Kumuua binadamu mwenzio asiye na hatia Kisha kumtia kwenye kiroba na kumtupa Ili umma ujue ,inalenga kuwatisha wananchi waone kwamba ninyi ni wa kuogopeka.
Ninasema waliouwawa ni wasio na hatia sababu kuu ni kuwa, Mahakama ndio sehemu pekee ambayo nchi na katiba yetu imeelekeza kutoa hukumu...