milioni 5 hata Wavuta Bangi, Wehu, Wezi na Drug Dealers wangechukua?

    Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
  19. JamiiForums Tanzania DPP akikaa Mwaka mzima au hata miwili hajaamua kuhusu hii Kesi ya Uhaini, Ni sawa tuu? Kuna Sheria inambana.?

    Maana jana Hakimu Mkazi kasema hakuna sheria inayoipa nguvu mahakama ya kumamuru DPP atoe maamuzi kuhusu hii Kesi. Sasa mimi nauliza Wanasheria Ukomo upo kisheria?, au hilo file linaweza kukaa kwa DPP hata Miaka 2, 3 hadi 5 bila kufanyiwa maamuzi.?? Kama ni hivyo mfumo wetu wa utoaji haki una...
  20. JamiiForums Tanzania Kwakuwa Safina ya Nuhu imeonekana, basi ni kweli hata Moto wa Milele upo. Tutubu Mapema!

    Wakuu, kweli Mungu anatupenda. Ameona jinsi wanadamu walivyo wabishi na wagumu kuamini, akawatumia wanasayansi wasaidie kuthibitisha habari zilizoandikwa katika Biblia. Ripoti za wanasayansi za kupatikana kwa mabaki ya Safina ya Nuhu ni onyo kwa kizazi chetu. Safina ya Nuhu ilitengenezwa kabla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…